young

  1. JamiiForums Tanzania FT: Dodoma Jiji 0-2 Young Africans SC | CRDB Federation Cup | Jamhuri, Dodoma | 10.04.2024

    ๐Ÿ”ฐ๐๐„๐—๐“ ๐”๐๐Ÿ”ฐ ๐Ÿ† #CRDBFederationCup โšฝ๏ธ Dodoma Jiji๐Ÿ†šYoung Africans SC ๐Ÿ“† 10.04.2024 ๐ŸŸ Jamhuri, Dodoma ๐Ÿ•– 2:00 Usiku #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko Kikosi kinachoanza dhidi ya Dodoma Jiji FC #CRDBFederationCup #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko mpira umeanza dakika 3 goallllllllll...
  2. JamiiForums Tanzania Kama uamuzi wa refa jana kati ya Young African na Mamelod ungefanyika uwanja wa Taifa tungeshuhudia nguvu ya umma ambayo hakuna askari angeidhibiti

    Watanzania ni wapole mno, na ukichaa wao uko kwenye Simba na Yanga. Dhuluma ile infefanyika uwanja wa Taifa tungeshuhudia polisi kushindwa nguvu dhidi ya wananchi wanaotaka kuila nyama ya binadamu mwenzao. Refa asingepata mpenyo wa kuchomoka labda angetumia chopa ya jeshi
  3. JamiiForums Tanzania TFF wasaidieni Yanga Afrika huko FIFA kama halikuwa goli kwanini refa hakuwapa Yanga kona wakati mpira ulitolewa nje kwa kichwa na beki wao?

    Nimejiridhisha tena kwa mara nyingine mpira ule baada ya kutoka golini pale beki ya mamelod iliutoa kwa kupiga kichwa nje na kipa akaudaka mpira ukiwa nje umeshadunda chini Sasa ninachojiuliza kama refa halikataa goli sasa si angewapa young african corner yao kwanini alifanya iwe goal kick...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi hakuna namna Yanga wanaweza kukata rufaa FIFA?

    Yaani ni jambo la ajabu sana kukataaa goal la wazi km hili how yaani var ikatae hii ni aibu sana kwa rais wa caf matsope sijui na team yake ya mamelod yaani ni aibu kwenye mpira wa africa kabisa. Mimi nataka kujua haiwezekani kukata rufaa kama umedhulumiemwa kwenye hatua hizi za robo fainali...
  5. JamiiForums Tanzania Waandishi Wa Habari Mmetia Aibu Kwenye Press Baada Ya Mchezo Wa Young Africans Na Mamelod Sundowns

    Habari. Nimeamgalia Press Iliyofanyika Baadae Ya Mechi Ya Young Africans Na Mamelod Sundowns Hapa Kupitia Azamsports 2. Ukweli Waandishi Wa Habari Wa Hizi Blog Na Media Nyingi Imeonesha Wanauwezo Mdogo Na Elimu Ndogo Katika Sector Hiyo Ya Habari. Ukiachana Na Lugha Ya Kiingereza Kuwa Tatizo...
  6. JamiiForums Tanzania Mechi ya Dar Young Africans vs Mamelodi Sundowns yapewa heshima ya siku ya Mudathir aka Muda Day

    Yanga hatunaga dogo Tarehe 30th March 2024 ni siku historia ya soka bongo inaenda kuandikwa upya Mamelodi Sundowns wajipange, Simu zitapigwa siku hiyo,wajiandae kupokea Yanga huwa hatubeep,siye tunatwanga tu Twende kazi
  7. JamiiForums Tanzania Mechi ya Dar Young Africans vs Mamelodi Sundowns yapewa heshima ya siku ya Mudathir aka Muda Day

    Yanga hatunaga dogo Tarehe 30th March 2024 ni siku historia ya soka bongo inaenda kuandikwa upya Mamelodi Sundowns wajipange, Simu zitapigwa siku hiyo,wajiandae kupokea Yanga huwa hatubeep,siye tunatwanga tu Twende kazi
  8. N

    JamiiForums Tanzania Dar Young Africa, together forever..

    Habari zenu.. Napenda kuleta huu uzi ulio na mapenzi ya dhati juu ya timu yangu pendwa kuliko timu zote duniani DAR YOUNG AFRICANS. Mahaba yalianza toka nikiwa mtoto mdogo sana, kweli naweza kusema naipenda yanga sana, ni timu iliyojaa historia kubwa sana Africa mashariki na kati,WE GREENS...
  9. JamiiForums Tanzania Kuelekea Mechi ya wanaume Dar young Africa V. Mamelod fc

    KISASI NI HAKI๐Ÿ”ฐ Mwaka 2001 Yanga ilikutana na Mamelodi Sundowns katika hatua za awali kwenye ligi ya mabingwa barani Africa .Mamelodi ilikua ya moto kwelikweli ikiwa Chini ya Mwanamama Natasha Tshiclas aliyekua mkurugenzi mkuu kabla ya kumuachia timu Patrice Motsepe. Matokeo yalikua 3-3 uwanja...
  10. JamiiForums Tanzania Some facts you don't know about Young Africans

    1.Its called team of citizens "timu ya wananchi" because its owned by fans (51% shareholding). 2. Its most popular team in Tanzania with huge fan base approx more than 35 millions fans that are recognized 3.Team is under managerial transition process which is supervised by laliga. Soon team...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Kila mchezaji wa Young Africans SC atakuwa bilionea kwa Shilingi za Tanzania

    Hii ni fursa adimu na inahitaji juhudi kubwa kutoka kwa wachezaji. Wanapaswa kujituma na kufanya vyema ili kufikia malengo haya makubwa. Tunawatakia kila la heri katika safari yao ya kufikia mafanikio hayo against mamelodi. ๐ŸŒŸ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Kufikia mafanikio ya kuwa bilionea ni ndoto kubwa kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Kaizer Chiefs: Tutawaunga mkono Yanga washinde ushindi wa kishindo Tanzania na hapa nyumbani

    Mashabiki wa timu ya Kaizer Chiefs imetangaza kuisapoti timu ya Yanga dhidi ya Mamelodi Sundowns katika mechi zote mbili Mashabiki hao wamesema wanataka kuona soka safi la Yanga linalovutia likiwafundisha adabu Masandawana Wametangaza kuwa wapo tayari kutoa msaada wa Hali na Mali,wa kamati za...
  13. JamiiForums Tanzania Young African vs Mamelod sundown (Daud vs Goliath)

    Wananchi niwatoe pressure Yanga anakwenda nusu fainal huu msimu, najua watu watapinga sababu ya mpinzani anayekutana naye ila muda utaongea vizuri. Kwa sasa ni vigumu kuwaambia kwamba yanga atafuzu nusu fainal na kueleweka, lakini hii vita ni kama ya Daudi na Goliath Uzi wangu wa nyuma...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Tunaomba mechi ya Young Africans na Mamelodi Sundowns ipewe hamasa ya Gamondi Day

    Asalaam Aleikum, Hopefully kila mtu kapokea results za quarter finals za CAFCL kwa namna anayoijua yeye. Sisi kama Mashabiki wa Young Africans tumefurahia kwa kiasi kupangwa na Mamelodi na furaha imezidi kuwa kubwa tukijua kwamba tuna kikosi kipana, kocha mzuri na wachezaji wenye uwezo mkubwa...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Young Africans SC: A Force to Be Reckoned With in the 2023/24 Season

    the 2023/24 season. Their relentless work ethic, tactical prowess, and ability to exploit spaces have made them a formidable team. Let's delve into what makes this young squad so intriguing. The Hardworking Approach From the training ground to match day, Young Africans exemplify hard work...
  16. JamiiForums Tanzania Viongozi Young Africans Wavunja Katiba

    Mkurugenzi mpya wa masoko, wanachama na mashabiki wa klabu ya Young Africans ndugu Ibrahimu Samweli anatoa wapi mamlaka na uhalali wa kuvunja uongozi wa kuratibu shughuli za matawi ya yanga mkoani Morogoro..!!!? Ikiwa yeye mwenyewe ni mwajiriwa tu pale klabuni. Kitendo cha kumtoa Mratibu wa...
  17. JamiiForums Tanzania Thoughts of some parents a source of increase in young people in difficult environments

    It has been explained that the increase in young people facing difficult environments in society is caused by some parents and guardians with low incomes, thus failing to properly raise their children due to their entrenched mindset of living materialistic lives while the youth have great...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Wasiwasi wazuka Yanga kuhusu Joseph Guรฉdรฉ Gnado na Miguel Gamondi

    Katika mechi za hivi karibuni, utendaji wa Joseph Guรฉdรฉ Gnado na Miguel GAMONDI katika Young Africans SC umewatia shaka mashabiki na wachambuzi pia. Licha ya kuwa wachezaji muhimu kwa timu, kuna shaka za rushwa zinazozunguka uteuzi wao kwa mechi kubwa, hususan kwa Guรฉdรฉ. Uwezo wa Guรฉdรฉ ni...
  19. JamiiForums Tanzania FT: Al Ahly 1-0 Young Africans | CAF CL | Cairo International Stadium | 01.03.2024

    ๐Œ๐€๐“๐‚๐‡๐ƒ๐€๐˜๐Ÿ”ฐ ๐Ÿ† #CAFCL โšฝ๏ธ Al Ahly FC๐Ÿ†šYoung Africans SC ๐Ÿ“† 01.03.2024 ๐ŸŸ Cairo International ๐Ÿ•– 6PM๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ 7PM๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ TimuYaWananchi DaimaMbeleNyumaMwiko Karibu katika mechi ya sita na ya mwisho ya makundi ligi ya mabingwa Africa ungana nami katika Uzi huu kwa update za mechi hii Kila la kheri Yanga SC...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa kiwango cha wachezaji hawa, Dar Young Africans tujiandae na maumivu mapya

    Kama ilivyo ada na taratibu za football basi Yanga wajiandae. Wachezaji kama Aziz Ki Diara na pacome itakua ngumu kubaki nao msimu ujao.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ