1. Mtoa Maudhui Bora JF 2025

1. Mtoa Maudhui Bora JF 2025

1. Mtoa Maudhui Bora JF 2025


  • Total voters
    45
  • Poll closed .
Binti wa zamani ndio mtu aliyefany nianze kufatilia jf mwaka flan maana nilikua kila niki search taarifa flani kuhusu ni jinsi gani naweza Jenga taifa langu basi moja kwa moja wana nileta katika uzi wake..

Napenda kumshukuru sana huyu mtu sijui nitapata wapi watoa maudhui wengine kama hawa ili tuelimishwe zaidi..

Ushauri...
Kama kijana jf napenda sana uongozi wa jf akiwepo max amfikilie my mamy aiseee she is genius 🥰🥰🥰🥰🥰🥰😍😍😍🥰🥰🥰😍😍 love you my mom
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom