10,000 Tshs after sex

Yaani nyie ni wakopaji wazuri sana.

Dah...sijawahi kopa ila che Nkapa alituasa tujenge mazingira ya kukopesheka, so kama unamkopesha mtu unapaswa kuangalia kama anakopesheka...i.e.. anaweza kulipa? ana collateral?
 
Wote hupewa after sex. Ndio maana tunasema wote ni wauzaji wa hiyo kitu.
 

Sasa si ukamwambie huyo bwana wake,unaleta nzi tu humu ndani.
 

Na wewe ulimtuma akalala kwa mwanaume ili akununulie sandals kwa ujira wa kuzini?
 
mbona kama kuna harufu ya biashara ya binadamu hapa
 
nimechekaje? lol Ngoja nilale zangu nisichelewe kazini kesho.
 
Interest yangu ni hapo wewe unapomuagiza sandals za 45,000/= kwa sababu tu ametoka kwa bf wake. Kumbe ulimtuma kuuza na ulitegemea bei ni zaidi ya hiyo ya sandals? Kwa sababu umemupeleka shule na kumuweka musafi ama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…