ziara ya kikazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Nancy Nyalusi afanya Ziara ya Kikazi Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo - Iringa

    MHE. NANCY NYALUSI AFANYA ZIARA YA KIKAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA KILOLO - IRINGA MBUNGE wa Viti Maalumu Mkoa wa Iringa (CCM) Mhe. Nancy Nyalusi amefanya ziara ya kikazi katika Halmashauri ya Wilaya Kilolo mkoani Iringa katika kijiji cha Ng'uruwe ambapo amachangia Shilingi Milioni 1 kwenye...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, tunaomba ziara ya kikazi mkoa wa Dar es Salaam hasa hasa wilayani Ubungo

    Wana Dar es Salaam tuna changamoto nyingi sana. Lakini ya barabara imekithiri sana. Tunaomba ziara Dar es Salaam tukueleze shida zetu. Dar es Salaam ina barabara zinachongwa kwa mwaka zaidi ya mara tatu kwa gharama kubwa, lakini barabara ikishachongwa inakaa kwa siku tatu hadi tano tu baada ya...
  3. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Daniel Chogolo , Katibu Mkuu wa CCM Taifa ,anatarajiwa kutembelea mkoa wa Kilimanjaro kwa ziara ya kikazi.

    Taarifa zaidi kuwafikia .
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan akiwa Muscat nchini Oman kwa ajili ya Ziara ya Kikazi ya Siku tatu

    Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan awasili Muscat nchini Oman kwa ajili ya Ziara ya Kikazi ya Siku tatu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na Mwenyeji wake Kiongozi Mkuu wa Taifa la Omani Sultan Haitham bin Tariq Al Said wakati Wimbo wa Taifa wa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Rais kutokupokelewa na Rais mwenzake: Tutofautishe kati ya State Visit (Ziara ya Kitaifa) na Working Visit (Ziara ya Kikazi)

    Tutofautishe kati ya work visit na State visit!! State visit (safari ya kitaifa) lazima ukaribishwe na mkuu wa nchi!! Unapewa heshima zaidi na mapokezi yake yanafanywa na mkuu wa nchi, inaweza kuambatana na kupigiwa mizinga 21 na mwisho wa siku hupewa zawadi kama ukumbusho wa ziara hiyo ya...
  6. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kufanya ziara ya kikazi Ufaransa na Ubelgiji

    Rais wa Tanzania, Samia anatarajia kuelekea Nchini Ufaransa na baadaye Ubelgiji kikazi. Akiwa Ufaransa, atahudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali utakaojadili kuhusu Rasilimali Bahari Duniani. Aidha, atashuhudia utiaji Saini baina ya Serikali ya Tanzania na Ufaransa katika sekta za...
  7. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amefanya ziara ya kikazi ya siku moja Nchini Msumbiji

    Salaam Wakuu, Leo tarehe 28/01/2022 Rais Samia amefanya ziara ya kikazi ya siku moja Nchini Msumbiji. Katika ziara hiyo Rais Samia amepokelewa na mwenyeji wake Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi. Lengo la Ziara hiyo ni kujitambulisha kwa viongozi wenzake wa Nchi za Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini...
Back
Top Bottom