yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nimeamua kumuacha mwanamke ninae mpenda sana roho yangu inaniuma sana

    Habari. Moja kwa moja kwenye mada Mnamo mwaka 2016 nikiwa form form five mkoa x nilibahatika kuonana na huyu binti mweusi, mrefu wastan, mnene kiasi na mcha Mungu mpaka sasa. Nilimpenda ikiwa ni sababu hizo alikuwa ananishauri muda mwingi kuwa mtu mwema na kumpenda, kumcha Mungu wakati wote...
  2. JamiiForums Tanzania Nauza Laptop yangu mwenyewe haina kipengele

    Wakuu nauza laptop aina ya Hp Pro Book, Yenye Ram 8GB, Hdd 500gb. Battery 4hrs. Haina kipengele chochote sema tu nauza kwasababu nina shida ya haraka. Napatikana -Banana-Dar Es Salaam Mawasiliano yangu ni 0628116693 Price 380,000
  3. J

    JamiiForums Tanzania Habari yenu Mimi ni kijana wa kitanzania elimu yangu kidato Cha nne ni mwalimu wa primary ngazi ya cheti bado sijaajiriwa serikalini

    Naishi Dar es salaam nimewahi kufanya kazi kwenye shule za private ili nilishndwa kuendlea kufanya kazi sabbu shule ambazo nilibahatika kufanya kazi hawalipi mishahara Kwa wakati unaweza kukaa hata miezi mitatu hujalipwa hivyo naombeni mnisaidie connection ya kazi yoyote ambayo itaniingizia...
  4. JamiiForums Tanzania Safari yangu ya Betting!

    SAFARI YANGU KWENYE BETTING! Betting mwanzo niliiona kama issue ya kihuni sana. Na nilishangaa kumwona mtu niliyemweshimu sana anabeti. Ukweli nilimshusha thamani siku hiyo. na nilimwambia pale pale kuwa sikutarajia kukuona upo side hiyo😂 aliishia kucheka. akanitania kwa kusema ananipa 2months...
  5. JamiiForums Tanzania Dada yangu anakaribia kuolewa na Tapeli, Nichukue hatua gani?

    Poleni na pilika na mbio mbio za maandalizi ya uchaguzi,vita ya congo na changamoto binafsi za maisha. Mimi Mbwichichi katika kuhangaika kwangu kuyatafuta maisha nimebahatika kukutana na watu mbalimbali wa kila aina,zaidi nimejifunza sana kutambua saikolojia za watu baada tu ya kuona matendo...
  6. JamiiForums Tanzania Mfuko wa hifadhi ya jamii PSSSF ni mfuko dhalimu! Naulaani milele! Umenidhulumu haki yangu niliyoidai miaka 14!

    H
  7. S

    JamiiForums Tanzania Siwezi kuthubutu kumshauri rafiki yangu aache ulevi au umalaya kama urafiki wangu na yeye unafaida namwacha alewe tu

    Sijui kama nakosea lakini mimi huo muda wa kumshauri mtu aache ulevi au umalaya huwa sina kabisa hususani kama mtu huyo katika ulevi wake ndo unaodumisha urafiki wetu. Tangu nikiwa mdogo hii tabia nilikuwa nayo! Wakati nasoma shule ya msingi kipindi hiko tulikuwa tunakaa kwenye mawe na...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu babake ni shekhe wa mkoa ameajiriwa taasisi kubwa serikalini bila interview

    Wakuu, Rafiki yangu, ambaye baba yake ni Shekhe wa mkoa, ameajiriwa katika taasisi kubwa ya serikali bila kufanyiwa usaili.
  9. JamiiForums Tanzania Jinsi kilimo kilivyobadilisha maisha yangu

    Habar za mda ndugu zangu. Leo nmependa kujumuika na vijana wenzangu ambao hawana ajira na bado wanalilia ajira nawapa pole sana. NIANZE HAPA;mm ni kijana wa miaka26 Sasa, nilizaliwa mkoani Tanga katika familia hata kula yetu ulikuwa Haina mpangilio wa ratiba, kunawakat tulilala njaa kabisa...
  10. JamiiForums Tanzania Msaada: Nimepatwa na tatizo hili kwenye tupu yangu, itakuwa ni ugonjwa gani?

    Aseee Kuna hii kitu imetokea kwenye Tupu yangu, inaweza ikawa ni tatizo gani Kumradhi, nimeambatanisha na picha =====
  11. JamiiForums Tanzania Video: Kuhusu team yangu ya Yanga. Huyu atafutwe kabisa

    Looooooh....salaaaaaleh..... Huyu jamaa . Na mwandishi anamsikiliza tu..... Hili suala la Yanga kuwa na Mamluki wanatoa siri za club ni sababu ya Manara. Hawaweki siri.
  12. JamiiForums Tanzania Mama yangu kaniumiza sikutegemea

    Tafsiri ya kitaalamu inaelezea malezi kuwa ni mchakato wa maandalizi ya mtoto utakaomwezesha kukua, kukubalika na kushiriki katika shughuli za kijamii na kiutamaduni kwa kumlinda, kumjamiisha na kumpatia mahitaji na huduma za msingi. Iwapo malezi ni mchakato wa maandalizi ya mtoto basi shurti...
  13. JamiiForums Tanzania Tangu nikute mabinti wamekaa wanashauriana namna ya kujimilikisha mali za michepuko yao ilinifanya niheshimu kazi ya mikono yangu na wanao-istahili

    Sawa mnitukane sina hela. Vibinti tu ya 20+ yrs. Mmoja akawa anampa mfano wa jinsi nyumba aliyekuwa amewekwa rafiki yake na bwana yake (mme wa mtu) alitoka kapa bila ya kupata kitu baada ya huyo mwamba kufariki. So akawa anamwambia kila kitu anachokupa kiwe katika jina lako kisheria pia...
  14. JamiiForums Tanzania Safari yangu ya kujifundisha kingereza kupitia simu

    Kwa hatua hii je? Niendelee kujifunza au nitakuwa napoteza tu muda wangu? Nia ninayo. Asante sana kwa mdau mmoja aliyenipa hii njia naamini nitatonoa kwa kiasi chake.
  15. JamiiForums Tanzania Nimesikia / Nimemsikia vibaya peke yangu au?

    Dakika chache zilizopita Rais Samia ametoka kumtaja Rais Mstaafu Kikwete kuwa Rais badala ya kumtaja kama Rais Mstaafu katika Utambulisho wake kabla ya kuanza kutoa Hotuba yake. Kama kawaida najua kuna wale Watetezi hovyo watakuja Kubisha hivyo naomba warejee matangazo ya TBC1 ili waweze...
  16. JamiiForums Tanzania Je,Una Mapengo kinywani na hujui wapi utapata Suluhisho la kudumu !?

    Iwapo umepoteza meno yako halisi , Unashariwa kuziba mepengo kwa meno bandia ya Kisasa Mapengo . husababisha Meno mengine Kutoka .Meno Kuoza .Meno Kuhama Kwenye Nafasi zake Meno Bandia Ya Kisasa Ya Kudumu Yapo Ya Chuma ( Ceramics) , zirconium haya yatakusaidia -Kutafuna Chakula Vizuri...
  17. JamiiForums Tanzania Mawazo yangu kuhusu wanawake na uongozi!

    Naomba nisieleweke vibaya ama nikaonekana nina ubaguzi na hii jinsia yakike kutokana na maoni yangu!, ikiwa kuna mtu nitamkwaza kwa hii mada basi tusameheane!. Kitu kinachoitwa uongozi na wanawake kwenye haya maisha naweza sema kwa idadi yao basi wanaouweza uongozi labda ni asilimia 2 tu ya...
  18. JamiiForums Tanzania Nimechoka kufungiwa MITA ya maji na jirani yangu

    Hello waungwana! Ni sasa kama mwaka wa pili unaenda Niko na jirani yangu hapa kutokana na kuwa kwa Dar es Salaam kuwa ya mgao wa maji muda wote mwaka mzima, basi huyu jirani akiona maji yanatoka kazi yake ni kufunga MITA yangu ya maji ili maji yote yaende kwake. Ananisababishia hasara...
  19. JamiiForums Tanzania Mwonekano wa Counter yangu

    Unaweza kuiga uhandisi huu
  20. JamiiForums Tanzania Kaka yangu anatafuta mke wakuoa

    Awe muislam . Awe anajua dini . Apende kusali, Awe anajali na awe ametulia . Awe mrefu wastani. Elimu awe nayo awe anajua lugha ya kingereza kaka yangu anakijua vyema . AWe anajisitiri . AWe anakazi nzuri. Mawasiliano njo Dm nikupe nipo serious . Miaka 27 mpaka 33 asiwe na mtoto . good night...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…