My Take
Beberu ameufyata vibaraka watakuwa na Hali gani?
Beberu USA amelegeza Masharti kwenye mswaada wake wa kutathmini mahusiano yake na Tanzania Kwa sababu walizowahi zitaja.
Hii inakuja siku chache baada ya Rais Samia kufanya ziara Nchini Urusi iliyotikisa Duniani.
Ieleweke kwamba...
Waziri wa Mambo ya Nje ameeleza kuwa ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan nchini Urusi, imeleta "mtikisiko chanya" wenye athari kubwa ulimwenguni kote, na si kwa Tanzania pekee.
Akizungumza na waandishi wa habari, Waziri huyo alikiri na kuthibitisha uzito...
Waziri wa Mambo ya Nje Thabit Kombo ameeleza kuwa ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan nchini Urusi, imeleta "mtikisiko chanya" wenye athari kubwa ulimwenguni kote, na si kwa Tanzania pekee.
Akizungumza na waandishi wa habari, Waziri huyo alikiri na...
Anaandika Gulatone Masiga
Katika siku za karibuni, ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt Samia Suluhu Hassan, nchini Urusi imeibua mijadala mbalimbali kuhusu mwelekeo wa sera ya mambo ya nje ya Tanzania.
Wapo wanaoona kuwa hatua hiyo inaweza kutafsiriwa kama ishara...
Kuna masuala kadhaa ambayo yanaweza kusaidia kuelewa maana ya safari hii ya Rais Samia kuelekea nchini Urusi. Kwanza, hii ni safari yake ya kwanza nje ya Afrika tangu kuanza awamu yake ya pili. Lakini pia, kwa kumbukumbu zangu, inakuwa kwamba Rais Samia ni Rais wa pili tu wa Tanzania kutembelea...
Rais Samia Suluhu Hassan amefanya ziara nchini Russia inayotajwa kuwa na umuhimu wa kihistoria kwa Tanzania na inafungua hatua mpya za ushirikiano wenye manufaa kwa wananchi wa pande zote mbili.
Samia anakuwa rais wa pili wa Tanzania kutembelea nchi hiyo, tangu Hayati Mwalimu Julius Nyerere...
Ndugu zangu Watanzania,
Najua Kila Mtanzania anafahamu ,kuelewa na kutambua Ya kuwa Ndugu Abdul Ni Mtoto Wa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Wa Taifa Letu. Rais Samia Ni Pamoja na Familia...
Ziara ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan nchini Urusi ni sehemu ya juhudi za kawaida za kidiplomasia zinazolenga kuimarisha uhusiano wa kimataifa na ushirikiano wa kiuchumi, kisiasa na kijamii kati ya mataifa.
Tanzania imekuwa na historia ndefu ya ushirikiano na Urusi ambayo inaanzia enzi za...
Wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akitarajiwa kutua wilayani Maswa kwa ziara ya kihistoria, sintofahamu imeibuka miongoni mwa wananchi na wadau wa maendeleo juu ya maamuzi ya ratiba ya shughuli atakazozindua.
Katika ratiba rasmi, Rais Samia amepangiwa kuzindua...
Tanga: Rais Samia akigawa mitungi ya gesi (LPG) na kuzungumza na wananchi wa Muheza, Tanga Februari 27, 2025.
https://www.youtube.com/live/f7YdbNKOKTs?si=3P4VZ7EdvyNewX9Q
Ester Barua ambaye ni mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Magila iliyopo Muheza mkoani Tanga akiwa kwenye kiti cha Rais Samia...
Rais Samia akifungua shule ya wasichana Tanga Februari 25, 2025.
https://www.youtube.com/live/J2zo4vUF2HA?si=CYaVU5CnldQZy8kG
Rais Samia amependekeza Shule mpya ya Sekondari ya Wasichana Kilindi iitwe jina la aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kilindi kupitia CCM Beatrice Shellukindo aliyefariki...
eneo
katika
kuelekea 2025
kujengwa
makubwa
mkoa
raisraissamiaraissamia tanga
samia
sekondari
shule
shule ya sekondari
tanga
wasichana
ziaraziarayaraisziarayaraissamiaziarayasamia
Wananchi wa Wilaya ya Handeni mkoani Tanga wa kutoka dini mbalimbali, mapema hii leo wamefanya Dua ya kumuombea Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na kuliombea Taifa.
Akitoa salamu za Mkoa wa Tanga wakati wa mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Mkata leo Februari 23, 2025, mkuu wa...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge anatarajiwa kufanya...
Akiwa nchini Cuba Rais Samia Suluhu Hassan ameeleza dhamira yake ya kuunganisha lugha ya Kiswahili na lugha ya Kihispaniola ambayo ni lugha ya pili kwa kuzungumzwa na watu wengi duniani baada ya lugha ya kiingereza
Lengo likiwa ni kuwaleta watu wengi pamoja, kuimarisha ushirikiano wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.