10/10/198....Happy Birthday P.Didy

10/10/198....Happy Birthday P.Didy

Happy birthday Pdidy.
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday Pdidy Mungu akupe maisha marefu kama nabii Musa, hekima kama mfalme Suleiman na uvumilivu kama saydner Ayoub.

Mpwa Heaven on Earth sogea karibu tuanze kupokea zawadi kwa niaba ya Pdidy.

Wapendwa nitakapotoa namba umtumapo e-money mkumbuke kuongeza na ya kutolea.

.

Kwa hisani ya Pdidy legal advice & co, Ltd


MPWA UMENENA YA KUTOLEA
 
Hongera mtumishi wa Mungu kwa kuongeza namba za umri. Tena mbona huu uzi umeandika vizuri au kwakuwa ni "happy birthday" yako leo.
 
mrb5.jpg


uwam040.jpg


d2b629ca695ab732522465d778be90c1.jpg


haaaahaaa salama c......unatishaaaaaa

thx again mpwa nasikia kuonja dompo wakati wa kazi
 
Hakika Nitakuwa mchoyo wa fikra kama sitomshukuru Mwenyezi Mungu swahanaa wa taala mjaza neema ndogo ndogo na kubwa ndefu na fupii nene na nyembamba hasa kwa wale wasiomwaminiiii

Napenda kumshukuru Mungu kwa kumleta Mamayangu Dunian na kunileta mimi leo hii nikiwa na afya njema ukiacha
mbinde binde za jf hasa kwa wale wasiojua kichina nao napenda kushukuru Mungu kwa kuwaleta Jf

Namshukuru Mungu kwa kunipa familia bora na si bora familia maana kuna wenye shuguli humo ndani wanazijua wenyewe lakini mie mara moja moja tunazinguana na maisha ya kusameheana yanaendeleaaaa nakupa tano mama Pdidy kwa uvumilivu wako na Mungu akutie Nguvu

ntakuwa mchoyo wa shukrani kuwashukuru wana Jf wote wanaonielewa na wasionielewa kumbukeni hata wanaonielewa nao walianza kama ninyi mwisho wote mtanielewa tu ipo siku kwenye dini tunasema "kiila mwenye kusubiri yu Pamoja na mwenyezi Mungu ""naomba Mungu awe nanyi mpaka mwisho wa Dunia nanyi nawapa shukrani na kuwakaribisha kwenye sherehe yangu ingawa itakuwa Chumbani na mama Didy mnaruhusiwa kusherehekea kitigo pesa/mpesa ama kiairtel money soon matola atawaletea namba ya kutuma Mungu awabariki pia

Mwanakijiji/invisible/mex... napenda kufurahi bday hiii pamoja nanyi nikiwafurahia kwa jinsi mnavyopambana kwenye majukwaa yetu bila kuacha kuwaadhibu wale wasiotenda matendo mema nanyi Mungu awabariki pia ...cc paw .cc mods nanyi nawatakia maisha mema na kama kuna aliepewa bani ya mwaka kwa sherehe hii naomba mumuangalie upya adhabu yake na Mungu awabariki

ma lovely aunt Mamndenyi

cc Hoe jamani najua kiuchumi tumeshaingia tar 10 kati kati ya mwezi lakini unaruhusiwa kutoa kidogo ulichonacho na Mungu atakubariki pia ...wengine mnaweza kumsindikiza Hoe kwa kutuma chochote kitu

asilimi 50 ama 50 % itaenda kwa wale wote watakaopatikana na Ebola HAPA Tanzania
kumbuka mnachotoa mnatoa kwa ajili ya wagonjwa watarajiwa

Mkuu, tunasherekea pamoja leo. Happy birthday kwako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom