yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Yanga akiingia robo fainali tena kile kichaka cha rank kinakuwa kimefyekwa rasmi!

    Yanga anazo point 31 kwenye rank za CAF, Simba anazo point 39, tofauti yake ni alama 8 Yanga akiingia makundi anaongeza alama 2×5=10, ukijumlisha na 31 walizonazo wanafikisha 41, hapo ni kama ataishia makundi! Simba anazo alama 39, akiingia makundi anaongeza alama 1×5=5, ukijumlisha na alama...
  2. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Yanga

    Habari wadau. Nimekuwa nikifuatilia mada za Wanayanga tangu game ya simba huko Libya. Wamekuwa wakija na hoja vunjifu hoja katishi mmoja kasema kuhusu simba hajapiga shuti la kulenga goli mara mwingine kaja na hoja za kuja kufungwa huku Dar. Hapo awali stori ilikuwa ni Mabululu na habari za...
  3. JamiiForums Tanzania Huyu Mwandishi kuna kitu anakitafuta kwa Yanga. Atakipata tu muda si mrefu

    Kama matches zetu watu hawaji au teams tunazocheza nazo kama CBE na IFM hazina mashabiki kwani ni kosa letu? Aache ufalah. Sawa Libya huwezi linganisha na Ethiopia lakini awe makini sana. Naona kama anatumika kutudhalilisha Yanga. Ni mpuuzi sana.
  4. JamiiForums Tanzania Nikimwangalia Mutale namwona Saido, ni kama "chumvi" na "mkubwa jiko", Balua ni wa "ligi kuu" tu anga za kimataifa zinampwaya

    Tokea mechi ya kwanza Mutale anacheza akiwa na jezi ya Simba dhidi ya APR ni wazi alionekana ni mbadala halisi wa SAIDO,,, yaani wanafanana kila kitu wanachokifanya uwanjani.. Akiwa na mpira analazimisha kukaa nao bila sababu za msingi wakati kuna nafasi za kuwapa wenzake. Utakuta kuna...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini yanga haifungwi

    Kwenye mpira kuna matokeo matatu kushinda kushindwa na kutoa sare.cha ajabu yangs sikumbuki mara ya mwisho imefungwa lini tokea mwaka huu uanze nahisi kama imefungwa mara mbili tu au tatu..mwenye kujua yanga imefungwa mara ngapi aniambie maana nataka nimuotee mechi zijazo nimuue niweke stake...
  6. JamiiForums Tanzania CHADEMA tuachieni Yanga na Simba zetu, zilipambania uhuru wetu. Ninyi mmefanikiwa tu kutuambia Abdul ni mtoto wa Rais Samia

    CHADEMA wanazionea gere Yanga na Simba ambazo katika maisha ya watanzania ni kama usiku na mchana
  7. G

    JamiiForums Tanzania Wakati Tanzania ipo busy na masuala ya Simba na Yanga, Wakenya wanazidi kutupiga gap. Ujerumani imekubali kuwapokea Wakenya 250,000

    Natumaini mu wazima humu, ni siku nyingine tukiwa bado tunasubiri muafaka wa mchezaji Kagoma kama atabaki Simba au atarudi Yanga, Mzee wetu magoma na yeye ni mpaka kieleweke !!, Anyway tukirudi kwenye kichwa cha habari, Ujerumani imekubali kuwapokea Wakenya 250,000 na kuwapa nafasi za kufanya...
  8. JamiiForums Tanzania Uchambuzi wangu wa mechi ya Yanga vs CBE ya Ethiopia

    UCHAMBUZI WA Comrade Ally Maftah, DAR YOUNG AFRICAN VA COMMERCIAL BANK OF ETHIOPIA SPORT ASSOCIATION (CBE SA) Na Comrade Ally Maftah PACOME WA MCHONGO CBE SA ( Comercial Bank of Ethiopia Sport Association ilianzishwa mwaka 1982 pale Adis Abab Ethiopia, ni timu ambayo inashikilia kombe la...
  9. JamiiForums Tanzania Mbadala wa Eng. Hersi Yanga ni Salim Kikeke Simba, sio Mangungu Wala mo.

    Kama tunataka kufurahia soka Tanzania na Simba itishe, Simba wampe Kikeke Urais wa Simba.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kilichoiponza azam fc hadi kufungwa bao nne na yanga ngao ya jamii

    Angalia na sikiliza kwa makini katika video hii hapa kocha wa azam akihojiwa
  11. JamiiForums Tanzania Huyu Ahmed Ally amezidi sana kutudhalilisha sisi Yanga

    Inapaswa afungiwe. Huu ni udhalilishaji sana. Si sawa hata kidogo. Aache uhuni.
  12. JamiiForums Tanzania Yanga tusitumike kufunika suala la watu kutekwa na kuuawa

    Naona tunakazana sana sababu tunajua mitanzania mingi haina uelewa. Itajikita mambo ya Simba na Yanga na kusahau ya msingi. Hili limesukwa na kuja changamsha vijiwe huku mtaani watu wote wanazungumzia mbuzi kagoma. Simba na Yanga na sijui nini Lengo ni kuwatoa watu kwenye Reli.
  13. U

    JamiiForums Tanzania Yanga tunasimama na Mabululu na Ahly Tripoli kiujumla

    UBAYA UBWEGE, UBAYA UNAFIKI Sisi yanga Fc tunasimama na striker la Dunia Mabululu, na nina uhakika tawi la timu yetu huko libya yaani ahly tripoli tunafuzu kuingia makundi ya confedaration , na makolo waliotuibia mchezaji wetu Kagoma wataenda kuipata pata kwa mabululu. Natabiri mechi ya kwanza...
  14. JamiiForums Tanzania Mtiririko wa tarehe zilizotajwa na mwanasheria wa Yanga kuhusu Kagoma unakataa, na ni aibu kwake na Klabu yake

    Hebu msikilizeni kwa umakini sana na mpigie mstari hizo tarehe, maana mimi naona tarehe zinarudi nyuma kuanzia mwezi wa nne kwenda mwezi wa tatu. Dakika mbili tu zimeharibu kila kitu. Anachosema: 1. Yanga walikubaliana na Singida kuwa watailipa Singida sh. 30M kwa awamu mbili, ambapo 15M...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Yusuph Kagoma kwenda Yanga

    Kweli Utopolo wenye akili ni wawili Tu! Kwa hili la Yusuph kugomea kwenda Yanga na jinsi Utopolo wanavyohaha kisa sio Mchezaji bali ni kutaka kutunishiana misuli na Semaji la CAF kweli aliyesema huko wenye akili ni wawili Tu apewe maua yake. Angalia jinsi mapovu yanavyowatoka midomoni kisa sio...
  16. JamiiForums Tanzania Mzee Kisoki: Kagoma hatakiwi kuomba msamaha, Yanga hana mamlaka ya kumtaka afanye hivyo! Yanga hawakutimiza vigezo vya kumsajili, Simba walitimiza

    Mwenyekiti wa Chama cha Wachezaji wa Mpira wa Miguu (SPUTANZA), Mzee Musa Kisoki akizungumzia suala la Mchezaji Yusuph Kagoma kupitia Crown FM amesema suala hilo bado lipo kwenye Kamati ya Katiba, Sheria na Haki za Wachezaji na wanasubiri Kikao ili kuendelea kumtetea Mchezaji. Amesema "Mchezaji...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya mastaa yanga watua Ethiopia kukipiga na CBE

    Kikosi cha Yanga kwa kundi la pili limepaa leo alifajiri kuifuata CBE SA ya Ethiopia kwa ajili ya mchezo wa mkondo wa kwanza wa raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Wachezaji walioondoka leo ni wale ambao walikuwa hawana majukumu kwenye timu zao za taifa, wakati mastaa kama Djigui Diarra...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Hii kamati ya mashindano ya roho mbaya iliyolejeshwa na eng.Hersi ikiwa na mafia wa enzi za manji nawaona yanga wakiendeleza vilio mwanzo mwisho!

    Kwa wale Wanye kumbukumbu nzuri kwenye Mpira wa Tanzania watakuwa wanawakumbuka awa jamaa vizuri sana; Rodgers gumbo Lucas mashauri Davis mosha Seif Ahmed magari Pelegrinus Rutayuga Hao jamaa walikuwa mafia sana kwenye utawala wa walipokuwa kwenye kamati ya mashindano, yanga ilikuwa aigusiki...
  19. JamiiForums Tanzania Ahmed Ally atoa kauli kuhusu sakata la Yusuph Kagoma na Yanga SC

    Mmesikia huko 😂 Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, ametumia ukurasa wake wa Instagram kuelezea kuhusu mchezaji wao, Yusuph Kagoma, na uvumi unaozunguka hatma yake. Ahmed Ally ameandika: "Klabu yenu inampenda sana Yusuph Kagoma, yaani kila mkilala mnamuota. Roho zinawauma...
  20. JamiiForums Tanzania Tuishi kama Simba Na Yanga

    Natamani Tufikie Siku Moja Tuziishi Siasa za Tanzania Kama Tulivyoweza Kuishi Ushabiki wa Simba na Yanga Mtaani Wote Tukikaa Pamoja Tukitambiana bila kuumizana. Tuishi kama Democratic na Republican..Tuoneshe mfano kwa Africa kuhusu Demokrasia ya kwel kama Tunavyowashangaza kwenye Simba Na Yanga
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…