zanzibar

  1. JamiiForums Tanzania Ndoto ya JPM kwa Simba na CAF kupeleka mechi Zanzibar

    Leo nimemkumbuka aliyekua Rais wa JMT hayati John Pombe Magufuli, sehemu ya maneno alisema "naiomba Simba ilete kombe la Afrika hapa". Baada ya JPM kufariki, mwili wake ukaaagwa Dar, ukapelekwa Zanzibar, ukarudishwa Dodoma, ukapelekwa Mwanza kisha mwili wake ukapelekwa Chato kupitia Geita. Hii...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya CRDB kuiwezesha Zanzibar kujenga shule 23 za ghorofa

    Zanzibar. Tarehe 21 Mei 2025: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameipongeza Benki ya CRDB kwa jitihada zake za kusaidia utekelezaji wa miradi ya maendeleo baada ya kusaini mkataba wa mkopo nafuu wa takriban Euro milioni 80 (shilingi bilioni 240)...
  3. JamiiForums Tanzania Video: Simba safarini kuelekea Zanzibar, Hii Tunabeba

    Kikosi cha wekundu wa Msimbazi Simba tayari kimeanza Safari ya kuelekea kisiwani Zanzibar kwenye mchezo wa Fainali ya kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidi ya RS Barkane, Mchezo huo utapigwa Mein25, 2025 katika dimba la New Amaan Complex.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba wanatutapeli,wametuuzia tiketi za fainali kwa Mkapa, ila wanakataa hazitumiki fainali Zanzibar tununue mpya, zitatumika tu Simba day

    Habari wadau. Naona viongozi wanatuchezea mchezo wa kutupiga hela. Mwanzo Wametuuzia tiket kwa ajili ya fainali ya shirikisho caf kwa mkapa. Mchezo umehamishiwa zanzibar ila hawataki kuruhusu tiket hizo hizo walizotuuzia za fainali tukazitumie kuingia zanzibar kuchek fainali. Wanasema...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Wakenya wameamua kuikomboa Tanganyika ilokaliwa kwa mabavu na Zanzibar huku Watanganyika wenyewe wakishangaa tu

    Watu wazito sana wameingia Tanganyika kutokea Kenya Sitaki kuamini kuwa hawakuwa na barakaza ikulu ya Nairobi serikali ya Kenya inajua yote kuhusiana na wana harakati wake kuanzisha harakati ya kuipinga serikali ya maguvu ya CCM Katika mambo yalioitisha sana serikali ni hili jambo Wanajua...
  6. JamiiForums Tanzania Bila aibu simba wametangaza viingilio vipya uwanja wa new amani zanzibar

    Hivi kwanini simba inadharau wapenzi wa mpira Tanzania kwa kiwango kikubwa hivi na mamlaka zipo zinawaangalia https://www.jamiiforums.com/threads/viongozi-wa-simba-ingetakiwa-mpaka-mda-huu-wawe-either-wapo-kituo-cha-polisi-au-wameshajulishwa-wito-wa-kwenda-kituo-cha-polisi.2341550/#post-53830019
  7. JamiiForums Tanzania CAF: Ripoti ya Mkaguzi imeonesha Uwanja wa Mkapa hauwezi kukamilika kwa ajili ya Fainali ya Simba Vs Berkane

    CAF ilishirikiana na kusaidia Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (“TFF”) pamoja na Wadau wengine kuwezesha Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam kuwa mwenyeji wa Mchezo wa Marudiano wa Fainali ya Kombe la Shirikisho la CAF la TotalEnergies 2024/25 Shirikisho la Soka Barani Afrika...
  8. JamiiForums Tanzania 'Technically' nina wasiwasi na Simba SC kupata Matokeo CAFCC Final huko New Amaan Stadium Zanzibar

    Kwanini? 1. Tayari Saikolojia ya Wachezaji wa Simba SC iko chini kwani wengi Wao baada ya Mechi ya Kwanza Morocco kumalizika na hata majuzi walivyokuwa wakirejea Uwanja wa Ndege JNIA walikuwa wakisema Berkane FC watakiona cha Moto kwa Mkapa kwani Wao wakijua tu wanacheza kwa Mkapa huwa wanakuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Kwenye hili la mechi ya Simba kuchezewa Zanzibar Kuna uhuni ndani yake, nani aliyeruhusu awali mechi ichezewe Zanzibar bila TFF na Simba kujua?

    Taifa limefikia hatua ya kuwa na matapeli Kila mahali, hivi kwa akili za kawaida tu CAF walijisemea tu wenyewe mechi iwe Zanzibar bila watu wetu kuwaandikia barua? Haiwezekani na haipo viwanja vipi vingi Afrika na kama maofisa wa CAF lazima walifika benja kukagua na kusema hapana basi hata...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Game kuchezwa Zanzibar ni Funzo kwetu

    Kuna jambo la kujifunza hapa kwa timu zetu za ndani: mamlaka ya yakishaamua jambo, hata kama una ukakasi nalo - weka hisia pembeni, tii mamlaka. Naamini kabisa uongozi wa simba walijua kabisa ni ngumu/haiwezekani CAF kubadilisha maamuzi ila waliamua kuingiza chaka mashabiki zao kwa kufanya...
  11. JamiiForums Tanzania Zanzibar yenye Mamlaka Kamili

    Kama una amini siku zanzibar itarudi kua dola basi comment make ZANZIBAR great again Soma Pia: Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?
  12. R

    JamiiForums Tanzania Tusiwe na hofu ! uongozi wa uwanja wa Zanzibar na Shirikka la soka Zanzibar wamejaa viongozi mashabiki wa Simba.

    Hofu ni kwenu tu. Nimeambiwa na mdau wa soka kutoka Zanzibar, Viongozi wengi wa soka na uongozi wa Uwanja ni mashabiki wa Simba,
  13. JamiiForums Tanzania Klabu ya Simba yathibitisha mechi ya Fainali ya CAF kuchezwa Zanzibar

    Klabu ya Simba imewatangazia rasmi mashabiki wake na umma kwa ujumla kuwa mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika (CAF Confederation Cup) dhidi ya RS Berkane kutoka Morocco, uliopangwa kufanyika Mei 25, 2025, hautachezwa tena kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kama...
  14. JamiiForums Tanzania CAF wakaza, Fainali ya pili kupigwa New Amaan Complex, Zanzibar Saa 10 Jioni

    Mchezo wa fainali ya pili ya Kombe la shirikisho barani Afrika (CAFCC) utapigwa uwanja wa New Amaan Complex, Visiwani Zanzibar, saa kumi jioni. CAF wameshaanza kufanya branding ya uwanja wa mchezo wa fainali ya pili ya CAFCC.
  15. JamiiForums Tanzania Algeria ni salama zaidi kwa Simba kuliko Zanzibar

    Tunaojua Sanaa ya Vita tunajua kamwe usiruhusu adui yako akakuchagulia silaha. Daudi alipoingia uwanja wa vita kumkabili Goliath alikataa kuvaa na kubeba silaha alizopewa, akalazimisha kwenda na vikokoto vyake alivyovizoea kila siku. Watu wakamshangaa huyu vipi, ana akili kweli? Mwisho wa siku...
  16. JamiiForums Tanzania Khanga kubwa kutoka Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Material: Cotton Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3 kila moja. Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Simba tukacheze tu Zanzibar ili ionekane TULITOLEWA UGENINI(AWAY).

    Hakuna namna au miujiza ya kuifunga Barken. Nawaomba viongozi wangu wa Simba wakubali tu kwenda kucheza Zanzibar game ya marudiano. Hatutapata aibu kama itakavyokuwa kwenye uwanja wa Mkapa. Tena tushukuru Mungu, jana ilikuwa tupigwe goli 5 Halafu MO katuangusha sana, yaani kashindwa...
  18. K

    JamiiForums Tanzania CAF yafunguka sababu za kuipeleka Simba Zanzibar

    SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limeeleza sababu za kuupeleka mchezo wa marudiano wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Simba SC na RS Berkane ya Morocco, kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, mjini Zanzibar. Wakati vigogo hao wa Ligi Kuu Tanzania Bara wakiwa tayari wameanza kujipanga...
  19. JamiiForums Tanzania Zanzibar Kuna viwanja vya kisasa, Tanganyika hakuna viwanja

    Pamoja na ushabiki wangu wa Yanga ila ningependa tukio la kihostoria la mechi ya Simba dhidi ya RS Berkane ingechezwa Tanganyika Hii mechi ni kubwa na Watanganyika wangefurahi kuwa sehemu ya tukio hili la final ya shirikisho Ajabu Zanzibar ambayo ni Taifa dogo Lina viwanja vya kisasa kama...
  20. JamiiForums Tanzania Mo dewji kaamua kuwasiliana moja kwa moja na raisi wa CAF, motsepe kuhusu mechi ya fainali kuchezwa zenji

    President of Tanzanian giants Simba SC Mr Mo Dewji has sent a direct message to CAF President Dr Patrice Motsepe. Mr Mo felt so much disappointed in the decision to send the 2024/25 CAF Confederation Cup final to Zanzibar. He asked CAF President to intervene in this and ensure that the game is...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…