yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Kauli zitakazotamba kesho baada ya mechi na Yanga CCL

    1.Hawa Simba wamoto sana.This time kombe wapewe mapema. 2.Nilijua tu Mamelod hawezi kutolewa na UTO. 3.Huyu Kibu karogwa siyo bure. 4.Viongozi hawajali hisia za mashabiki. Tutachekwa mpaka lini? Ongeza yako....
  2. D

    JamiiForums Tanzania Odds za yanga vs sundowns. ni 9 odds to 1

    kama unajua kutabili matokeo ya yanga 😂😂. weka yanga win na mshahara wako. upate wa 9months . weka nyumba 1 upate nyumba 9. Acheni siasa za mpira, walk the talk.
  3. JamiiForums Tanzania Kanuni za CAF Kuelekea nusu fainali

    Kanuni za CAF Kuelekea nusu fainali ; ◉ Hakuna dakika za nyongeza (Extra time) ikitokea timu zimetoka suluhu ndani ya dakika 90', mikwaju ya penati itaamua timu ipi isonge nusu fainali. ◉ Goli la ugenini litatumika ikitokea timu zimetoka sare. Aliyefunga goli ugenini ataenda nusu fainali.
  4. JamiiForums Tanzania Replacement hii haizungumzwi sana pale Yanga

    Anaitwa Jawab raia wa Morroco huyu ni kocha wa viungo pale Yanga jamaa amefanikiwa sana kujenga stamina ya team kifupi ameendelea pale alipoishia prof manywele ambae kwa uhalisia alifanya kazi nzuri sna Ukiondoa mpango kazi wa azam kuumiza wachezaji wetu lakini wachezaji wamekuwa na physic...
  5. JamiiForums Tanzania GSM: Kila bao atakalolifunga Yanga dhidi ya Mamelodi Sundowns nitalinunia kwa Tsh. 100M

    Akiwa na uhakika wa Yanga kukunja 2.3b kwa kuingia robo fainali tu,tajiri asiye na choyo wala kashfa amemwaga noti zaidi Ametoa ahadi hiyo kwa kikosi kikali cha wananchi Mwenye nacho ataongezewa Nimeongea na kapteni wa timu ya Yanga na amenihakikishia kuwa magoli ya kutosha yapo hiyo kesho na...
  6. JamiiForums Tanzania Leo nawaomba tuweke Utani wetu pembeni hivi kweli kabisa tunaamini Simba na Yanga zitatoboa CAFCL Kesho Egpyt na South Africa?

    Sitaki kuwa Mnafiki katika hili na niseme tu wazi ( japo najua kuwa Mpira wa Miguu sometimes una Maajabu yake ) kuwa Safari ya Simba na Yanga Kimataifa Kesho ndiyo zinahitimishwa rasmi kwa Vipigo ( Kufungwa ) huko Ugenini na Kutolewa rasmi Mashindanoni.
  7. JamiiForums Tanzania Mwanasheria wa Yanga ashangazwa na mambo yanayoendelea soka la Bongo

    Tangu nimeingia kwenye mpira wa Tanzania, kitu ambacho nimekua sifurahishwi nacho ni kwamba Yanga ikiwa na jambo flani ikaenda kwenye taasisi yeyote hapa nchini, taasisi hiyo itapeleka jambo ambalo mnataka kufanya upande wa pili eti isionekane inapendelea upande mmoja. Nina mifano hai, Yanga...
  8. JamiiForums Tanzania Simba SC mnalalamika nini Serikali kuipendelea Yanga SC wakati nanyi kutwa mnajipendekeza kwao?

    Tokea mwaka jana GENTAMYCINE nimewaasa sana hapa JamiiForums kwa kuwataka ikataeni Serikali na Misaada yake ya Kinafiki Kwenu kwani wala haiwapendi mmekataa Kunisikia na Kunielewa. Wana Simba SC (baadhi yenu) mlivyo Majuha (Fools) tokea Juzi mnlalamika Kubaguliwa na Serikali kwa kuwasaodoa na...
  9. JamiiForums Tanzania Uongozi wa yanga mwanipa mashaka kukubali kupanda basi la Mamelodi

    Kama viongozi mnania ya kuihujumu timu, tuambieni mapema tujiandae kisaikolojia na tusipoteze mda wa kwenda vibanda umiza kucheck game. KUKUBALI KUPANDA GARI LA MAMELODI WKT MNAJUA UWEZEKANO WA KUWEKEWA SUMU NI UPUUZI. NA KAMA MLIKUWA MEKOSA NAULI YA KUKODI BASI BINAFSI MNGESEMA TUPITISHE BAKURI
  10. M

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Yanga fuatilieni alichoongea Aziz Kii na Kocha wa Mamelodi

    Nakumbuka baada ya game yao pale kwa Mkapa walipokuwa wanaongea, body language ilikuwa inaonyesha Kacha wa Mamelod kama anamsihi na kumsisitizia jambo fulani halafu Aziz Kii akaonesha kukubali kwa msisitizo wa kitikisa kichwa juu chini. Pia lile kumbatio la Kocha wa Mamelod na Scudu nalo...
  11. JamiiForums Tanzania Yanga SC left stranded after bus breaks down near airport

    Tanzanian side Yanga SC faced a frustrating start to their stay in South Africa after the team’s designated transport, provided by hosts Mamelodi Sundowns, broke down just 5 kilometres from OR Tambo International Airport. Young Africans arrived in Johannesburg on Tuesday morning after taking a...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la kuwasafirisha Yanga, natofautiana na Serikali

    Siku ya jana Jumatatu April01, 2024, baadhi ya vyombo vya habari nchini Tanzania vimeripoti vikiwakariri baadhi ya viongozi wa serikali wakitoa taarifa ya kugharamia safari ya mashabiki wa club ya Yanga kwenda na kurudi nchini Afrika kusini ili kwenda kuishangilia timu hiyo itakapoumana na timu...
  13. JamiiForums Tanzania Uongozi wa simba msisubirie fursa iwafuate itafuteni- Yanga walikua na mpango wa kupeleka mashabiki south baada tu ya draw ya robo

    Nimeona mashabiki wa simba wanalalamika sana kwamba Yanga inapendelewa kitu ambacho mashabiki wengi wa simba hawakitambui fursa inatafutwa haikufuati Yanga kabla ya mechi ya mzunguko wa kwanza vs mamelodi tayari walishakuwa na mkakati wa baadhi ya mashabiki wachache kwenda south afrika na...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali yaonesha ushabiki wa wazi kwa Yanga kupeleka mashabiki South Africa

    Nyuma ya mafanikio ya Yanga pia kuna mkono wa serikali, hii timu inapendelewa na serikaki. Mashabiki 40 wa Yanga wamepewa tickets za kwenda South Africa, ila kwa Simba ni tofauti as if haishiriki haya mashindano. Pia soma: Rais Samia kununua kila goli Tsh. Milioni 5 mechi za Simba, Yanga CAF
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mamelodi anabebwa sana na marefa, hii faulo wangeifanya Yanga, wangepewa kadi nyekundu. ndio maana kuna Petition za mamelodi kubebwa bebwa

    VAR ililetwa kwa ajili ya kuzionea timu zetu tu. sababu hazina majina makubwa. Caf wanapenda sana kumbeba mamelodi. sababu bosi wao rais wa caf ndie mmiliki wa mamelodi Sheria za mpira zinasema mtu wa mwisho akifanya rafu ni kadi nyekundu. ila kwa mamelodi hata VAR haijajisumbua kucheki...
  16. JamiiForums Tanzania Yanga akiingia nusu fainali, Simba ataingia naye kwa kishindo

    Huu si utabiri wala nasibu. Kwa Sasa Simba ashapoteza "defence merchanisms" zote alizokuwa anajikingia dhidi ya mashambulizi ya Yanga Kichaka cha "sisi wa kimataifa"....fyekelewa mbali Kichaka cha huku kwa wanaume...fyekelewa mbali Kichaka cha robo fainali...fyekelewa mbali Hivyo vimebakiwa...
  17. JamiiForums Tanzania Yanga yaongoza kwa takwimu za kufuatiliwa JamiiForums

    Club ya Young Africa inaongoza kwa takwimu za kufatiliwa JamiiForums dhidi ya mshindani wake Simba. Upendo, uchangiaji pamoja na jicho yanga inaonesha kuwa mbele sana dhidi ya Simba. Ingawa hadi Sasa team inayoongoza ni Manchester united ya Uingereza lakini wachambuzi wa mambo wanasema forum...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali imegharamia safari ya kwenda Afrika Kusini kwa mashabiki 48 wa Yanga SC

    Rais wa Yanga Sc Eng Hersi Said amesema kuwa serikali imekubali kugharamia mashabiki watakao safiri na Timu kwa njia ya basi kutoka Dar es Salaam Hadi Afrika Kusini kwenda kushangilia Timu ya Yanga Itakayo pambana na Masandawana katika hatua ya robo fainali ya mkondo wa pili itakayopigwa...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Yanga inahitaji hongera..

    Kucheza na big club Africa tena giant,iliyosheheni full mkoko wameshindwa kuwafunga yanga ambayo haina wachezaji wake muhimu. Pacome Aucho Yao yap Ebu jamani ingekuwa simba unacheza na mamelody ile ya jana iliyosheheni wachezaji wake wote,simba wangemkosa Chama Ngoma Mohamed...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mamelodi hana maajabu lazima atolewe, Yanga anaenda nusu fainali kwa kishindo ijumaa ijayo

    kila msimu mamelodi huwa anatolewaga kwenye hizi hatua za mtoano. hizi ndio records zake mfululizo zamu ya yanga kumtoa imeshafika
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…