LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,348
- 3,219
huku nilipo bia hazionekani ,nimeambiwa mpaka j3
Liwalo na liwe
LiverpoolFC mkuu hiyo ni nadharia ambayo imejijenga kuwa kila mwaka mwezi wa saba mishahara inaongezeka na vitu kupanda.
Ukitoa hiyo implantation ya bajeti mpa huanza mwezi wa saba hivyo kama kodi mpya huanza kutozwa mwezi huu wa saba na hujenga logic kuwa vitu vitapanda kutokana na kodi mpya.
Ukitoa hiyo hakuna jipya.
huku nilipo bia hazionekani ,nimeambiwa mpaka j3
sasa naona tutafutana ubaya, sa hizi yenyewe tumelemewa bado lizigo liongezwe kha, taratibu jamani, binafsi nimechoka tayari, naomba Mungu isiwe kweli,
Hata Bei ya PArkingAirport Kuanzia 1st Jury ni Buku Moja kwa Saa/// Nao naona Wanataka Kununua Ndege Siui? Parking kupandisha bei sijui ndio kukomoana au faida gani pesa upate kwa Shida then ukipark gari ati Buku? sijui na Kingunge nae ataongeza bei yake ifike japo Mia saba Posta na kariakoo Jero
Walevi mtajiju. Sisi wanywa soda huwa tunakunywa wakati wa sherehe tu
He!, Kumbe wako preta wengi humu.?toka huko.... khaa....utaishije sasa.....?