10/10/198....Happy Birthday P.Didy

10/10/198....Happy Birthday P.Didy

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,023
Reaction score
36,878
Hakika Nitakuwa mchoyo wa fikra kama sitomshukuru Mwenyezi Mungu swahanaa wa taala mjaza neema ndogo ndogo na kubwa ndefu na fupii nene na nyembamba hasa kwa wale wasiomwaminiiii

Napenda kumshukuru Mungu kwa kumleta Mamayangu Dunian na kunileta mimi leo hii nikiwa na afya njema ukiacha
mbinde binde za jf hasa kwa wale wasiojua kichina nao napenda kushukuru Mungu kwa kuwaleta Jf

Namshukuru Mungu kwa kunipa familia bora na si bora familia maana kuna wenye shuguli humo ndani wanazijua wenyewe lakini mie mara moja moja tunazinguana na maisha ya kusameheana yanaendeleaaaa nakupa tano mama Pdidy kwa uvumilivu wako na Mungu akutie Nguvu

ntakuwa mchoyo wa shukrani kuwashukuru wana Jf wote wanaonielewa na wasionielewa kumbukeni hata wanaonielewa nao walianza kama ninyi mwisho wote mtanielewa tu ipo siku kwenye dini tunasema "kiila mwenye kusubiri yu Pamoja na mwenyezi Mungu ""naomba Mungu awe nanyi mpaka mwisho wa Dunia nanyi nawapa shukrani na kuwakaribisha kwenye sherehe yangu ingawa itakuwa Chumbani na mama Didy mnaruhusiwa kusherehekea kitigo pesa/mpesa ama kiairtel money soon matola atawaletea namba ya kutuma Mungu awabariki pia

Mwanakijiji/invisible/mex... napenda kufurahi bday hiii pamoja nanyi nikiwafurahia kwa jinsi mnavyopambana kwenye majukwaa yetu bila kuacha kuwaadhibu wale wasiotenda matendo mema nanyi Mungu awabariki pia ...cc paw .cc mods nanyi nawatakia maisha mema na kama kuna aliepewa bani ya mwaka kwa sherehe hii naomba mumuangalie upya adhabu yake na Mungu awabariki

ma lovely aunt Mamndenyi

cc Hoe jamani najua kiuchumi tumeshaingia tar 10 kati kati ya mwezi lakini unaruhusiwa kutoa kidogo ulichonacho na Mungu atakubariki pia ...wengine mnaweza kumsindikiza Hoe kwa kutuma chochote kitu

asilimi 50 ama 50 % itaenda kwa wale wote watakaopatikana na Ebola HAPA Tanzania
kumbuka mnachotoa mnatoa kwa ajili ya wagonjwa watarajiwa
 
Happy born day Pdidy
Ila uendelee kujifunza kuandika kwa ufasaha
 
Last edited by a moderator:
Ni subhana wataala sio swahaaa wataala by the happy born day
 
Mkuu kwani Leo tarehe ngapi?
 
Happy birthday mheshimiwa Pdidy
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday Pdidy Mungu akupe maisha marefu kama nabii Musa, hekima kama mfalme Suleiman na uvumilivu kama saydner Ayoub.

Mpwa Heaven on Earth sogea karibu tuanze kupokea zawadi kwa niaba ya Pdidy.

Wapendwa nitakapotoa namba umtumapo e-money mkumbuke kuongeza na ya kutolea.

Kwa hisani ya Pdidy legal advice & co, Ltd.
 
Last edited by a moderator:
Ukiniuliza napenda kusoma vitu alivyoandika nani nitakujibu Pdidy

today's Pdidy birthday
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday Pdidy wapi sasa mambo yetu yale
Top garage au?
 
Last edited by a moderator:
Umezaliwa 198 kwa hiyo sahivi una miaka zaidi ya 1800?????
Either way HBD to you!
 
mrb5.jpg


UWAM040.JPG


d2b629ca695ab732522465d778be90c1.jpg
 
Una bday 2?juzi tu hapa umejitakia hepi bday,leo tena? Aisee!
 
  • Thanks
Reactions: awp

Similar Discussions

Back
Top Bottom