zake

Zakes Makgona Mokae (5 August 1934 – 11 September 2009) was a South African-American actor of theatre and film.

View More On Wikipedia.org
  1. G

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kumsikia akikemea ufisadi kwenye hotuba zake

    Tangu aingie madarakani baada ya kifo cha bwana yule, sijawahi kumsikia alikemea au akimtumbua mtu kwa sababu ya ufisadi. Katika awamu yake ufisadi umeshamiri sana. Kila mteule wake kwa sasa ni bilionea huku miradi mingi ya maendeleo ikikosa fedha. Je ukimya wake ni kukiri kuwa yeye ni Shemu ya...
  2. JamiiForums Tanzania Usiwe mwepesi wa kumchukia mtu kwakusikia tu habari zake bila kuuthibitisha ukweli

    Usifanye makosa ya kumchukia mtu kwa kusikia tu habari zake au kwa kumfikiria vibaya . Unaweza ukakutana na huyo mtu ukagundua yupo tofauti kabisa na ulivyosikia kuhusu yeye , ulivyoambiwa , au ulivyomfikiria. Wapo watu wana tabia ya kusambaza sumu ya uadui kwa watu wengine.
  3. JamiiForums Tanzania Its even more crazier kufikiria kwamba jinsi mwanadamu anavyozidi kubunu mbinu za ku-survive ndivyo anavyoongeza njia zake za kupukutika

    Madawa na chanjo ili kushinda ugonjwa fulani lakini zinaacha particles za sumu mwilini kupelekea kuwa prone na magonjwa mwengine. Chemicals na elements katika vyakula ili kushinda ushindani ila ndio hivyo zinashinda pia na afya zetu. Booster na ngao katika wanyama na mazao ili kuwa bora zaidi...
  4. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama yake na dada zake wanashirikiana amwache mke wake hadi kwenda kwa waganga kumroga, Hivi wanawake wapo timamu kweli ?

    Kuna mdau ni rafiki wa muda mrefu tangu tukiwa shule ya msingi. elimu ipo, roho safi na kwa bahati nzuri alipata connection kuajiriwa moja ya shirika kubwa, so yupo vizuri financially. Sasa tangu aoe hali imekuwa tete, nasema ni tete kwasababu sio kawaida mwanaume mwenzako kuja kukuomba...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa wanaharakati kufungua kesi dhidi ya serikali juu ya kukamata mali zake kwa utekelezaji wa hukumu

    Habarini, Hili limekuwa janga kubwa wananchi wanaidai serikali halafu serikali haijali pamoja na waanchi kushinda kesi mahakamani. Viongozi wa serikali wanafuja pesa za serikali kwakununua maV8,posho,nk wakati wanadaiwa na wananchi. Hii haiingii akilini kabisa linapaswa kupingwa mahakamani vikali.
  6. JamiiForums Tanzania Marekani na Marafiki zake wameishaingia kwenye Mtego wa Iran. Hakuna rangi wataacha kuona

    Iran ilikuwa inafanya kusudi kuruhusu ndege za israel zinazoendeshwa na mademu ziingie kuua viongozi wake na kulipua maeneo ya silaha. Ilikuwa ni makusudi ili Marekani waingie mtegoni. Israel wameharibu sana silaha za Iran. Na maeneo mengi kwa kupiga kimkakati. Si sababu Iran haiwezi zuia. Ila...
  7. JamiiForums Tanzania Tetesi: Hakuna Mbunge wa kuletea Jimbo maendeleo unlesss atumie pesa zake mwenyewe, Hizi Mindset ni za kijinga sana.

    Maendeleo ya nchi yataletwa na sera nzuri za kitaifa sio za Jimbo moja la uchaguzi au Mbubunge pale Jimboni kwake.Hizi hadaaa zina tucost sana. Hizi mindi set ndio hufanya wananchi mfano kule Vunjo walimchagua Kimei waki connect na CRDB Bank kwamba labda pesa za CRDB zitahamishiwa vunjo na raia...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni huzuni kuona jitu zima na akili zake lina-fall in love kama litoto

    Inasikitisha sana wakuu. Yaan pale unaona mwanaume amekua zoba kwa dem ambae ni malaya grade A. Dem ameshaliwa mikao na matundu yote kisha anatokea boya mmoja mwenye ushamba wa madem eti anaweka ndani. Kwanza unatuchukulia malaya wetu tulozoea kumpiga mitungo na kujilia tunavyotaka. Hii tabia...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Israel Taratibu Ananza Kukiri Ndege Zake Zimeangushwa

    Walikuwa wanakataa sa wameanza kukubali leo wamekiri kuna ndege yao imeangushwa https://youtu.be/4R3XpS3og1c?si=MFyCN2dqy7l9qucJ
  10. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mzee wangu alikuwa Askari, hajapata stahiki zake za kustaafu za Mwaka 1987 – 2003

    Baba yangu ni Askari Mstaafu mwenye Namba X_C1611 PC, nyaraka zake zinaonesha aliajiriwa Mwaka 1973, alipostaafu Mwaka 1987 kulitokea mkanganyiko wa cheki yake ya malipo. Cheki ilipelekwa Singida badala ya Kagera, alipokuja kushtuka baadaye akaifuatilia na kubaini hadi muda anafuatilia tayari...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Goli la Mama na ndege zake siyo shida, ila kusuruhishwa na Mama ndiyo kuingilia soka..! Bongo itaendelea kuwa bongo!

    Simba, juzi juzi tu kuelekea fainal yenu, Mama alitoa karibu gharama zote simba kwenda na kurudi Moroco, mlimpongeza mama kwa vicheko na furaha meno yote 32 nje nje kwa furaha mlokuwa nayo Leo kawaita kuwasuruhisha, mnasema anaingilia soka na mambo yasiyomhusu Yanayomhusu ni kutoa pesa za goli...
  12. JamiiForums Tanzania Debora Tluway: Jimbo la Nsimbo CCM na Jumuiya Zake Tuko Salama

    Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Taifa Ndg. Debora Tluway amewataka Wananchi kuendelea kuendelea kujiandaa Kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 kuhakikisha wanakipa Chama Cha Mapinduzi kura za kishindo. Ameyasema hayo wakati wa mkutano wa hadhara...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Israel furaha yake ipo kwenye uvumbuzi wa siraha na kupiga adui zake kama mlivyo Watangawizi, furaha yenu ni mikopo na kufungana jela

    Israel, kazi zingine ni kama gelesha tu Ila chaguo lao namba moja, ni tekenorojia hasa ya uvumbuzi wa siraha na uwezo wa kuzitumia Wamewekeza akili mingi kwenye jambo hilo kuliko kingine chote Hii hasa ni kutokana na nchi zinazoizunguka Israel kutoa matamko ya kijinga kuwa eti wataifuta...
  14. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi Wakristo kuishabikia Israeli inapowapa vipondo majirani zake?

    Swali langu ni hilo kwenu nyinyi mnaoshangilia na kuruka ruka mnaposikia Israeli imewapa vipondo majirani zake. Naomba mnipe majibu yenye msingi wa Maandiko. Mimi Biblia yangu inanikataza kufurahia vita na mauaji na badala yake inanihimiza kuombea amani na kuwa mpatanishi. "Heri wapatanishi...
  15. JamiiForums Tanzania MX Carter ni Nani? Na Kwanini Wasanii Wanalalamika Kuhusu Dhuluma Zake?

    Habari za wakati huu wadau wa JamiiForums, Kumekuwa na gumzo kubwa mitandaoni kuhusu mtu anayejulikana kwa jina la MX Carter. Inaonekana kuwa jina hili limehusishwa sana na masuala ya usambazaji wa kazi za wasanii kwenye majukwaa ya kidijitali kama YouTube, Spotify, na mengineyo. Kinachoshangaza...
  16. JamiiForums Tanzania Tunaoujua Mpira wa Tanzania na Sarakasi zake tukiwa tunasema Jambo muwe mnatusikiliza tafadhali, haya jiandaeni muda wowote na Press ya TUNACHEZA Dabi

    Waliosema hadi Kuapia Mizimu na Miungu yao sasa wanajiandaa kuja na Press Conference ya Kuwaambia Mashabkiki zao kuwa baada ya Kikoa na Maelewano baina yao na waliokuwa Wanatunishiana Misuli na kwa Maslahi mapana na Mpira wa Tanzania wamekubali kuweka Silaha chini na KUCHEZA hiyo Mechi ambayo...
  17. JamiiForums Tanzania Mungu. Alikataza mambo yafuatayo katika amri zake kumi. Sasa hawa wanasiasa wanataka kutuambia au kutudanganya katika mambo yaliyo wazi

    Wakuu kwa namna baadhi ya viongozi wa dini wanavyo tumika kutetea watu flani wale wa kikindj cha utekaji nk. Wanaposimama pale madhabahuni na wanapo hubiri au kuungamisha waumi hivi wana jua uzito wa amri ile ya kwanza (kwa wakristo) Ni aibu na fedheha yenye kusononesha kwa mkuu wa kanisa kama...
  18. JamiiForums Tanzania Mavazi ya Jeshi na bajeti zake USA

    Mavazi ya kivita katika Jeshi la Marekani (U.S. Military) ni ya kisasa, yanayotumia teknolojia ya hali ya juu kwa ajili ya kulinda askari vitani, kuongeza ufanisi na kuwapa uwezo wa kuhimili mazingira mbalimbali ya mapigano. Gharama ya mavazi haya inategemea na aina ya kikosi (kama Army, Navy...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali tusaidieni kujua nani aliahirisha derby na sababu zake

    Tanzania Ina technology ya kisasa kabisa katika nyanja ya mawasiliano inayoweza kutusaidia kujua mawasiliano yote yalisaidia kuahirisha mechi ya Simba na Yanga iliyokuwa imepangwa kufanyika 8 Match 2025. Sakata hili limevuka katika ngazi ya michezo na Sasa limefika katika ngazi ya usalama...
  20. JamiiForums Tanzania Hajatokea na hatatokea Manipulator kwenye siasa kama Mobutu Seseko ila ngebe zake zote zilikoma baada ya Nyakati kumkataa

    Alitengeneza mamia ya vyama vya siasa ili kuidanganya dunia kuwa Congo kuna demokrasia na vyama vingi. Vyama vya siasa vya kidalali vilikuwa vinajifanya kushindana nae kwenye uchaguzi alafu vinatangaza kumuunga mkono. Alitegeneza machawa wa kumsifia kila kona na kwenye kila jambo kiasi kwamba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…