afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,153
- 9,270
afroD hiyo ni kweli
ila ndugu aliuliza tu swali
nawe ukawa mkali
japo sio kama pilipili
nimeupenda huu ukali
japo nilikuwa na morali
ya kujua jibu la lile swali
ok, nisikuudhi dada yangu
wewe ni muhimu sana kwangu
natumai ulienda kumwabudu Mungu
japo sijui kama leo ni siku yako ya kuabudu
hahhaha !!!!!AFro natumai weekend imeisha vema.
Daaahh
naona umeishusha hiyo
mistari si mchezo. Asante
mtoto mzuri hahaahah lol
lakini Ivunga wangu swali
kama lile utajibu tu nini dear?
Nway mie weekend
Nimeichukia sababu
Waliniita kazini (on call)
My dear I hope u had a wonderful weekend..