0762484200 wachimba visima mikoa yote

0762484200 wachimba visima mikoa yote

Joined
Aug 7, 2018
Posts
34
Reaction score
26
Karibuni Sana
1. Utafiti wa maji chini ya ardhi (Underground water prospecting)
2. Uchimbaji na ujenzi wa visima vya maji (Borehole / water well drilling and Constructions)

3. Upimaji kiasi cha maji kwenye visima na vyanzo vya maji kwa ujumla (Yield testing /Pumping test for the water wells /water sources)
4. Kusafisha maji ya kisimani (Water well development or flushing)
5. Kurekebisha visima vibovu vya maji (Rehabilitations for boreholes and other water sources)

6. Kuunda na Kujenga sehemu za kunyweshea mifugo aina yote. (Designing and Constructing cattle troughs)

7. Tunatoa ushauri pia kutatua matatizo mbalimbali ya kiufundi wakati wa kuchimba visima vya maji kulingana na jiolojia ya eneo husika. (Providing advises and rectifying several problems (Technically) concerning water well drilling and others related to the activities we pursue) call u 0762484200/0627431955
 
Tangazo la biashara bila bei. This is africa. Hivi wnauza bidhaa mtandaoni kama wangekuwa hawaweki bei unafikiri bishara ingeenda

Ifike mahali tubadilike
 
nakazia mkuu --- hii dhana ya kwamba tukipiga simu au dm ndo tunakuwa potential wateja ni dhana ya ajabu sana weka bei, watanzania wengi sisi cha kwanza tunachoangalia ni je nakimudu, sasa hawa wafanya biashara mtandaoni bei inakua kama ugomvi
 
mkuu uchimbaji wa visima hauna bei kamili kulingana na miamba iliyopo chini ya ardhi ndo maana hatua ya kwanza kuna utafiti ili ijulikane aina gani ya mwamba upo katika eneo la mteja, pia uchimbaji wa maji chini ya ardhi gharama zake zinategemea na sehemu ulipo na ina ya mwamba chini ya ardhi unapoweka bei ya kuchimba visima bila ya kuwa na report kamili ya utafiti ni sawa na kuwatapeli wateja maana sehemu ya kuchimba kwa milioni 5 utamwambia milioni 10 ni vyema kufanya utafiti kwanza ili ushauri wa kigeologist utumike ili gharama ziwe sawa na mfumo wa ardhi ndo maana pale tunapougua kiafya tunapokwenda mahospitalini cha kwanza huwa tunafanyiwa vipimo ili tubainike tunaumwa nini pia kujua na gharama za matibabu Ahante .
 
sawa mkuu
 
acha ujuaji kijana...tangazo lako linakosa details za kutosha...huo mfano wa hospitali uliotoa hata huko hospitali kilakitu kipo wazi vipimo na matibabu bei zake zinafahamika. punguza ujuaji weka details za kutosha kwa tangazo lako, akhsante.
 
acha ujuaji kijana...tangazo lako linkosa details za kutosha...huo mfano wa hospitali uliotoa hata huko hospitali kilakitu kipo wazi vipimo na matibabu bei zake zinafahamika. punguza ujuaji weka details za kutosha kwa tangazo lako, akhsante.
watanzania sisi kupokea maoni ni kazi ngumu mkuu
 
Tangazo la biashara bila bei. This is africa. Hivi wnauza bidhaa mtandaoni kama wangekuwa hawaweki bei unafikiri bishara ingeenda

Ifike mahali tubadilike
Yaani wangeajiri mtu wa kuulizwa maswali.
Shida watu hawana fani ya kutangaza biashara,pia Kila mtu anajua Kila kitu afrika ,yaani mwanasiasa aliyesoma community training anaweza akagua Kama tofali ni imara ama zege ratio Iko poa, anaweza akagua mpaka daktari.
Mambo sio transparent,Bei zinafichwa mana ni wizi mtu Kila mtu ana Bei yake yaani hawajaseti standard za Bei zao na zikiwa fixed Kila mtu anataka cha juu. Umeona mchina anavyoliza watu Mana wengi ni wezi kwa mgongo wa biashara ama kiongozi.
Cheki hata kazi inatangazwa unaweka mambo lukuki ambayo unataka huyo mtu awe nayo anayetafutwa Kama vile demu anatafuta mme Ila yeye anajificha kusema ana nini.
Inatangaza unataka mfanyakazi Fulani Ila Sasa wewe unajificha kusema ulicho nacho ili mfanye biashara, Sasa wewe utatoa nini in return
 
biashara ya visima ni tofauti na biashara yoyote Duniani , biashara ya visima ina tegemea tafiti na majibu ya tafiti ndio yanayotoa gharama za uchimbaji na ndo maana huwezi chimba kisima bila ya kuwa na report ya mtafiti maana kuwezi pata kibali cha kuchimba maji,pia visima vinachimbwa kutokana na shauri za watafiti wa miamba wao ndo wanaotoa mwongozo kwa maandishi kwamba kutokana na tafiti kisima kichimbwe kwa ubora huu au kutokana na muonekano wa ardhi aina ya mwamba kwamba PVC aina flani ya ukubwa falani ndo itumike, hivyo basi sisi kama makampuni ya uchimbaji maji au visima virefu sisi hatuna uwezo wa kujua eno lako maji yapo umbali wa mita kadhaa na gharama zake ni Tsh kadhaa , hii inakuwa si sawa. wakati mwingine mteja anaweza ibiwa kwasababu hana vielelezo sahihi vya kitafiti , kama wateja mnapoona matangazo yetu mnapaswa kupiga simu na kutoa mwongozo kama wapi eneo lipo mkoa gani wilaya gani ili upate mwongozo sahihi kwa kufuata taratibu sahihi za uchimbaji maji na ndo maana ata ukiingia kwenye website ya wizara ya maji huwezi kuta bei za visima
 
Unazunguka mno ila kwa uzoefu wangu wachimbaji wote huwa wana makadirio ya bei kwa kila mkoa. Mfano mita moja kwa Dar labda ni 50k Dodoma 60k, Tabora 80k, Kigoma 100k hivyo ndo biashara ya uchimbaji visima ilivyo. Unataka kutuambia wewe peke yako ndo uko tofauti na wengine!? Hii ndo shida ya udalali kwenye michongo usiyo na ufahamu nayo. Gharama za drilling & casing huwa zinatozwa kwa mita na location, hayo mengine mbwembwe tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom