yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Jezi mpya za Yanga za Klabu Bingwa kuzinduliwa Novemba 20

    Klabu ya Yanga Sc kupitia kwa Meneja wake wa Habari na Mawasiliano Ally Kamwe, imethibitisha kuwa jezi mpya za klabu hiyo kwa ajili ya Ligi ya Mabingwa Afrika zitazinduliwa Tarehe 20, Novemba 2024 na zitauzwa kwa Tsh 50,000/= tu. "Tarehe 26 mwezi huu tuna mchezo wa ligi ya Mabingwa, wengi...
  2. JamiiForums Tanzania Ali Kamwe aupakulia minyama Uongozi wa Yanga kwa kumleta Ramovic

    Msemaji wa Young Africans SC, Ali Kamwe, amesema uongozi wa Yanga umekuwa makini na umepanga kwa weledi kuhakikisha mafanikio ya klabu yanaendelea. "Uongozi wetu umefanya maamuzi sahihi katika wakati sahihi kwa maslahi ya furaha ya wana Yanga." "Wakati Uongozi wa Young Africans SC unamleta...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kocha Mpya Yanga: Lazima niende sehemu inayoendana na malengo yangu (saed ramovic sababu ya kujiuzuru)

    Ramovic alitangaza kujiuzulu nafasi yake kama kocha mkuu wa TS Galaxy kwenye televisheni baada ya timu yake kutoa sare ya 1-1 kwenye mchezo wa ligi Kuu msimu huu. Alipohojiwa na iDisk Times alisema kuwa anahitaji sehemu inayoendana na malengo yake kama kocha. "Ni lazima niende sehemu...
  4. JamiiForums Tanzania Je, watumiaji wa Kisimbusi cha Dstv na Sisi safari hii tutaziona Live Yanga SC (CAFCL) na Simba SC (CC) katika hatua zinazokuja za Makundi au?

    Tafadhali kama huna Dstv Kwako na una Visimbuzi vyako vya Kipuuzi Kipuuzi cha Bamaga na Tabata huu Uzi haukuhusu.
  5. JamiiForums Tanzania Kwa takwimu hizi, Ramovic hana maisha marefu Yanga

    TAKWIMU ZA SAED RAMOVIC LIGI KUU AFRIKA KUSINI AKIWA TS GALAXY. . 🏟 β€” 76 Mechi βœ… β€” 27 Ushindi 🀝 β€” 22 Sare ❎ β€” 27 Vipigo ⚽ β€” 82 Magoli ya kufunga πŸ₯… β€” 68 Magoli ya kufungwa 🚫 β€” 31 Clean Sheet OFFICIAL: Yanga SC πŸ‡ΉπŸ‡Ώ imemtangaza rasmi aliyekuwa Kocha Mkuu wa Klabu ya TS Galaxy,Saed Ramovic kuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Rasmi: Sead Ramovic amrithi Gamondi! Atangazwa kuwa Kocha Mkuu mpya wa Yanga

    Sead Ramovic ni raia wa Ujerumani aliyezaliwa huko Stuttgart tarehe 14 ya Mwezi Machi mwaka 1979. Hivyo ana umri wa miaka 45. Pia, Kocha huyu ana uraia wa Bosnia. Kocha huyu ana Leseni ya UEFA Pro na ana wastani wa miaka 3.13 katika kazi ya Ukocha. Pia anapendelea kutumia formation ya 4-2-3-1...
  7. JamiiForums Tanzania Inafikirisha sana sababu za Yanga kuachana Gamondi

    ...Maisha ya Makocha wa Football kwenye Timu huwa hayategemei mafanikio uliyowapa huko nyuma bali mwenendo wa timu kwa wakati huo. Maisha ya Makocha wa Klabu za Simba na Yanga huwa hayategemei rekodi uliyoiweka kwenye klabu bali kelele za Mashabiki na maamuzi ya viongozi kwa wakati huo. Na hii...
  8. JamiiForums Tanzania Leo ni yanga

    Kila kitu tushasahau na single channel mind zetu tayari! Itakuwa gamond for 2 weeks kila kona nchi nzima then fahamu zetu ndio zitarudi tusubiri toleo lingine la maigizo tena. Mungu atuhurumie tu (kama yupo na anaona)
  9. JamiiForums Tanzania Ni dhahiri moto unawaka Yanga. Arafat alitishia kujiudhulu kama Gamond hatoondolewa

    Bundi yupo jangwani Arafat makamu wa raisi alikuwa na msimamo wa kumuachia hersi timu yake na kuwashawizhi baadhi ya wadhamini kujiondoa klabuni hapo. Chanzo nyeti kinasema Hersi alikua anasita kumvunjia mkataba gamondi lakini Arafat alisimama na msimamo wake hakuna kumpa muda tena gamondi timu...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano kilichomtoa Gamondi pale Yanga ni kutoamini katika Uchawi na Majini, Inahuzunisha sana

    Wazungu huamini sana katika uwezo wa wachezaji, lakini huku africa hasa Pale ambapo inasemekana wenye akili ni wachache sana wanaamini katika Uchawi. Inasikitisha sana unafukuza kocha huku mbeleni una mechi za CAF.
  11. JamiiForums Tanzania Huku akiwa ameshafungashiwa virago, Bodi ya Ligi Kuu yamfungia Gamondi michezo 3 na kumpiga faini

    Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha Novemba 14, 2024 ilipitia mwenendo na matukio mbalimbali ya Ligi na kufanya maamuzi yafuatayo; Aliyekuwa Kocha Mkuu wa klabu ya Young Africans, Miguel Gamondi amefungiwa michezo mitatu (3) na...
  12. JamiiForums Tanzania Takwimu za Miguel Gamondi akiwa Yanga

    Wakuu mpo Mimi ni mmoja wa walioshtushwa na kufukuzwa kwa Miguel Gamondi pale Yanga. Inawezekana yapo nyuma ya pazia tusioyajua, ila naomba tudondoshe takwimu ambazo Yanga watamkumbuka Gamondi. Makombe πŸ† 1X NBC Premier league πŸ†πŸ†2X FA Cup πŸ† 1X Community shield πŸ† 1X Toyota Cup Ushindi wa 5-1 Vs...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Aibu kwa Yanga kufukuza Kocha kisa kichapo kutoka kwa Tabora United

    Kwa historia ya wababe hawa wawili wa mpira Tanzania yaani Simba na Yanga haijawai kutokea wala kufikirika Kwa Kocha kufukuza na wala ukosefu wa Amani klabuni iwapo Timu ikipoteza mechi na Timu ndogo Kama Tabora United. Tumezoea songombingo iwapo mmoja kapoteza kwa pacha wake, lakini ili la...
  14. JamiiForums Tanzania Sead Ramovic kutua Yanga akichukua nafasi ya Gamondi

    Sead Ramovic ni kocha wa Kijerumani ambaye anatajwa kwa nafasi kubwa kama mrithi wa Miguel Gamondi aliyefurushwa mapema leo. Ramovic alikuwa anakinoa kikosi cha TS Galaxy kinachoshiriki Ligi Kuu ya Betway pale Afrika Kusini kuanzia mwaka 2021 -2024. TS Galaxy inashika mkia katika msimamo wa...
  15. JamiiForums Tanzania Rasmi: Yanga yavunja Mkataba na Gamondi

    TAARIFA KWA UMMA Uongozi wa Young Africans Sports Club unapenda kuutarifu umma kuwa umevunja mkataba na Kocha Mkuu wa kikosi cha kwanza, Angel Miguel Gamondi. Vilevile, Uongozi wa Young Africans Sports Club, umesitisha mkataba wa kocha msaidizi wa kikosi cha kwanza, Moussa Ndaw. Uongozi wa...
  16. JamiiForums Tanzania Sio siri tena, Gamondi ameshafukuzwa sijui Yanga wanaficha nini?

    Kutoka vyanzo vya ndani kabisa vya waliopo Yanga, Gamondi ameshapewa mkono wa kwaheri. Sijui kwanini Yanga hawataki kutangaza?
  17. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Yanga nawapa pongezi kwa kufanya mambo kimyakimya bila kuwajibu wanaowazodoa

    Hii kitu nimeipenda sana, viongozi wa yanga wamepata shutuma za Kila aina wiki hizi tatu, timu ya yanga imechambuliwa na Kila mchambuzi na maneno yake, kocha kafukuzwa na wachambuzi. Lawama za Kila aina zimerushwa kwa yanga baada ya kupoteza mechi 2 dhidi ya Azam na Tabora united, lakini...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Wanachama wa Yanga na Simba ni mambumbu wa mpira. Wataazima viwanja mpaka dunia ina malizika

    Licha ya kuwa mpira ni haramu kwa mujibu wa mafundisho ya dini yangu lkn kama mimi kama msomi sinabudi kuchambua mchezo huo. Tuanzie hapa. Yanga na simba ni timu kongwe sana Tanzania, ni timu zenye washabiki wengi na ndio timu zinazotegemewa ktk Afrika kwa ujumla. Yanga imevuma sana huko nyuma...
  19. JamiiForums Tanzania Kumbe wachezaji wa Yanga walikuwepo uwanjani wakati Simba wanalipoifunga Tabora United 3-0?

    Nimeshangaa kujua kumbe Azizi Ki aliyekosa Penati siku Yanga inacheza na Tabora United, aliwaongoza wachezaji wenzake wa Yanga kuishuhudia Simba ikiidungua TABORA UNITED 3-0 Agosti 18 2024. Sasa kama hawakujifunza mbinu za kuifunga Tabora United toka kwa Simba, basi Yanga kufungwa kwao ni halali.
  20. JamiiForums Tanzania Mbona hakuna update Simba Queens dhidi ya Yanga Princess?

    Nawasha TV nakuta Kuna mechi kati ya Yanga Princess na Simba Queens kwenye uwanja wa KMC. Mpaka Sasa naona tayari Simba Queens wametangulia moja bila dhidi ya Yanga Princess.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…