1 Timotheo 2:12 una maana gani? Je kwa leo hii bado mstari huu una mashiko?

Braza Kede

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
5,165
Reaction score
8,959
Mnaoijua biblia tuwekeeni hapa maana au tafsiri ya huu mstari wa biblia.

1 Timotheo 2:12 - "I permit no woman to teach or to have authority over a man; she is to keep silent."

Je huu mstari bado una mashiko kwa dunia ya leo?
 
Huu unafanya kazi hadi Sasa ila ni kwa wakristu pekee
 
Biblia haijawahi kuwa outdated

Shetani anahangaika kurudisha ibada za wapagani za mungu mke , Ishtar,n.k

Wanawake hawajapewa hayo mamlaka

kuna dalili kuwa Shetani anatumia baadhi ya harakati za kisasa kama chombo cha kurudisha misingi ya kiibada kama ile ya Ishtar—kwa kupotosha nafasi ya mwanamke, kuondoa mpangilio wa Mungu, na kuunda mfumo wa dunia unaompinga Kristo.

Lakini hatupaswi kupinga haki za wanawake kwa jumla, bali kuchambua kila harakati kwa macho ya kiroho na maarifa ya kweli ya Biblia.
 
Sahihi Mkuu!
 
Mkuu hayo ni maelezo yako au ni biblia umesahau tu kutoa verse?
 
Nitoe verse ya nini ? Kupinga au kukataa? Kwamba nitoe verse ya biblia kupinga verse ya biblia ?
Mkuu na wewe ni nabii wakilokole maelezo yako ni sawasawa na verse za biblia? Hamna hajo ya ku support maneno yako namaadiashi Takatifu
 
Biblia haijawahi kuwa outdated

Shetani anahangaika kurudisha ibada za wapagani za mungu mke , Ishtar,n.k

Wanawake hawajapewa hayo mamlaka

kuna dalili kuwa Shetani anatumia baadhi ya harakati za kisasa kama chombo cha kurudisha misingi ya kiibada kama ile ya Ishtar—kwa kupotosha nafasi ya mwanamke, kuondoa mpangilio wa Mungu, na kuunda mfumo wa dunia unaompinga Kristo.

Lakini hatupaswi kupinga haki za wanawake kwa jumla, bali kuchambua kila harakati kwa macho ya kiroho na maarifa ya kweli ya Biblia.
Unazungumziaje Wachungaji Wanawake na Viongozi wanawake wanaoongoza wanaume??
 
Ongezea na 1 wakorintho 14:34-38
1 Wakorintho 14:34-38
34 Wanawake na wanyamaze katika kanisa, maana hawana ruhusa kunena bali watii, kama vile inenavyo torati nayo.

35 Nao wakitaka kujifunza neno lo lote, na wawaulize waume zao wenyewe nyumbani mwao; maana ni aibu wanawake kunena katika kanisa.

36 Au je! Neno la Mungu lilitoka kwenu? Au kuwafikia ninyi peke yenu?

37 Mtu akijiona kuwa ni nabii au mtu wa rohoni, na ayatambue hayo ninayowaandikia, ya kwamba ni maagizo ya Bwana.

38 Lakini mtu akiwa mjinga, na awe mjinga.
 
Mkuu hayo ni maelezo yako au ni biblia umesahau tu kutoa verse?
Hapa ngoja nikupe mistari kidogo.Soma waefeso 5:22_33.Wake wawatii waume zao kama kumtii Bwana.Maana mume anayo mamlaka juu ya mkewe,kama Kristo alivyo na mamlaka juu ya kanisa!Huko mbele endelea na Wewe kusoma mistari mingine Mkuu.
 
kuna mahali nimeona yameandikwa maneno haya
"They can, but not in the church when we are together."
 
"Simruhusu mwanamke kuwafundisha wanaume au kuwa na mamlaka juu yao; inampasa awe mtulivu."
(1 Timotheo 2:12)
 
Mnaoijua biblia tuwekeeni hapa maana au tafsiri ya huu mstari wa biblia.

1 Timotheo 2:12 - "I permit no woman to teach or to have authority over a man; she is to keep silent."

Je huu mstari bado una mashiko kwa dunia ya leo?
Mkuu, hapo ni sawa na kusema Biblia imekataza ushoga ila sasa wapo wakristo mashoga. Kwa hiyo hiyo Aya ya kukataza ushoga ina mashiko?

Hapo ni kwamba wakristo haitakiwi kuongozwa na mwanamke, ikiwa kuna mwanamke ni kiongozi hiyo ni kinyume na Biblia hakuna kupepesa macho hapo.
 
Back
Top Bottom