ziwa

Ziwa is an archaeological site in Nyanga District, Zimbabwe, containing the remains of a vast late Iron Age agricultural settlement dated to the 15th century. Ziwa was declared a National Monument in 1946 and is currently under consideration for World Heritage listing. The site contains a large variety of stonework structures including stone terraces running along contours of hills and steep landscapes. Archaeological investigations have also uncovered important aspects of pottery and rock art.
Before the declaration of the site as a National Monument, Ziwa had been part of the commercial farms area and was thus under private ownership. A great deal of damage or degradation of antiquities may have been wrought during this period as the farmer used the property as a cattle ranch. Currently a site museum (with tourist facilities such as camping, guided tours, walking trails, bird viewing, etc.) has been established to represent the Ziwa heritage and other archaeological sites in the Nyanga district.
Despite the abandonment of the site by its inhabitants in the 18th Century, Ziwa continued to be of significance to the later communities that settled in its neighbourhood.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mchengerwa, ingia katika historia kwa kuongeza idadi ya visiwa vitakavyokuwa chini ya hifadhi ya taifa ya Saanane, ndani ya ziwa Victoria

    Namshauri ndugu Mchengerwa moja kati ya majukumu atakayofanya ni kuongeza idadi ya visiwa ambavyo vitakuwa chini ya hifadhi ya SAANANE. Kisiwa Cha saanane ni hifadhi ya taifa, na kwa kuangalia mbele, nashauri iongeze idadi ya visiwa ambavyo vitakuwa chini yake, hii itakuwa ni kwa kuangalia...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli huwezi kusahaulika kwa miaka mingi sana kwa Meli kubwa Ziwa Victoria

    Mwaka 1996 wakati ajali kubwa ikitokea Ziwa Victoria mimi nilikuwa Ukraine nikiwa nimemaliza mwaka wa kwanza wa lugha nikijitayarisha kuingia mwaka wa masomo. Nakumbuka namna sisi watanzania tulivyoanzisha mjadala juu ya ajali hiyo iliyoua ndugu na jamaa zetu wengi. Mwaka huu itatimia miaka 27...
  3. JamiiForums Tanzania Wavuvi Kanda ya Ziwa wamuonya Waziri Bashe uvuvi haramu

  4. JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Ziwa Victoria linaenda kubakia kuwa swimming pool

    Tumeambiwa Sangara wamepungua kwa asilimia 50 na samaki wazazi wamebaki asilimia 0.4 Ziwa Victoria. Sasa kama ziwa Ziwa Victoria lina Samaki wazazi asilimia 0.4 maana yake Ziwa linaenda kuwa sawa na swimming pool-Luhaga Mpina
  5. JamiiForums Tanzania Unakijua kisiwa chenye majoka Ziwa Victoria?

    Kuna kisiwa kilichojaa nyoka wenye sumu kali barani Afrika. The Most Venomous Snakes of Africa. Ni eneo la hifadhi ya msitu mdogo na koloni la ndege wa ziwa wenye kelele nyingi na majoka aina ya @kobla Zaidi ya 2000 hivi Kinapatikana katika(Mkoa wa Kati, Wilaya ya @Rakai). Ndani ya ziwa...
  6. JamiiForums Tanzania Maji ya ziwa Victoria yafika Mgongoro - Jimbo la Igunga

    MAJI YA ZIWA VICTORIA YAFIKA MGONGORO - JIMBO LA IGUNGA Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Igunga (IGUWASA) imefanikiwa kufikisha huduma ya maji safi ya Ziwa Victoria kwenye Kijiji cha Mgongoro, Jimbo la Igunga. Huduma ya Maji imefika kijiji cha Mgongoro kufuatia IGUWASA kulaza bomba la...
  7. JamiiForums Tanzania Kifahamu kijiji cha maajabu kinachoongoza kwa utalii Afrika, kinaelea kwenye ziwa

    Ganvie ni kijiji kilichopo kwenye ziwa huko nchini Benin ambacho kiko katika Ziwa Nokoué, karibu na Cotonou. Kikiwa na idadi ya watu karibu 20,000, kikielezwa kuwa huenda kikawa ndio kijiji kikubwa zaidi kilichopo kwenye ziwa barani Afrika na ni maarufu sana kwa watalii. Kijiji kiliundwa...
  8. JamiiForums Tanzania Watu wa kanda ya ziwa ni warefu sababu ya kula dagaa

    Habarini. Dagaa ni chakula kimoja kinadharaurika sana na kuonekana cha kimasikini, lakini ni moja ya vyakula bora kabisa duniani. Ni hivi, mifupa ya mtu hujengwa kwa sehemu kubwa kwa Calcium. Sasa, ukiondoa maziwa, chakula kinachofuatia kwa kuwa na calcium kwa wingi ni samaki wanaoliwa na...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA wanawatukana sana watu wa kanda ya ziwa na kuwaita Sukuma gang?

    Dunia inaenda kwa haraka sana. Na mambo yaenda kwa kasi sana. Tangu mwaka 2019 CHADEMA imekuwa na msemo wa kuwaita watu wa kanda ya ziwa sukuma gang. Nimekuwa na jiuliza kwa muda mrefu sana ni nini sababu ya hawa watu kuwaita watanzania wenzao majina yenye kuashiria kutugawa watanzania? Mpaka...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA inaanzia Mikutano Kanda ya ziwa?

    Najaribu kufikiri na kuwaza kwanini CHADEMA inaanzia mikutano yake Mwanza? Kwanini siyo makao makuu ya nchi Dodoma? Kwanini siyo Dar ambako viongozi wengi Wa CHADEMA wanaishi? Kwanini siyo Moshi Arusha ambako mawazo ya kuzaliwa CHADEMA yalianzia. Swali kwanini iwe Mwanza? Aliye majibu anijibu...
  11. JamiiForums Tanzania CHADEMA tulishapoteza mvuto na nguvu Mwanza na Kanda ya Ziwa. Kuzindua mikutano Kanda ya Mwanza haisaidii

    Nguvu tuliyokuwa tumewekeza kanda ya ziwa hasa maeneo ya Mwanza, Tarime, Geita na Chato ilishamalizika. Tulioshaonekana ni wasaliti na waganga njaa. Hatuwezi kurudisha ushawishi tena. Kunzisha mikutano ya hadhara tar 21 tukianzia Mwanza sio suruhu.
  12. JamiiForums Tanzania Tunamshukuru sana Mungu Dar es Salaam haipo Kanda ya Kaskazini au kanda ya ziwa

    Tunamshukuru sana mungu mzizima haipo kanda ya kaskazini au kanda ya ziwa kwa hakika kama ingekuwa katika kanda hizo bila shaka wananchi wa mikoa mingine wasingeweza hata kukaribia au kunusa tu ila mungu kwa ufundi na busara hatimaye Dare Ssalaam ipo hapo ilipo. Wenyeji wa mzizima kwa hakika si...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali kupitia wizara ya mali asili wafikirie kutumia visiwa vya ziwa Victoria kwa uwekezaji wa hotel za kitalii kabla havijavamiwa na makazi holela

    Sijajua kama huwa Kuna vikao vya tathmini, lakini nadhani baadhi ya visiwa vingekuwa chini ya wizara ya mali asili moja kwa moja, na vikaangaliwa kwa fursa ya uwekezaji wa hoteli za kitalii. Hii itasaidia uchumi wa maeneo hayo ya Kanda ya ziwa. Pia, itasaidia utalii wa kutumia boti
  14. JamiiForums Tanzania January Makamba, miradi ya umeme yenye dhamani ya 57 Bilioni imekwama kanda ya ziwa au hujawalipa wakandarasi?

    Kuna shida inayoendelea kunyemelea uongozi wa awamu ya 6. January Makamba, waziri wa Nishati alipita mikoa ya kanda ya ziwa na kusema ametuma fedha za miradi ya umeme takribani 57 Bilioni. Cha kushangaza na kusikitisha hakuna mkandarasi site mikoa yote ya kanda ya ziwa na wanaccm wanasubiri...
  15. JamiiForums Tanzania Kuna malaya wengi sana kanda ya ziwa, mnaokuja huku chukueni tahadhari

    Salam. Kwa uzoefu nilioupitia baada ya kuzurura Nyanda za juu kusini, Kaskazini, Dar, Zanzibar na sasa nipo Kanda ya ziwa basi Nina haya ya kusema . Hii Kanda Malaya wapo wengi mno na madanguro yapo Hadi vijijin. Mikoa ya Mwanza na Geita umalaya NI biashara ambayo ni Kama imerasimishwq...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Adhabu ya kuchomeka milele kwenye ziwa la moto, mbona naona ni kubwa sana kuliko? Majini mliopo humu mnaionaje?

    Najiuliza sana hili fundisho lililopo Kwenye uislamu na ukristo la wenye dhambi kuchomwa milele kwenye moto wa jehanum, logically haliingii akilini. Kwasababu 1)Mungu anajua kila kitu, kama kabla ya kutuumba alijua kuwa baadhi ya binadamu na viumbe ntakaoumba wataniasi na ntawapeleka kwenye...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Sherehe ya Uvuvi wa Majira ya Baridi katika Ziwa Jingbo yafanyika mkoani Heilongjiang, China

    Sherehe ya Uvuvi wa Majira ya Baridi katika Ziwa Jingbo imefanyika tarehe 27 mkoani Heilongjiang, China, ambapo takriban kilo laki 1.2 za samaki zilipatikana kwa kutumia wavu wenye urefu wa mita 2,400. Shughuli hiyo imeonesha utamaduni wa jadi wa uvuvi wa samaki wa kabila la Wahezhe.
  18. F

    JamiiForums Tanzania Shule za msingi kanda ya Ziwa zaibuka kidedea wa udanganyifu wa mitihani. Mwanza na Bukoba waongoza

    Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limevifungia vituo vya mitihani 24 sawa na asilimia 0.13 ya vituo vyote 17,935 vilivyofanya mtihani ambavyo vimethibitika kupanga na kufanya udanganyifu katika mtihani wa kumaliza elimu ya msingi 2022. Vituo hivi vimefungiwa hadi Baraza litakapojiridhisha...
  19. JamiiForums Tanzania Changamoto ya umeme nchini ilianza na Awamu ya Tatu, sasa ni mbaya zaidi. Kwanini maji ya Ziwa Victoria yasipelekwe hadi Mtera na JNHPP kupata suluhu?

    Awamu ya baba wa taifa na ile ya mzee ruhusa hakukuwa na changamoto la katika katika kwa umeme maeneo ambayo huduma hii ilikuwa imeyafikia. Ni kweli kwamba maeneo hayo yalikuwa hasa kwenye miji mikubwa ya nchi. Shughuli za kiuchumi wa viwanda hazikuwa nyingi kama ilivyo sasa ambapo tumesambaza...
  20. JamiiForums Tanzania Joseph Musukuma wananchi wa mkoa wa Geita hawakuelewi, pia kubaliana na kauli ya Dkt. Bashiru Ally Kakurwa

    Kwa mateso wanayoyapata wananchi wa kanda ya ziwa baada ya kifo cha mpendwa wao, ni wazi wananchi wa Geita hawamuelewi Joseph Musukuma anakotaka kuwapeleka. Hadi sasa wananchi wa Geita vijijini wanatembea kms 120 kutoka katoro kwenda makao makuu ya wilaya ambapo ni Nzera alikohamishia Ofisi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…