yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Graduate hawana ajira wako mtaani, ila wako Ok kwa sababu Simba na Yanga zinashinda mechi zao

    Ukiwafuatilia Graduate mtaani utaona kabisa walisharidhika sana na life na kikubwa kwao ni kuona Yanga na Simba zina perform well. Hawana time na kupambania feature yao. Hawana time na kuishinikiza Serikali iwapatie ajira wao kikubwa wanaibana Serikali ihakikishe Yanga na Simba zinafanya...
  2. JamiiForums Tanzania Kupunguza wachezaji wa kigeni Simba na Yanga kutaifanya Taifa Stars ifanye vizuri

    Kwa jinsi mpira wa Tanzania ulivyo Simba na Yanga ndio zinategemwa kuwa kuwa mhimili wa timu ya taifa, bahati mbaya sana ni kwamba vilabu hivi viwili vimetawaliwa zaidi na wachezaji wa kigeni wakifanya vizuri kuliko wazawa. Kinachatakiwa sasa ni kurekebisha hali hii na kutia nafasi tatu tu kwa...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Yanga ipo group la kifo CAFCL, no winners no losers in that group

    I will short Yanga previously anticipated a tough group to disappoint one of the favorites to win the CAFCL. They wanted sundowns, to enhance it's presence and superiority in the cup. But as draw came out. Yanga was nicked out with teams with almost the same level of financial power. The...
  4. JamiiForums Tanzania CAFCL & CAFCC Group Stage Draw 2024

    The draw will commence with the TotalEnergies CAF Confederation Cup Group Stage Draw at 15h00 East African Time (EAT), followed by the TotalEnergies CAF Champions League Draw at 16h00 EAT. Live Updates... https://www.youtube.com/live/5dTi02vfih8?si=WML4Hb5ZtrEVzEHk CAF CONFEDERATION CUP...
  5. JamiiForums Tanzania Yanga ina mashabiki wasio na kazi. Jangwani kumefurika nyomi hakuna pa kukanyaga wanafuatilia droo ya CAFCL

    Ningekuwa na uwezo ningeenda kuwachapa bakora hao mashabiki. Jumatatu hii muda wa kazi hakuna pa kukanyaga mitaa ya Jangwani na Twiga kisa droo ya CAFCL, hizi timu ni msiba.
  6. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba na yanga ni Pasua Kichwa.

    Hawa ni changamoto sana. Timu ikishinda goli chache inatupiwa lawama kuwa kiwango kimeshuka. Timu ikishinda goli nyingi wale wa upinzani wanasema timu iliyoshinda imenunua mechi na wachezaji. Timu zao zikishindwa wanatokwa maneno hatari. Wiki nzima mtu atalaumu hatari. Kila mtu anajifanya...
  7. JamiiForums Tanzania Wala sina wasiwasi na Simba hii tarehe 19.10.2024 anamshinda yanga sio chini ya magoli 2.

    Hapo vip!! Kifupi ni hivi Simba ni bora na ipo kwenye ubora hivyo mechi ya sara ya jana haiwezi kuiyondoa Simba sc kwenye ubora wake ulionao msimu huu. Nakuhakikishia tarehe 19.10.2024 Simba atamfunga yanga magoli mengi na hayawezi kupungua 2,nimawili kuendelea. Admin naomba usave hii post kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Mimi ni shabiki wa Yanga katika vitu sitamani vitokee ni Mgunda kurudi 5imba

    Huyu kocha ni mtu wa hatari sana, katika vitu nafurahishwa navyo ni pale ninapoona 5imba hawana mpango naye, Ila katika makocha wajuzi na hatari hususan kwa Ligi yetu ni Juma Mgunda a.k.a Mzee wa acha boli litembee, mzee wa pira biriani. Huyu jamaa akiachiwaga timu mfano pale alipofukuzwa Tinyo...
  9. JamiiForums Tanzania Kwenye kushambulia Half-Space tumetoka pair ya Kibu/Onana tupo na Kibu/Mutale

    Kwa soka la kisasa Half-Space ni sehemu vital sana kwenye kutengeneza na kufunga magoli... Bahati mbaya sana hizo sehemu ndo tuna Kibu na Mutale. Unaweza kufurahia hivyo vigoli vyao vya kubahatisha wanavyofunga ambavyo havina mfumo ila in a long run hawa jamaa ni mzigo tu kwa timu, sababu...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mdogomdogo maji na mafuta yanaanza kujitenga, Yanga anacheza mechi zake kibingwa na ndiye bingwa mtarajiwa!

    Wenye uelewa na Mpira watakuwa wamenielewa ninachomaanisha, siku zote timu yenye tabia za kuchukua ubingwa uwa Zina viashiria Fulani Fulani vya kutwaa ubingwa! Viashiria ivyo yanga anavyo kwa 100%, yanga amekuwa awezi kudondosha point kizembe ata kama mechi imewakalia vibaya lazima waondoke na...
  11. JamiiForums Tanzania Yanga wanacheza mpira wa siasa hapa Tanzania, matokeo wanayopata hauna uhalisia na ubora wao

    Hapo vip!! GSM ni mfanyabiashara hivyo anafanya mpira wa biashara. Ni wazi pamba imemkusanyia yanga point na magoli mengi ili yanga wachuukue ubingwa na GSM apate pesa zaidi. Ukiangalia mwenendo wa ushindi wa yanga, anapata magoli mengi anapocheza na timu zilizo sajiliwa na GSM Pia ili yanga...
  12. JamiiForums Tanzania Alex Ngereza: Yanga atamaliza ligi nafasi ya 3

  13. JamiiForums Tanzania Ushindi wa Yanga wa Jana umekuja na kelele nyingi sana kweli Rage alikua Sahihi.

    Habari! Kichwa cha thread kinatosha kabisa sitaki kueleza zaidi ila Makolo mna shida sana. Nyie wakat mnashinda kuna siku mliona mtu anaandika humu nyuzi kusema mnabebwa? Ila shida hua ni pale Yanga akiaanza kushinda tu goli nyingi. Kama nasema uongo Jamii forum nipigen Ban... kuanzia jana...
  14. JamiiForums Tanzania Yanga akizifunga timu zote zinazofadhiliwa na GSM atakuwa na point 36 kibindoni,Yanga Bingwa

    GSM wana akili sana Waliifadhili Yanga kutangaza magodoro yao. Wakafadhili timu ndogo kutangaza Yanga. Walitaka kufadhili ligi kuu eti Simba na timu zote zivae jezi ya GSM, Simba wakasema mkifanya hivyo tunahamia ligi ya Burundi au Zambia TFF wakaufyata. Wanayo familia kubwa sana, nusu ya...
  15. JamiiForums Tanzania Wachezaji machachari wa kigeni walioletwa na Yanga na kuishia kucheza vilabu vidogo

    1.Djuma Shabani wakati anasajiliwa Yanga tuliambiwa alikuwa akihitajika Real Madrid sasa yupo Namungo 2.Obrey Chirwa.,akivyotoka Yanga tukaaambiwa ameeenda Al Ahly ya Misri. 3.Tshishimbi,walisema ni zaido ya De Bruyne ...inaendelea
  16. JamiiForums Tanzania Yanga leo ikifungwa na Pamba au kutoa Draw nipigwe Ban ya wiki Mbili

    SIONI NAMNA PAMBA ANAWEZA KUTOA HATA DRAW. SIONI KABISA. Yaani hawa jamaa leo lazima Aziz Ki atupie, Chama atupie, Zengeli atupie. Pamba siku zote ni wetu. Ni wetu na tena ni wetu. Yaani hawana cha kutuzuia sisi kupiga mpira mwingi sana na mabao ya kutosha. Hii ndo match ambayo wanayanga...
  17. JamiiForums Tanzania Je, Beki Mwamnyeto kaitwa Taifa Stars kwa uwezo kweli alionao sasa au ni kuzidisha tu idadi ya Wachezaji wa Yanga na wawazidi wa Simba Kikosini?

    Kwahiyo imetafutwa kila namna mwisho wa Siku Yanga iwe imeita Wachezaji Watano Taifa Stars na Simba ibakie na Wachezaji Wanne walioitwa? Ndiyo maana kuna muda huwa naichukia Taifa Stars kwani imejaa mno Usimba na Uyanga wakati kumbe katika Vilabu vingine kuna Wachezaji wazuri sana wa kuipigania...
  18. JamiiForums Tanzania Yanga Princess vs Simba Queens / Ngao ya Jamii /2-10-2024

    Mtanange huu unapigwa kmc complex na uwanja unaonekana umependeza mashabiki wa kutosha mda si mrefu game inaanza Kwa Sasa napata uchambuzi uliotukuka kutoka kwa salama ngale(nguli) Itabidi nione mechi ndio nijue inakuwaje maana Yanga huwa ni mteja mzuri wa Simba kwenye hii category
  19. D

    JamiiForums Tanzania leo kuna game ya community shield simba na yanga princess, VAR ya KARIA iko wapi??

    I will be short. tulisema tutaelewana tu with time, juzi tu hapa alisema games za community shield VAR inaweza kutumika. leo kuna game ya community shield VAR iko wapi? incompetence tu. nothing to show for it. karia should change or leave.
  20. JamiiForums Tanzania Yanga ridhikeni na pointi 3, timu zote zimesajili kupunguza kufungwa na Yanga magoli mengi

    Baada ya Yanga kutembeza vipigo vya magoli mengi msimu uliopita, kila timu msimu huu ilisajili kwa lengo la kukabiliana na Yanga kwenye idadi ya magoli. Mbinu za kila kocha na wachezaji ni namna ya kuzuia magoli mengi kutoka Yanga. Msishangae kupata goli moja shangaeni kukosa pointi 3.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…