Zuhura Othman Soud (born 22 November 1993) best known as Zuchu, Is A Tanzanian Musician, Songwritter and performer signed By Diamond Platnumz music label 'WCB Wasafi' (also known as Wasafi Classic Baby)
Zuchu is the daughter of the Tanzanian legendary taarab musician Khadija Kopa.
Zuchu is undeniably the most promising artist from Tanzania having topping the African chart on different platforms with her debut track "Wana"
She first rose into the music scene in 2015 from the first edition of TECNO OWN THE STAGE in Lagos, Nigeria
Wakuu
Huu mbona kama ni mkakati hivi wa kutaka kututoa kwenye Reli?
Msanii wa Bongo Fleva, Nadeem Abdul maarufu kwa jina la Diamond Platnumz amemuoa mpenzi wake wa muda mrefu Zuhura Othman Soud maarufu Zuchu. Msanii wa lebo yake WCB Wasafi.
Ndoa hiyo imeibuka katikati mjadala mkali baada ya...
Amani iwe kwenu watumishi
Nianze kwanza na history ya magomen kitaa changu ninachoishi toka kitambo sana
Kitaa hiki ni kitaa mabingwa wa ndoa za mkeka hasa mwezi wa Ramadhan unapokalibia
Ndoa hufungwa nyingi sana na wazee wanaoitwa wazee watukufu katika uislam
Wazee hawa watukufu katika...
Leo katika pilika zangu za kutafuta rizki nilipita kwenye terminal ya makontena. Nikakuta hizi howo zinasomba hayo makontena na kuyapanga kwenye yard.
Hizi gari kama mnavyozijua zinaitwa Howo.
Lakini kwenye ulimwengu wa makuli hizi gari zinafahamika kama Zuchu.
Niliuliza baadhi ya madereva na...
Lazma tuwe wa kweli, japo si utafiti rasmi, lakini japo kwa uzoefu wa kutembea maeneo mengi sana nchi hii ndo nimeweza kugundua hiko kitu. Katika zunguka yangu, huku mtaani vijijini na mijini ki ukweli kabisa , kwa masikini hawa ambao ni wachache wenye smart phone, nyimbo za wasanii wawili ndio...
Hatimaye!
Baada ya sarakasi nyingi, Msanii Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ amekata shauri la kumuoa mpenzi wake ambaye ni msanii ndani ya lebo yake ya muziki (WCB) Zuhura Othman Soud ‘Zuchu’
Uamuzi huo umekuja huku kukiwa na sintofahamu nyingi juu ya mahusiano yao ambapo mwishoni mwa mwaka jana...
Wakuu,
Hivi tutaendelea kuongozwa na Wanigeria hadi lini?
Tems jana ameshinda tuzo ya Grammy kipengele cha Best African Music Performance. Mwaka jana alishinda Tayla kipengele hicho hicho.
Meanwhile wasanii wa kibongo wako kimya tu kama hawaoni tuzo hizi au haziwahusu.
Ni aibu kubwa sana...
Sina tabia ya kujadili ishu za mahusiano hapa jukwaani lakini nimeona niongee kidogo na Zuchu.
Zuchu unatakiwa kufahamu ukiingia kwenye mahusiano na Diamond tayari upo vitani.
Najua sasa hivi hauelewani na ndugu wa Diamond kasoro yule mpwa wa Diamond.
Umegombana na wadada wa mjini na...
Mimi ni shabiki wa Zuchu kwa kiasi fulani...
Kuna huu wimbo wake mpya unaitwa "antenna" nimeusikia sikia huko mitaani nikasema ngoja nitafute video niangalie.
Aisee, kwenye ile video ameweka picha za kutisha sana, kuna sehemu amejiweka kama jini/pepo anafanya vitu vya ajabu ajabu, video...
Zuchu ndio msanii namba moja kwa sasa East and Central Africa. Lakini hii sio point yangu kwa leo.
Zuchu ndio msanii wa kike anaeweza kusimamisha jiji la Dar es Salaam na likatii amri kwa kifupi hana mpinzani.
Nyota yake inazidi kuwa kali kila kukikucha.
Katoa album kali sana sijui mara ya...
Wasanii wa lebo ya muziki, Wasafi Classic Baby (WCB) wameendelea kuthibitisha ubora wao kwenye soko la muziki baada ya kushinda jumla ya tuzo saba kwenye 'East Africa Magic Vibes Awards' usiku wa kuamkia leo Desemba 16. Ushindi huu ni wa kihistoria kwa lebo hiyo inayotambulika kwa kuwatengeneza...
Hii ni Convoy ya Super Megarstar, Diamond Platnumz na Zuchu akitua Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Dar es Salaam, wakati wakielekea kwenye show kwa mashemeji zetu nchini Kenya.
Ukweli usemwe tu, Zuchu ni msanii mzuri na msanii mkubwa ila bado hajafika viwango vya kumuweka kama msanii mkubwa hapa nchini ukimlinganisha na wasanii wa kike wakubwa wa kizazi chochote kike, kilichopo na kilichopita.
Kwa kizazi kilichopo ,Zuchu hamfikii hata kidogo Nandy , Nandy anaweza...
Ndio maana tunaambiwa tusijenge mazoea.
Nakumbuka hawa vijana walifanikiwa kutengeneza Drama kama hii mwanzoni na Diamond akafunga safari hadi Zanzibar kwenda kumuomba Zuchu msamaha wakati ana perform live kule. Na hakika Drama yao ile iliwapaisha kupata public attention hasa kwenye social...
Wabobezi wa Sheria za mikataba waingie kazini wamsaidie huyu mrembo kijana na mwenye mvuto mkubwa Afrika nzima ,kuuvunja mkataba wake na Wasafi ili asimame mwenyewe kwa uwezo wa zuchu akiwa mwenyewe atafanya makubwa sana!
Zuchu asipoondoka Wasafi atadumaa na hatakuwa huru hata siku Moja ...
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, ameweza kuonyesha upande wake wa burudani kwa kucheza na kuimba wimbo wa msanii Zuchu wakati wa Mahafali ya 48 ya Chuo cha Maji yaliyofanyika leo, Novemba 13, 2024, katika ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam ambapo alikuwa mgeni rasmi.