01/07/2012 mbona kuna tetesi ya kupanda kwa baadhi ya bidhaa muhimu?

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,348
3,216
Nikiwa kijiweni tangu majira ya mchana na nipo karibu na dpot ya bia ya kampuni ya TBL na nikaona malori kama matatu aina ya Benzi na hizi benzi nyingine hz kibin fupi tani 5 kama 8 hv zinaleta bia kwenye hii depot na ktk kumwuliza mmoja wa wafanyakazi wa pale (Driver) akaniambia, kuanzia tarehe moja karibia kila kitu ya kampuni yetu inapanda mara dufu Mzee wetu anaweka stoke ya kutosha.

Na siyo hiyo tu nikiwa tena naelekea home jioni hii,nikakuta jam duka moja la hapa mtaani kwetu nikauliza mbona leo jam mpk dukani?
Mama mmoja akaniambia wewe uko Nchi gani? Kesho ni tar 1/7/2012 kila kitu kinapanda bei. Haujui rais wenu ameamua kutua raia wa chini lakini MUNGU yupo huyo mama aliongea akiwa na mchungu kweli.

Je? Ni kweli haya ya tar tajwa ni kweli?
Kwa anayejua atujuze wajamen!
 
sasa naona tutafutana ubaya, sa hizi yenyewe tumelemewa bado lizigo liongezwe kha, taratibu jamani, binafsi nimechoka tayari, naomba Mungu isiwe kweli,
 
LiverpoolFC mkuu hiyo ni nadharia ambayo imejijenga kuwa kila mwaka mwezi wa saba mishahara inaongezeka na vitu kupanda.

Ukitoa hiyo implantation ya bajeti mpa huanza mwezi wa saba hivyo kama kodi mpya huanza kutozwa mwezi huu wa saba na hujenga logic kuwa vitu vitapanda kutokana na kodi mpya.

Ukitoa hiyo hakuna jipya.
 
Ama kweli hii serikali ya jakaya imezidi kutudidimiza wafanyakazi & wakulima!
Ni juzi mwezi wa nne vinywaji yote baridi vimepanda bei ongezeko ambalo wanainchi walishindwa kuelewa nyuma wala mbele.

Awike asiwike patakucha tu na tuonena mafisadi wanatuzamisha vipi!

Mi nimechoka hata!
Ama ndio kusema biashara huria????

Ngoja tu nipata asilimia itakachoongezeka ktk baadhi ya bidhaa maana nitakuwa na la kusema!

MUNGU KAWAGEUZE MAFISADI MIOYO YAO NGUMU IWE LAINI.

Wanatukandamiza wanyonge!
 
huku nilipo bia hazionekani ,nimeambiwa mpaka j3

Kamanda we acha tu!

Namnukuu mwenye grocery hapa mtaani kwangu!
(AMA? MNAMA,NYIE KUNYWENI TU KWANI KESHO HAKUNA BIA MPAKA JUMATATU NA ITAKUJA NA BEI MPYA,NA HIYO NDIYO SERIKALI YETU!)

Hiyo ni kauli ya jamaa mmoja mwenye kagrocery hapa mtaani kwangu.

Pale ikabidi nichukue bapa tatu nikazipeleka stoke hapo ghetto.

Ngoja tuwasikilizie!
 
sasa naona tutafutana ubaya, sa hizi yenyewe tumelemewa bado lizigo liongezwe kha, taratibu jamani, binafsi nimechoka tayari, naomba Mungu isiwe kweli,

Mkuu Mamzalendo!

Pole sana! Hawa mafisadi hawaoni wa hawasikii Ndg yangu!
Yani ni MUNGU mwenyewe tu akawabadilishe mioyo na wawe na huruma angala kwa Watanzania wenye 92% ya kuwa na maisha duni nao waonewe huruma na mafisadi.

Kama sasa fisadi mmoja wa Tanzania ana uwezo wa kuweka benki ya nje ya Nchi zaidi ya 320bl hii ni dhahiri kbs ya yakwamba ni ngumu kumeza.

MUNGU WETU USILALE!
 
Hata Bei ya PArkingAirport Kuanzia 1st Jury ni Buku Moja kwa Saa/// Nao naona Wanataka Kununua Ndege Siui? Parking kupandisha bei sijui ndio kukomoana au faida gani pesa upate kwa Shida then ukipark gari ati Buku? sijui na Kingunge nae ataongeza bei yake ifike japo Mia saba Posta na kariakoo Jero
 
Mkuu! Mi cjui tunapelekwaje na hii serikali DHAIFU na bila shaka bajeti ya kizembe ndio chanzo ya yote!

Mwisho wao waja hakika!
 
Walevi mtajiju. Sisi wanywa soda huwa tunakunywa wakati wa sherehe tu

Hata wanywa soda & walevi ngoma ni droo!
Mafisadi hawana hili wala lile!

Wameshasema LIWALO na LIWE! Tafakari hii kauli kwa undani kwn imebeba maana nyingi sana!
 
Roho inaniuma sigara inapanda bei halafu hilo ongezeko halimsaidii mkulima wa Tumbaku.
 
bidhaa muhimu ni jam, bia? wenzenu tunaojua bajeti tulishahamishia majeshi kwa Konyagi .. sasa hivi najiskia mwepesi na uzito umerudi kama ule wa teeneger..hahaa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom