zilipendwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshana Jr

    Lingala, rhumba tunes! Zilipendwa

  2. Right Marker

    Part three: Burudika na Instrumental beats za nyimbo za zamani (zilipendwa)

    PART THREE: Hizi hapa 15 INSTRUMENTAL BEATS za nyimbo za zamani (zilipendwa). 1. DULLY SYKES - Salome 2. BABALEVO - Kama kawa 3. SPACK - Ombi langu. 4. JAYDEE - Mambo matano. 5. ANJELLA - Toroka. 6. SUMALEE - Chukua time. 7. TIMBULO - Sina hali. 8. OFFISIDE - Kidudu mtu. 9. MIRROR - Nibembeleze...
  3. Right Marker

    PART TWO: Burudika na Instrumental beats za nyimbo za zamani (zilipendwa)

    PART TWO: Hizi hapa 15 INSTRUMENTAL BEATS za nyimbo za zamani. 1. RADO - Usiulize. 2. DAZZ BABA - Wife. 3. AMIRADO - Nimechoka. 4. TUNDAMAN - Asinah. 5. MAKHIRIKHIRI - Dumelang. 6. BASHARI - Siwema. 7. PICCO - Katoto. 8. BICHEKA - Macho yanacheka. 9. RAY C - Nimekuvumilia. 10. RAY C - Mahaba ya...
  4. Fbn

    Tukumbushane kampuni, mabasi na vengine vilivyo vuma tanzania miaka 2000 kushuka chini

    Mimi nakumbuka kuna mabasi yalikuwa yanaitwa Saibaba,mtoto wa simba. Tukija wanamuziki kulikuwa three sister enzi hizo za ITV wadada fulani swaga za ulaya,mtoto wa dandu,msondo ngoma. Upande vitu navyo kumbuka Airport ya dar ilikuwa free kuingia juu kuangalia ndege. Lengine ilikuwa si rahisi...
  5. T

    Zilipendwa: Champions League 1990 - 2010

    Tunaanza na Barcelona, huku tukienda na timu zingine huko mbeleni..... Edgar Davis Samuel Etoo Ronaldinho Luis Figo Patrick kluivert Rivaldo Puyol
  6. ELI COHEN

    Nimemuambia gen-z mmoja kuwa tulikuwaga tunaweka vocha hakuna huduma ya kujiunga dakika nyingi kwa hio unaongea fasta fasta salio lisikate eti aamini

    Eti anasema "hio ilikuwa miaka ya 80 nini ??🤣🤣🤣🤣🤣" Millenials mmeanza kuwa makumbusho ya taifa sasa
Back
Top Bottom