yuda iskariote

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Angalizo: Sio kila Yuda ni Yuda Iskariote, kuna Yuda Tadei! Na sio kila usaliti ni uovu, kuna usaliti mwema. Je, Yuda wetu ni Yuda yupi?

    Wanabodi, Leo nimepata fursa ya kuendesha darasa kuhusu dhana ya usaliti, ambayo inatumia jina la Yuda. Kufuatia Yuda Iskariote kumsaliti Bwana Yesu kwa vipande 30 vya fedha, kumelichafua jina la Yuda, mtu akisikia tuu Yuda, akili yake inamtuma moja kwa moja kwenye dhana ya usaliti akidhani...
  2. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Picha: Yuda Iskariote akiwa airport JKIA akitekeleza majukumu yake.

    Yule mbunge kutoka Zanzibar akiiona hii picha anasemaje moyoni kwake?
  3. figganigga

    JamiiForums Tanzania Wakongo wanambananga na Kumbagaza Samia Suluhu. Eti anapenda pesa kuliko Yuda Iskariote. Kawakosea nini?

    Wakongo wanamsema vibaya Samia Suluhu Hassan Wanadai anapenda hela sana kuliko Yuda Iskariote. Kawakosea nini? Wanadai anaweza kuuza hata damu ya watoto wake.. Je, ni kweli Samia Suluhu Hassan ana roho mbaya kiasi hivi? Nahisi wakongo wanatumiwa na Mabeberu
  4. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Qatar ni hatari zaidi kuliko Iran' Inauma na kupuliza ni “Yuda Iskariote”

    'Qatar imekuwa mpatanishi katika migogoro mingi inayotokea huko Mashariki ya kati kati ya Israel na magaidi wa Hamas ni mara nyingi imejulikana katika ubadirishanaji wa mateka waliotekwa na magaidi wa Hamas hapo Oct 07 ,2023. Kwa upande wa pili Qatar ni mfadhili Mkuu wa magaidi wa Hamas ukiondoa...
  5. Mfilisiti

    JamiiForums Tanzania Yuda Iskariote kumsaliti Yesu, inamaanisha nini?

    Amani ya Bwana na iwe nanyi nyote, Wakuu tukiwa katika kipindi hiki cha sikukuu ya Pasaka kuna kitu kimenitafakarisha kuhusu Yuda Iskariote kumsaliti Yesu, Naomba wabobezi wa maandiko mnijibu haya maswali: 1: (a)Je, wakuuu wa makuhani na Mafarisayo sura ya Yesu walikua hawaijui? hadi kumtumia...
  6. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Yuda Iskariote chuma kilicho piga pesa ndefu na kumsaliti Yesu

    Yuda a.k.a chuma ndiye mwamba uliyeona pesa ni bora kuliko Yesu. Kabla ya siku ya Alhamis Kuu kama iaminiavyo na Wakristo wengi hapa Duniani chuma kilikuwa kimeshalamba advance yake mapema kabisa na Mafarisayo kama wote mida ya jioni jioni ya Alhamis Kuu ndiwo walikuwa wapambe wake huku...
  7. Wakipekee

    JamiiForums Tanzania Mkasa: Rafiki yangu alipogeuka Yuda Iskariote

    Leo nimekumbuka mkasa huu nikawa nacheka sana. Ingawa imepita miaka karibia mitano hivi lakini ntajitahidi kusimulia tukio jinsi lilivokua pale KGB ilikupokumbana na ujasusi wa CIA. Moto uliwaka. NB; Majina ntakayotumia humu sio halisi ili kuficha ID yangu. Usiku mmoja nikiwa katika harakati...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Heko CHADEMA kushinda kishawishi kilichomshinda Yuda Iskariote

    Katika dunia tunayoishi nyakati hizi hakuna kishawishi chenye nguvu kama fedha. Maandiko yanasema katika Biblia takatifu fedha ni jawabu ya mambo yote na pia ni shina moja la mabaya ya kila namna ni kupenda fedha. Usipokuwa mwangalifu sana na fedha inaweza kutumika kukumaliza. Si kila fedha...
Back
Top Bottom