10,000 tupa kule

10,000 tupa kule

Ally Ngowo

Member
Joined
Feb 24, 2015
Posts
86
Reaction score
19
16fac28fc12d4e8db60ac4120d05c347.jpg
 
Duuuh umenikumbusha mbali sana. Niliwahi kuokota hiyo noti moja basi ilikuwa balaa. Maana nilinunua raba na nikamnunulia mdogo wangu raba pia. Baada ya hapo nikaenda na dogo hotel kula bata na bado chenji ( eee ni chenji ) ikabaki
 
hiyo ndio ilikua na thamani na dollar 100 za marekani, yaani exchange rate ilikua ni 1 tsh/1usd
 
Back
Top Bottom