Wananchi wa Kata ya Naalarami, Wilaya ya Monduli mkoani Arusha, wanaendelea kukabiliwa na changamoto kubwa ya uhaba wa maji, hali inayoathiri shughuli zao za kila siku pamoja na utoaji wa huduma muhimu za kijamii.
Wakati wa ziara ya Mbunge wa Jimbo la Monduli, Isack Joseph, wananchi walimlaki...