zaidi ya

Zaidiyyah, Zaidism, or Zaidi Shiasm (Arabic: الزيدية‎ az-zaydiyya, adjective form Zaidi or Zaydi (occasionally known as Fiver Shias) is one of the Shia sects closest in terms of theology to the Ibadi and Mutazila schools. Zaidiyyah emerged in the eighth century from Shi'a Islam. Zaidis are named after Zayd ibn ʻAlī, the grandson of Husayn ibn ʻAlī and the son of the fourth Imam Ali ibn 'Husain. Followers of the Zaydi Islamic jurisprudence are called Zaydi Shia and make up about 50% of Muslims in Yemen, with the greatest majority of Shia Muslims in that country being of the Zaydi school of thought.

View More On Wikipedia.org
  1. 2020 GEORGIA BANK ROBBERY: Mtu mmoja (inasemekana ni mwanajeshi muasi) anawezaje kuwachukua mateka watu zaidi ya 40 kwa wakati mmoja bila kizingiti?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Eti ndugu zangu watanzania; Mtu mmoja (inasemekana ni mwanajeshi muasi) anawezaje kuwachukua mateka watu zaidi ya 40 kwa wakati mmoja bila kizingiti? Polisi katika jamhuri ya zamani ya Soviet ya Georgia walikuwa wakimtafuta jambazi wa benki...
  2. GE2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo kufanya maandamano ya amani Nov 2, 2020 kupinga kuvurugwa kwa Uchaguzi Mkuu

    CHADEMA na ACT Wazalendo tunautangazia umma na wanaopinga kuvurugwa kwa Uchaguzi Mkuu kushiriki Maandamano ya Amani kesho Jumatatu ya Tarehe 2/11/20. Madhumuni ya Maandamano ni kudai kurudiwa Uchaguzi Mkuu chini ya Tume Huru ya Uchaguzi. Maandamano yataanzia sehemu 2, kundi moja litaanzia...
  3. D

    GE2020 Kura zaidi ya laki mbili za Urais kuharibika ni jambo la ajabu sana na aibu kubwa kwa nchi

    Yani kuacha Magufuli na Lissu, unakuja kugundua kuwa mshindi aliyeshika nafasi ya tatu kati ya hao 15 ni kura zilizo haribika. Yani zaidi ya kura laki mbili ziliharibika. Ni kura nyingi kuliko za mgombea Ibrahim Lipumba ambaye alizunguka nchi nzima kuomba kura. Ni kura nyingi kuliko kura za...
  4. Tuwe wakweli hapa, Wabunge wa CHADEMA wamekaa zaidi ya miaka 10 Bungeni!

    Binafsi naona ni sawa kabisa kwa Wabunge wa chadema kuondolewa, wengi wao wamekuwa Wabunge kwa miaka 10 au zaidi, kuanzia Halima Mdee kawa Mbunge wa Kawe kwa miaka 10, Sugu kawa Mbunge Mbeya City kwa miaka 10, Lema kawa Mbunge Arusha City miaka 10, Mbowe kawa Mbunge kwa zaidi ya miaka 15, Zito...
  5. Benard Membe, hii ni zaidi ya ukachero

    LAZIMA tujue kuwa anguko la CHADEMA mwaka huu ni la kihistoria. Haijawahi kutokea tangu kuanza kwa Mfumo wa Vyama vingi mwaka 1992. Labda kwa wasiofahamu dhambi ya kumkataa Jasusi au Kachero (Membe) kwenye Chama hicho ndio mwanzo wa kujiangusha wenyewe. Membe hakuridhika kukataliwa na CHADEMA...
  6. J

    GE2020 CHADEMA wakipata Wabunge zaidi ya watatu tuwapongeze

    Kiukweli endapo CHADEMA watabahatika kupata wabunge watatu au zaidi basi watastahili kupongezwa. Kwa mfano hapa Dar es Salaam nimepita katika viituo vingi vya kupigia kura na kushuhudia CCM ikiwa ina mawakala katika kila chumba cha kupigia kura wakati vyama vya upinzani wakiwemo CHADEMA wana...
  7. B

    Jinsi ya kucalculate kiasi cha kodi kinachozidi endapo CIF ya gari itakuwa kubwa zaidi ya CIF ya kwenye calculator ya TRA.

    Habari za muda wakuu, Naomba kupata ufafanuzi ni jinsi gani TRA wanacalculate kodi endapo itatokea gharama za CIF uliyonunulia gari imekuwa kubwa kuliko ya kwenye calculator yao.
  8. Kwa mkupuo, Twitter imeverify account za Watanzania zaidi ya 6

    Habari za hivi punde zinazoashiria upepo wa matumaini unazidi kuvuma, ni kuwa Twitter imeverify account zifuafazo, tena kwa mkupuo. Tundu Lissu Fatma Karume Chadema Tanzania John Mnyika Zitto Kabwe Carherine Ruge ACT Wazalendo Najua kuna watakaokuja na kubeza na hata kutaka kulinganisha na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…