yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Yanga inaweza kutengeneza milioni 600 kwa mwezi wa 6 na 7

    Endapo yanga watachagua team nzuri ya watu wakazungusha haya makombe mawili NBC na Crdb kuanzia dar hadi kigoma na Rukwa na kutoa offer ya Kila shabiki kupiga picha na kombe kwa sh.2000=1000 KILA kombe basi hakitakosa watu 300000 watakaotaka kupiga picha na makombe hayo kwa kiasi hicho
  2. JamiiForums Tanzania Hamisa Mobetto penzini na Kigogo wa Yanga!

    Mwanadada mrembo, mwanamuziki, mwigizaji, mjasiriamali na mwanamitindo Hamisa Mobetto 29, yuko mapenzini na Kigogo kutoka klabu ya soka ya Yanga. Mwanadada huyo na Kigogo wapo katika penzi la kificho kwa takribani mwezi wa pili sasa. Penzi lilimea SA, Ubuntu Botho! Wawili hao walikutana kwenye...
  3. JamiiForums Tanzania Gamond "Young Africans na Azam FC wamekuwa na michezo bora msimu huu"

    Young Africans na Azam FC wamekuwa na michezo bora msimu huu, najua kesho kutakuwa na upinzani mkubwa na sisi tumejiandaa na hilo Mchezo huo wa Fainali utapigwa katika uwanjwa wa New Amaan Complex Zanzibar saa mbili na dakika 15 usiku Nani kusepa na kombe hilo?
  4. JamiiForums Tanzania Kila la kheri kwa yanga kesho

    Naiombea klabu yangu ya yanga ushindi kesho
  5. JamiiForums Tanzania Naishauri Yanga na wachezaji kususia siku itakayopangwa na TFF kutoa tuzo za masharti

    Ndugu zangu wa Yanga kama nilivyoandika kwenye kichwa changu cha habari. Siku itakayopangwa na hao wahuni kwa lengo la kutoa hizo tuzo zao, msihudhurie. Maana itakuwa haileti mantiki. Mkifanya hivyo, litakuwa ni funzo kubwa kwao. Ila mkihudhuria, basi mtambue fika hawataacha kuendelea...
  6. JamiiForums Tanzania Kauli ya Feitoto kusema ili arudi Yanga sharti Eng. Hersi aondoke ilikuwa ya ovyo ndiyo maana kaishia magoli 19

    Huyu jamaa anatakiwa aombe radhi ili afanikiwe. Kati ya vitu nililaani hatochukua kiatu ni yale maneno aliulizwa eti unaongeleaje kurudi Yanga akasema yeye kurudi Yanga labda Eng. Hersi aondoke. Wewe una akili kweli? Eng. Hersi aondoke kabisa, kha pole sana Feitoto utaishia hivihivi kupambana...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi vitu akifanya Mangungu au Try Again tutawakuta muhimbili wamelazwa

    Huyu hapa Raisi wa Ball Eng. Hers na Azizi Ki (the top scorer) wakichezezea mpira na mpira ukiwatii kama wameutengeneza WAO. NB: Kwa ball hili la hers Mwakani Kolozidad bila 3.5 bilion hatuwapi Hers.
  8. JamiiForums Tanzania Yanga ingekuwa na kikosi kama cha Simba msimu huu wangekaribia hata kombe

    Yanga ingekuwa na kikosi kama Cha Simba na hela za Mo hizo hizo anazotoa kipindi kile Simba anachukua ubingwa mara 4 Simba wasingekaribia hata kidogo Hilo kombe Imagine una kocha mzuri wachezaji wazuri udhamini mzuri na unashika nafasi ya 3 kwa vimigogoro vya kutengeneza
  9. JamiiForums Tanzania Simba kipimo chenu Kombe la Shirikisho ni kufika Fainali na si vinginevyo. Mliwabeza Yanga sasa ngoja tuwaone

    Rasmi, Simba imeangukia Kombe la Shirikisho barani Africa ambalo wenzao Yanga walifika Fainali na kuukosa ubingwa kwa kanuni! Sasa ni kipimo kwa Simba kutuonyesha namna kombe ilo lilivyo jepesi kama walivyokuwa wakiwabeza Yanga ambao walikwenda mpaka Fainali, tunawasubilia kuwaona namna...
  10. JamiiForums Tanzania Mbinu anazotumia Gamond Yanga ameiga kutoka Al ahly

    Mwanzo na kati kati mwa msimu Gamond alionekana hana mbinu, Timu ndogo zikipaki bus alikuwa hana mbinu. Sasa hivi anambinu nyingi sana, Nilianza kuziona kuanzia ile gemu ya CR BELOUZDAD na ile ya Mamelod sundowns. Akikutana na timu ngumu akafanya sub moja au mbili mpira hubadirika ghafla...
  11. JamiiForums Tanzania Mayele: Yanga wanajali sana maslahi yao kuliko ya mchezaji, nikirudi watanipokea tu

    Msikie mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Fiston Mayele raia wa Congo DR ambaye kwa sasa anasakata kabumbu la kulipwa Pyramids FC ya Misri. “Pamoja na kwamba kumekuwa na vita kubwa juu yangu kwenye mitandao ya kijamii, bado naamini kwa asilimia 100% kwamba nikirudi Yanga mashabiki watanipokea...
  12. JamiiForums Tanzania Paredi la ubingwa Yanga na vibweka vyake

    1. Harmonize anaonyesha ishara za lugha za matusi hadharani hasa zikiwadhalilisha wanawake na mashabiki wanazishangalia, jambo la kushangaza mpaka sasa sio LHRC, TAMWA, BASATA, TFF au taasisi nyingine yoyote iliyokemea na kulaani vitendo hivyo. 2. Kingereza kibovu mno katika platform ambayo...
  13. JamiiForums Tanzania Tumalize Ubishi hapa: Ipi bora kati ya Chama kubaki Simba au kwenda Yanga?

    Salaam Wakuu, Kama ilivyo ada inapofika mwisho wa msimu baadhi ya Wachezaji pia humaliza mikataba na timu zao, Miongoni mwa Wachezaji waliomaliza mikataba yao kwa nchi yetu ni Cloatus Chota Chama ambaye kwa sasa anakipiga mitaa ya Msimbazi Kariakoo. Kutokana na umahiri wa mchezaji huyu...
  14. JamiiForums Tanzania Yanga yapata mbadala wa Aziz Ki

    Kifaa Kipya '' CHOUCHA'' kinatarajiwa kutua Jangwani.. hakijawahi kukosa penalty https://www.youtube.com/shorts/4Gg77a4WWxw?feature=share
  15. U

    JamiiForums Tanzania Msemaji Yanga kazidisha utani. Hebu tazama picha na maelezo

    Wadau hamjamboni nyote? Msemaji yanga kazidisha utani Soma alichoandika 𝟏.𝐖𝐚𝐬𝐢𝐧𝐠𝐞𝐩𝐢𝐠𝐰𝐚 𝟓 𝐰𝐚𝐧𝐠𝐞𝐬𝐞𝐦𝐚. "𝐘𝐚𝐧𝐠𝐚 𝐢𝐧𝐚𝐩𝐢𝐠𝐚 𝟓 𝐭𝐢𝐦𝐮 𝐦𝐛𝐨𝐯𝐮" 𝟐.𝐖𝐚𝐬𝐢𝐧𝐠𝐞𝐩𝐢𝐠𝐰𝐚 𝐧𝐣𝐞 & 𝐧𝐝𝐚𝐧𝐢 𝐰𝐚𝐧𝐠𝐞𝐬𝐞𝐦𝐚 "𝐘𝐚𝐧𝐠𝐚 𝐰𝐚𝐧𝐚𝐧𝐮𝐧𝐮𝐚 𝐦𝐞𝐜𝐡𝐢" 𝟑. 𝐘𝐚𝐧𝐠𝐚 𝐢𝐬𝐢𝐧𝐠𝐞𝐟𝐢𝐤𝐚 𝐫𝐨𝐛𝐨 𝐟𝐚𝐢𝐧𝐚𝐥𝐢 𝐂𝐀𝐅 𝐰𝐚𝐧𝐠𝐞𝐬𝐞𝐦𝐚 "𝐊𝐮𝐥𝐞 𝐂𝐀𝐅 𝐡𝐚𝐤𝐮𝐧𝐚 𝐤𝐮𝐛𝐞𝐛𝐚𝐧𝐚" 𝟒. 𝐖𝐚𝐬𝐢𝐧𝐠𝐞𝐩𝐞𝐰𝐚 𝐩𝐞𝐧𝐚𝐭𝐢 𝟖...
  16. JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji kadi ya shabiki/mwanachama ya Yanga

    Habari wakuu, mimi ni shabiki mpya kabisa wa Yanga,nahitaji msaada namna ya kupata kadi ya shabiki au mwanachama ya NMB. Naomba kueleweshwa utofauti wa kadi hizi mbili pamoja na gharama zake na gharama za ada ya mwezi/mwaka. Natanguliza shukurani kwa wote mtakaonisaidia maana nahitaji...
  17. JamiiForums Tanzania Nani mchezaji wako bora wa Yanga (MVP) kwa msimu huu wa 2023/24

    Naaaje wazee! Kwa Sisi wadau wa soka la nyumbani uhondo wetu unafikia mwishoni. Mpaka sasa Wananchiiiii wamesepa na kikombe Chao huku watani zao wakiendelea kujitafuta kupambania nafasi ya pili na dhidi ya wana lambalamba. Tukirudi kwenye mada, msimu huu ni miongoni mwa misimu Bora kwa Young...
  18. JamiiForums Tanzania Niliyoyaona Jana kwenye mechi ya Yanga

    Hii ni makala ambayo nitaelezea kidogo yaliyokuepo Jana. Baada ya shamrashamra za kujiandaa kupokea ubingwa ilibidi lipigwe kabumbu Moja matata sana,, kabumbu ambalo lilianza kwa furaha kedekede. Lakini kipindi mchezo unaendelea nyuso za wapenda soka walioipenda young African's zilikosa...
  19. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Yanga mwacheni Azizi Ki aende tu

    Nawashauri viongozi wa Yanga, msiwe na pressure kutoka Kwa mashabiki wasiojua mpira mkaingia kwenye mtego wa kumpa Aziz ki pesa ndefu takriban 1.3 billion, mtakuwa mmejichanganya. Azizi ki Kwa Sasa ana miaka 29 kwenye mpira umri huo jua limezama, unaweza kumbakiza kumbe ndo amefika kwenye peak/...
  20. JamiiForums Tanzania Leo sasa ni Paredi la Ubingwa wa Yanga upo mitaa ipi kuliona Paredi la Mabingwa

    Leo sasa ni Paredi la Ubingwa wa Yanga upo mitaa ipi kuliona Paredi la Mabingwa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…