zingatia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Zingatia mambo haya kabla ya kukopa

    Kabla ya kuchukua mkopo, lazima utathmini uwezo wako wa kulipa, uelewe gharama ya jumla (riba na ada), uangalie alama yako ya mkopo, na uhakikishe una lengo wazi la fedha hizo.. Vitendo muhimu ni pamoja na kuunda bajeti kali kwa malipo ya kila mwezi, kulinganisha wakopeshaji wengi, na kuchunguza...
  2. Marmeid

    Zingatia haya kwenye safari yako

    Maisha ya kijana ni safari ya kujitafuta. Ni kipindi cha ndoto, nguvu, hamu, makosa, maumivu na maamuzi makubwa. Wengi huingia hatua hii wakiwa na matarajio makubwa—lakini hukutana na uhalisia mgumu kuachwa, kukataliwa, kukosa ajira, kukosa fedha, presha za marafiki na tamaa za mwili. Ndipo...
  3. blogger

    Kiini Cha Tatizo... Zingatia Neno "kiini Cha Tatizo".

    Zingatieni.. Kiiiniii... Yani kiinii Oya. Imeisha
  4. M

    Ikitokea umeibiwa simu, zingatia hatua hizi

    Watu wengi wanaoibiwa simu hujikuta katika hali ya matumaini ya kukuipata simu haraka iwekenavyo huku wakisahau kuwa wezi wa simu nao huwa na mbinu mbalimbali ambazo huzitumia ili simu waliyoiba isipatikane kirahisi. Sasa ikitokea umeibiwa simu, fuata hatua hizi Hatua za Haraka Tulia na...
  5. Sifi Leo

    Rostam Azizi anaitumia mbinu Gani kati ya hizi mbili Ili awe Tajiri? ZINGATIA hizi ndo njia mbili kuu za kuwa Tajiri, nje hizo wewe ni kapuku.

    1. Kuibia wananchi uku UKIWA unalindwa na serikali. Mfano kununua ges kwa 2000, kuja kuuza 55000 mpaka 60,000, uku serikali ikiipiga vita matumizi mikaa na kuni zilizotumiwa baba,Babu zako kwa kuleta kampeni ya matumizi ya nisshati safi, uku mitungi ikisambazwa bule kwa bibi na mamako...
  6. 01-01-2025

    Uoga Unaopandikizwa kwa Kizazi cha Kitanzania Ume zingatia hali zisio tabirika kama za mwaka 1978 ?

    .
  7. H

    WALE TUNAO AMINI MUNGU YUPO ZINGATIA HILI

    Kama Kuna kikundi kimekaa kama basi la kwenda kuzimu basi ni kile chama, chunguzeni watu wake , watafakalini maneno Yao, mtagundua wakimtaja Mungu hawamaanishi saana kama wanavyomtaja mwenyekiti wa chama Chao....... Thread over, bye-bye
  8. GoLC

    Ukiwa na mwenza limbukeni zingatia haya

    Habari za mchana. Moja kwa moja kwenye mada. Leo nimekumbuka jambo nikaliunganisha na ulimbukeni. Ili kupata uhakika wa nilichokuwa nawaza, ilibidi kumuuliza rafiki yangu Kong (chatGPT WhatsApp). Ni rafiki yangu sana kiasi tumefikia kuitana majina. Ye Kong na mimi King. Tafsiri yake ndio hiyo...
  9. Hyrax

    Ukitaka kuwa mtu mwenye Nguvu juu ya ulimwengu huu usifanye mapenzi

    Hawa watu wasiofanya mapenzi kwa namna yoyote ile hata kwa kuifikiria kwenye ubongo wao katika ulimwengu wa sayansi ya kiroho hawa ndio binadamu hatari zaidi kuwepo duniani. Hawa binadamu wa hivi shetani na malaika zake humwogopa kuliko unavyoweza kufikiria kwasababu ukiacha kufanya mapenzi ya...
  10. Hamissi Hamza Jr

    Ukitaka kuoa zingatia yafuatayo

    Duniani Hutaambiwa kila kitu ila Ishi Humu itakusaidia 1.Usioe Mwanamke aliewahi Kuwa na Mahusiano na Wanaume zaidi ya wawili 2.Usioe Mwanamke anaetumia Tiktok au Snapchat 3.Usioe Mwanamke Single mother ambae baba wa mtoto wake yuko hai na akikuambia amekufa ukathibitishe Kabisa kwenye kaburi...
  11. F

    Kama wewe ni bodaboda, basi zingatia haya bodaboda mwenzangu!

    Sheria si za mamlaka bali zimewekwa kulinda mwananchi kama wewe pale majanja yanapotokea.
  12. Bueno

    Zingatia ninayokwambia Mwanangu

    Kwenye haya maisha usipokua Mbishi na ukaishi kibishibishi popote unapoenda ukakaa ukakubari tu watu wakuoneeonee kibwegebwege, mwanangu unakubari tu kila mpuuzi anachukua maamuzi ya kukuoneaonea tu kirahisi rahisi tu unamuacha mjinga mmoja anakuoneaonea na wewe umekaa tu unamwangalia. Sawa...
  13. Komeo Lachuma

    Kama unasugua sana Vipapiro na ni Mzee wa Pekululu Zingatia sana hili

    Ndiyo mimi nina miaka zaidi ya 20 sijatumia kiatu. Napenda kucheza game pekuluku au pekupeku. Nahakikishia uwanja umeloana vizuri sana ndo naingia ndani. Hapo nitavuruga nitakavyo. Kama unapenda kula kipapiro, mbususu , papuchi, kipochi manyoya, kipochi nyevu. Hakikisha kwa usalama wenu kiwe...
  14. stabilityman

    Zingatia suala la ulinzi wa mali zako unapojenga hivi ni baadhi ya siri za ulinzi kama unajenga

    Ujenzi wa sasa hauishii tu kwenye muundo wa nyumba bali unapaswa kuzingatia ulinzi na usalama wa mali zako. Hapa kuna mambo muhimu ya kuzingatia ili kuhakikisha nyumba yako iko salama: 🔹 Mambo Muhimu ya Ulinzi na Usalama ✅ Ufungaji wa Milango na Madirisha Imara Tumia milango ya chuma au yenye...
  15. stabilityman

    Unapojenga nyumba zingatia hili utaijenga kwa gharama ndogo

    Naitwa James ni mbobezi wa kuchora ramani za nyumba kwa miaka mingi Leo nakushauri jambo kubwa na zito ambalo ukizingatia utajenga nyumba kwa ghalama naafuu Kwanza kama unataka raman za nyumba nichek 0743 257 669 na hapo wa.me//255743257669 chagua raman yoyote uitakayo Jambo lenyewe ni hili...
  16. Bei Rahisi Electronics

    Zingatia haya akilini mwako

    Jambo la kwanza naombeni tumpe sana Mungu nafasi katika maisha yetu ikiwa tunayahitaji sana amani,,Tusiache kumwamini Mungu hata kama nafsi zetu zimebeba majuto , Maana kumwamini Mungu kunaleta roho ya kujiamini na ujasiri wa kuendelea na utafutaji wa siku zote.... ENDELEA NA (KUSOMA ) 🧵...
  17. stabilityman

    Kama unataka kununua ardhi zingatia haya

    Unapokuwa unatafuta kununua kiwanja, ni muhimu kuzingatia mambo kadhaa kama vile eneo na ukubwa wa kiwanja, hali ya kisheria ya umiliki, na hati za umiliki. Pia, hakikisha unafanya uchunguzi wa kina kuhusu eneo hilo ili kuepuka udanganyifu na utapeli. Mambo Muhimu ya Kuzingatia Unapokuwa...
  18. K

    Kiongozi kuwaambia wananchi 'Mtake msitake mimi ndio kiongozi wenu'

    Mfano Diwani Fulani Kusimama kwenye Mkutano wa Wananchi na kisha kuwaeleza Mtake Msitake Mimi ndiyo Diwani wenu Na Kweli Kwa nguvu zaaaaaaa Akashinda Akawa haosomi Mapato na Matumizi Haguswi kama sigara zinavyouwa watu Million nane na laki mbili kwa mwaka huku zikiandika kwenye packeti...
  19. BOB LUSE

    ZINGATIA HAYA MMBO, UISHI VIZURI

    Kuna njia tulipita ndefu,zenye maumivu Makubwa na majuto, tusingependa nawewe upite huko! 1) Upo shule/ Chuo achana na issue za mapenzi,zitakupotezea focus ,kukupa stress na gharama 2) Upo mtaani epuka Mahusiano ya Kila unaye muona,ukilala na wanawake/ wenaume wengi unakuwa na majuto mengi...
  20. Braza Kede

    Ukishiriki tendo na mtu usiyeelewa afya yake zingatia mambo haya muhimu

    Ukishiriki tendo na mtu humwelewi afya yake zingatia haya 1. Tumia condom 2. Tumia condom 3. Tumia condom Ikiwa kwa sababu yoyote ile imeshindikana kutumia condom, basi hakikisha unaenda kituo cha afya cha hapo karibu watakupa dawa kinga za kuzuia maambukizi, dawa zinaitwa PEP. Ila lazima...
Back
Top Bottom