1. Mtoa Maudhui Bora JF 2025

1. Mtoa Maudhui Bora JF 2025

  • Total voters
    45
  • Poll closed .

Aseee Binti wa zamani nimeanza kumuona around mwaka huu ama jana mwishoni ...nimeangalia ID yake kumbe ni member mkongwe lakini sikuwahi kumzingatia

Ama hakuwa active
 
Ushauri tu;
Mchakato makini na mgumu kwenye jambo linalohitaji ushindi wa kura; ni kupata majina sahihi ambayo yana stahili kupigiwa kura; sasa kama wewe utaandika majina yako mwenyewe; halafu uwatake watu takriban laki tano wayapie kura; Naona kama kuna kitu hakipo sawa sawa...
 
Umenena vema.

Shaur nan aongezwe.
Nashindwa kuedit ila tutaomna moderator kesho watuwekee majina yaliopendekezwa kwa wingi.
 
Tengeneza na category zingine, member wenye matusi, majibu mabaya, wenye nyodo, wenye kashfa, wapole, wasio na jazba, wacheshi, member wasiokuwa maarufu lakini wamo humu
 
Tengeneza na category zingine, member wenye matusi, majibu mabaya, wenye nyodo, wenye kashfa, wapole, wasio na jazba, wacheshi, member wasiokuwa maarufu lakini wamo humu

LOTH HEMA

5. Member bora - hekaheka , kejeli na Nyodo.

Pendekeza majina.
Mm naanza na hawa
Hance mtanashati
Gentamycne

Ongezea wengne ili nianzishe poll

Bro min -me hebu pendekeza member wenye maugomvi na kejeli visa tata na misifa .
 
Aseee Binti wa zamani nimeanza kumuona around mwaka huu ama jana mwishoni ...nimeangalia ID yake kumbe ni member mkongwe lakini sikuwahi kumzingatia

Ama hakuwa active
Hakua active alikua anapitia pitia tuu...
Ni mama angu huyu...
Sema huku ni vile anamada zake. Za ajabu ila nyumbani yupo very serious πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…