Yericko Nyerere unasema Samia hajavunja Katiba
Je, katiba inamuelekeza kuuwa raia wake?,
Je, Katiba inamuelekeza kukaa kimya juu ya utekaji?
Je, hiyo Katiba inasemaje kuhusu haki ya Maandamano kwa wananchi?
Tulia kijana tunaujua unaupiga mwingi upate angalau ka uteuzi kutoka kwa Samia...