1 kg ya dhahabu

When it comes to gold, never trust anyone! Hawa unaowaomba wakuelekeze wataku divert uingie kanya boya! Kama watu waliweza kum divert raisi akapita bara bara sio, kule Arusha, ndio watashidwa kuku divert wewe?


Mkuu nimekupata, ninazingatia ushauri wako. ninayapima pia wanayo niambia.
 
inatia shaka! dhahabu! kutafuta soko/ au unaekt mshamba fulani ili uingize watu mimba au/ hiyo ni famfa! mjini pana staili nyingi


Samahani,
SWALI LA MSINGI NI WAPI NITAUZA.
Sikusema ununue, nilimaanisha wanaonunua wangejitaja, kisha nifanye nao mawasiliano wakague wanunue, hapo wizi unatoka wapi?

ninajua sonara na hata pete yangu ya ndoa nimenunua huko lakini jee mzigo mkubwa nitauza wapi? hapo hapo? au kuna wengine ? ndiyo hoja yangu.
 
kamata mwizi men mwiziiii mwiziiiii kamata huyoooo mwiziiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…