"Nafikiri ndiye mchezaji pekee ambaye hayupo yanga, natamani kucheza nae sababu napenda watu wanafanya mchezo kuwa rahisi.
Kama akija sawa na asipokuja pia sawa. Namfahamu nilianza kumtazama Chama tangu nikiwa misri."
Aucho aliongea hayo akijibu swali la mwandishi juu ya tetesi za chama...
Mpaka sasa Mimi ni Mchezaji wa Yanga na nafasi kubwa zaidi nawapa Yanga, namwamini Rais wa Yanga @caamil_88 yeye ndie amenileta hapa, tuna makubaliano yetu mimi na yeye kuwa Yanga inapaswa kucheza fainali ya Afrika na tutwae kikombe, hiyo ndio ndoto yangu na ikitokea tumecheza fainali na kubeba...
Huwezi kutuvalia mtisheti wako wa Brazil siku tunakabidhiwa kombe bana.
Ni kwamba ulikosa tshet maalumu inayoendana na tukio la leo au ulikosa kabisa jezi ya Yanga?
Ulitaka kuonekana tofauti? Ili iweje sasa? Nimekumind big time.
Leo ndio ile siku ya mabingwa wa nchi Yanga Afrika kukabidhiwa kombe la ubingwa wa ligi ya Nbc.
Ikumbukwe huu ni ubingwa wa 30 kwa Yanga Afrika.
Kuwa nami paka mwisho ili kujua kile kinachojili kuanzia shamrashamra za kulitembeza kombe kwenye viunga mbalimbali vya jiji la DareSalaam paka hapo...
Safari hii makolo mmeingia cha kike, yaani tukikuona tu unazurula na jezi lako la Mo Xtra kwenye paredi la ubingwa wa Yanga tutakushughulikia ipasavyo maana utakuwa unahatarisha furaha ya wananchii.
Ubuntu bothoπππ
Klabu ya Yanga sc kesho ya mei 25 2024 watakabidhiwa kombe lao la Ligi kuu ya NBCPL ikiwa ni mara ya 3 mfululizo na timu pekee ambayo imelibeba kombe hilo tangu bank ya NBC kuwa wa dhamini wa Ligi kuu ya Tanzania.
Kombe hilo linatalajiwa kushuka na helikopta kwenye uwanja wa Benjamini Mkapa...
Acheni siasa mnaharibu soka letu mechi ya bara mnapeleka visiwani ili mgundue nini? TFF mnaipeleka Fainali Zanzibar, sehemu ya nje ya utawala wa FA husika?
Lini mmewahi kuona FA ya Uingereza imepeleka fainali Ireland, au Scotland?
Lini mmewahi kuona FA ya Ujerumani imepeleka fainali zao...
Nimepata taarifa za Simba kuomba mechi yake na KMC ikapigwe Arusha badala ya uwanja wa awali uliotakiwa ipigwe mechi husika wa meja isamuyo kule mbweni!
Ninachokiona hapa kina jaribu tena wameona mashabiki watakuwa wachache na ikichochewa na jambo la yanga inayotegemea kufanya sherehe zake za...
βHelikopta ya parade la ubingwa itaanza safari yake majira ya saa nne asubuhi ikiwa imebeba kombe, itapita maeneo mbalimbali jiji la Dar Es Salaam. Tumempa Rubani maelekezo kuna maeneo akifika pale Kariakoo, aishushe chini kidogo ili kila mtu ashuhudie parade la angani. Baadae mchana Helikopta...
Aziz Ki hatimaye amemalizana na Yanga na sasa anaenda kucheza South Africa. Bado sijapata uhakika ni timu gani ila kati ya Kaizer Chiefs au Orlando.
Yanga wameshindwa mpa ofa anayotaka. Sad part Aziz anaondoka kama mchezaji huru.
Its over, ila mbadala wake Yanga wanakaribia kumalizana nae...
Kiuongo Mshambuliaji wa Yanga Aziz Ki amewambia viongozi wake kama wanamuhitaji kuendelea kusalia klabu hapo basi wanapaswa kumpa mkataba wenye thamani wa Dola laki 5.
Ofa ya Yanga kwa Aziz Ki ni dola laki tatu na nusu pekee. Vipi sasa wadau na mashabiki wa Yanga, Aziz Ki abaki au asepe tu?
Kwa manufaa na heshima ya nchi ni vema TFF ikahakikisha Simba inaungana na Yanga kwenye Ligi ya Mabingwa.
Nasema hivi kwasababu ndizo timu pekee zilizo serious na mpira wa miguu. Azam ni timu ya ubabaishaji sana na inaelekea ni timu ambayo lengo lake sio ushingani.
NAFASI YA PILI KWA SIMBA...
Najua maboss wa Yanga mko humu, tafadhali fungueni chuo kikuu cha soka ili kuzisaidia club mbalimbali za soka duniani kama vile Arsenal na Simba.
Asante
"Kesho tunasafiri majira ya saa nne asubuhi kuelekea pale mkoani Dodoma kucheza dhidi ya Dodoma Jiji. Mchezo huo utafanyika tarehe 22 Mei 2024. Mechi hii ya Dodoma tumeifanya mechi ya kushukuru benchi la ufundi. Hivyo itakuwa ni πππππππ πππ
Kwenye πππππππ πππ itakapofika πππ€π’π€π π²π ππ, wana...
Furaha iwe na mipango.
===
Kaizer Chiefs are set to announce new coach and two signings on Wednesday?
On Monday, a statement indicating that Kaizer Chiefs will unveil a new coach and players on Wednesday appeared on the clubβs official website.
βKaizer Chiefs MD Kaizer Motaung says the...