yoweri museveni

Yoweri Kaguta Museveni (born 15 September 1944) is a politician who has served as President of Uganda since 1986. Museveni was involved in rebellions that toppled Ugandan leaders Idi Amin (1971–79) and Milton Obote (1980–85) before he captured power in 1986.
In the mid- to late 1990s, Museveni was celebrated by the West as part of a new generation of African leaders. During Museveni's presidency, Uganda has experienced relative peace and significant success. Museveni's presidency has been marred by involvement in the Congo wars, the Rwandan Civil War, and other Great Lakes region conflicts; the rebellion in Northern Uganda by the Lord's Resistance Army, which caused a humanitarian emergency; and the suppression of political opposition and constitutional amendments scrapping presidential term limits (2005) and the presidential age limit (2017). On 16 January 2021, the electoral commission of Uganda announced that Museveni won re-election for a sixth term with 58.6% of the vote, despite allegations of electoral fraud, violent suppression of the opposition, and human rights abuses.

View More On Wikipedia.org
  1. Eronda

    Just In: Gen. Yoweri Museveni Endorses Anita Among for Speaker

    The National resistance Movement Secretary General Hon. Richard Todwong has confirmed that Gen. Yoweri Museveni has endorsed CEC resolutions confirming Anita Among and Thomas Tayebwa as Speaker and Deputy Speaker respectively as NRM candidate for upcoming speakership race for the 12th...
  2. PAYE

    Rais wa Uganda, Yoweri Museveni awasili Ikulu, Dar kwa ziara ya kikazi

    Rais wa Uganda, Yoweri Museveni akiwasili viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam na kupokelewa na mwenyeji wake Rais Samia Suluhu ambapo wanakutana kujadili mambo mbalimbali ya kiuchumi na maendeleo baina ya Tanzania na Uganda. Rais Museveni yupo nchini Tanzania kwa ziara ya kikazi ya siku...
  3. Roving Journalist

    Rai wa Uganda, Yoweri Museveni kuwasili Tanzania kesho Februari 7, 2026 kufanya ziara ya siku moja

  4. Mkalukungone Mwamba

    Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika apongeza Uchaguzi wa Uganda na kumpongeza Rais Yoweri Museveni kwa kuchaguliwa tena

    Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika amepongeza mwenendo wa uchaguzi nchini Uganda na kumpongeza Rais Yoweri Museveni kwa kuchaguliwa tena. Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika, Mheshimiwa Mahmoud Ali Youssouf, amepongeza namna uchaguzi ulivyoendeshwa nchini Uganda na kumpongeza Mheshimiwa...
  5. Waufukweni

    Yoweri Museveni atangazwa kushinda Urais wa Uganda kwa 71.6%

    Tume Huru ya Uchaguzi imemtangaza Rais Museveni, mwenye umri wa miaka 81, kuwa mshindi wa Uchaguzi Mkuu wa Uganda uliofanyika Januari 15, 2026, akipata asilimia 71.6 huku mpinzani wake Bobi Wine akishika nafasi ya pili kwa asilimia 24.72 ya jumla ya kura halali zilizopigwa, na kuendeleza utawala...
  6. M

    Yoweri Museveni anaongoza mbio za urais dhidi ya Bobi Wine

    Kufikia tarehe 16 Januari 2026, matokeo ya uchaguzi wa rais nchini Uganda bado yanaendelea kuhesabiwa kufuatia upigaji kura uliofanyika Januari 15. Taarifa rasmi zinatarajiwa kutolewa ifikapo Januari 18. Matokeo ya awali kutoka vituo 133 vilivyojumlishwa yanaonyesha Yoweri Museveni (NRM)...
  7. Mkalukungone Mwamba

    Museveni asema anatarajia kushinda asilimia 80 ya kura “iwapo hakutakuwa na wizi”

    Wananchi wa Uganda walipiga kura Alhamisi katika uchaguzi wa kitaifa uliojaa mvutano, kufuatia kampeni iliyokuwa mara nyingi na vurugu pamoja na kuzimwa kwa mtandao, huku Rais Yoweri Museveni akitafuta kuongeza muda wa utawala wake kuingia katika muongo wa tano. Museveni aliwaambia waandishi wa...
  8. Scared

    Kwa nilichokiona kwa Bobi Wine jana, Museveni jiandae. Uganda lazima wachapane

    Jana Kuna video nimeona Gen Z wa Uganda yaani wana vibe la hasira wakimshangilia Bob Wine Aisee hiki ni kipindi kibaya sana Kwa majizi na madiktekta duniani Yaani vijana wanawakataa hadharani. Fikiria vijana wako radhi wauwawe ila sio kukubali kuendeshwa na diktekta kitawaka hapo Uganda kesho
  9. McLaren

    Mwanamke afariki dunia akigombea fulana za chama cha NRM zenye picha ya Museveni kwenye mkutano wa kampeni

    Mwanamke mwenye umri wa miaka 28, Rose Ajiko, amefariki dunia baada ya kukanyagwa katika msongamano wa watu wakati wa kugombea fulana za NRM wilayani Soroti. Tukio hilo lilitokea Jumamosi Januari 10, 2026, katika mkutano wa kampeni wa Mbunge wa Kaunti ya Soroti, Patrick Aeku, uliofanyika Shule...
  10. McLaren

    Raia akamatwa na Polisi wa Uganda kwa kumiliki vifaa na zana za Uchaguzi

    Polisi nchini Uganda wamemkamata raia mmoja pamoja na wafanyakazi wawili wa Tume ya Uchaguzi kwa tuhuma za kumiliki vifaa vya uchaguzi, ikiwemo fomu 862 zenye taarifa muhimu za wapiga kura na fomu 83 zinazorekodi wasimamizi wa uchaguzi waliopokea vifaa hivyo. Aliyekamatwa ni Matovu Micheal...
  11. DuaZaMama

    Museveni ataka Afrika iungane kijeshi, asema bara lina faida katika vita vya nchi kavu

    Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, ametoa wito kwa mataifa ya Afrika kuungana kijeshi na kimkakati ili kulinda usalama wa bara hili, akidai kuwa ingawa mataifa makubwa kama Marekani yana nguvu kubwa angani na baharini, Afrika inaweza kuwa na faida kubwa katika vita vya nchi kavu. Akizungumza na...
  12. M

    Natabiri Tarehe 15 January 2026 siku ya uchaguzi wa Uganda itakuwa ni siku mbaya sana, waganda wengi sana watapigwa risasi

    Presha ya uchaguzi imekuwa kubwa sana nchini Uganda huku wananchi wakionesha kuchoka na rais wa wa tangu mwaka 1986 Mzee Museveni. Siku ya uchaguzi ni 15 January 2026 na sioni ikiisha salama kama ilivyozoeleka, Museveni ameshatoa onyo kuna risasi nyingi kuzidi waandamaji, tayari kajiandaa kwa...
  13. H

    Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi akishiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Jumuiya za Ukanda wa Maziwa Makuu na Nchi Wanachama

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akishiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Jumuiya za Ukanda wa Maziwa Makuu na Nchi Wanachama wa Mkataba wa Amani, Usalama na Ushirikiano kwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na eneo la...
  14. Mafyangula

    Museveni: Mataifa ya ulaya Waliwapotosha Watanzania Kufanya Ghasia

    Rais Yoweri Museveni ametoa onyo kwamba mataifa ya Ulaya yanaanzisha vurugu na machafuko katika eneo la Afrika Mashariki, akiwatuhumu kwa kuwapotosha vijana nchini Tanzania na mataifa mengine jirani kwa lengo la kuleta ukosefu wa utulivu na kudhoofisha juhudi za maendeleo ya viwanda na mafuta za...
  15. McLaren

    GE2025 Hivi ndivyo Watanzania Walivyomsalimia Museveni baada ya kupongeza "ushindi" wa Samia

    Wakuu, Nilikuwa nilipitia post ya Museveni akiwa anampongeza Samia kwa kushinda Urais na kupitia hiyo post nimeona Watanzania wametuma salamu mbili tatu hapo Uzuri wa Watanzania siku hizi wanafuatilia vitu na wanajua what they are talking about. Ni aibu sana kwa nchi ambayo ilikuwa ni kitovu...
  16. W

    FALSE Museveni: This is my last time vying for Presidency

    Uganda president Yoweri museveni says this is the last time he is vying for presidency in Uganda, urges Ugandans to come in large numbers and vote for him for the last time.
  17. Mindyou

    Mfanyabiashara wa Sudan Mo Ibrahim amkemea Rais Samia na Yoweri Museveni juu ya uonevu anaowafanyia upinzani. Atoa kauli hii

    Mfanyabiashara wa Sudan aliye na uraia wa Uingereza, Mo Ibrahim, amewataka Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania na Rais Yoweri Museveni wa Uganda waache kutumia vyombo vya dola kukandamiza wapinzani Akizungumza katika hafla ya Ibrahim Governance Weekend huko Marrakech, Morocco, Mo alikemea...
  18. DuaZaMama

    Rais Museveni aruhusu mahakama za kijeshi kuhukumu Raia

    Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amesaini marekebisho ya Sheria ya Jeshi la Ulinzi yanayoruhusu raia kuhukumiwa na mahakama za kijeshi katika mazingira maalum. Serikali imesema sheria hiyo inalenga kuimarisha usalama wa taifa, huku wakosoaji wakisema sheria hiyo inakiuka uamuzi wa Mahakama ya...
  19. Ojuolegbha

    Waziri Kombo awasilisha ujumbe wa Rais Samia kwa Museveni

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amewasilisha ujumbe Malumu kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan kwa Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mhe. Gen. Yoweri Kaguta Museveni Entebbe, Uganda. Tarehe 13 Mei...
  20. Mindyou

    Kijana aliyetaka kumvamia Museveni akiwa jukwaani adhibitiwa

    Wakuu, Askari wa Usalama wanaomlinda Rais wa Uganda Yoweri Museveni walimzuia mwanaume asiyetambuliwa aliyekuwa akijaribu kumkaribia Rais Museveni katika viwanja vya Msikiti wa Mbogo wakati wa mkutano wa kampeni za mgombea wa NRM, Faridah Nambi anayewania ubunge katika jimbo la Kawempe...
Back
Top Bottom