yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Yanga ilikosa Ubingwa wa Ligi Kuu mwaka 1988 ili tu amsaidie Simba isishuke daraja!

    Dar es Salaam, 1988 ▶️Waziri Mkuu na Makamu wa kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Joseph Sinde Warioba akimkabidhi tuzo ya Mchezaji bora chipukizi Ligi Kuu mwaka 1988, kiungo wa Yanga, Athumani Abdallah China. ▶️Katika msimu huo, Coastal Union ya Tanga iliibuka bingwa baada ya...
  2. JamiiForums Tanzania Tathmini fupi mchezo wa Yanga dhidi ya Namungo

    Mechi ilikuwa nzuri Wachezaji wa Yanga wameonyesha ukomavu na uvumilivu hadi nafasi za kufunga zikapatikana Wachezaji wetu hawana fitness nzuri sana. Nadhani labda uchovu kushinda ubingwa mara 3 siochezo, hii inasabisha mechi kukosa kasi tuliyozoea Duke Abuya ni Mchezaji mzuri mno, ametimiza...
  3. JamiiForums Tanzania Sead Ramovic aibua mpya,adai hakujua kama Yanga ni timu kubwa mpaka alipokuja nchini, adai jina lake linatamkwa Saidi''

    Kuelekea mechina Namungo,kocha mpya wa Yanga akiongea na waandishi wa habari amedai hakujua kama Yanga ni timu kubwa kivile mpaka alipotua nchini,dunia hii ya mitandao anafeli wapi kuifuatiliatimu mtanaoni. Pia amedai jina lake linatamkwa saidi sio sead kama lInavyoandikwa
  4. JamiiForums Tanzania Namungo atake atapigwa, asitake atapigwa. Yanga haiwezi poteza point kwa Namungo

    Game imeisha. Leo ni siku ya kuosha rungu. Namungo anapigwa na Dube atatabasamu. NAMUNGO LAZIMA AFUNGWE ATAKA ASITAKE. NIPO HAPA.
  5. JamiiForums Tanzania Young Africans tunasema watani kifurushi cha furaha Kwa mtani, mwisho leo

    Kifurushi cha furaha ambacho tuliwaunga watani kimedumu Kwa wiki 3 na Leo kimekwisha Yanga tumemfunga Simba mara nne mfululizo na Bado tutaendelea kumfunga hadi ifike mara 20+ Watani ambao wanaoshiriki mashindano ya akina mama ( Kaduguda) Yaani timu zinazo shirikisho mashinda ya shirikisho...
  6. JamiiForums Tanzania FT: Namungo FC 0-2 Young African SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 30.11.2024

    🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #NBC Premier League ⚽️ Namungo FC 🆚 Young Africans SC 📆 30.11.2024 🏟 Majaliwa Stadium, Ruangwa Lindi 🕖 6:30PM(EAT) KIKOSI CHA NAMUNGO KINACHOANZA KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA. Tukutane hapa kwa Updates... Updates... 18:31 Mpira umeanza kwa kasi ya Wastani hapa . Umiliki ni...
  7. JamiiForums Tanzania Kocha mpya wa Yanga Sead Ramovic ni hatari zaidi kuliko Gamond baada ya mechi tano zijazo mtamsahau Gamond

    Naomba niwe mtu wa kwanza kutofautiana na wengi wanaomponda kocha RAMOVIC. Ni kawaida kwa kocha yeyote mpya kupoteza mechi ya kwanza japokuwa sio makocha wote. Uchebe mwanzoni mwa pre season alikuwa anafungwa mpaka na Dodoma jiji kwenye friend match, pia Al Hilal ilimkanda kwenye CECAFA, Kocha...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ni bora Vijana Watanzania tungepigania Maslahi ya nchi yetu sababu huko kwenye kushabikia mpira muda wote hatujapa tija ya kutosha kwenye maisha yetu

    Licha ya sisi vijana kushabikia Simba na Yanga muda wowote bado hutujafanikiwa kutambulika kimataifa kama nchi ya Nigeria na nchi zingine za Afrika Magharibi na Kaskazini wanaofanya vizuri kwenye Soccer na pia hata kwenye kupigania mustakabali wa maisha yao hawapo nyuma. Bora hata jirani zetu...
  9. JamiiForums Tanzania Jezi za Yanga na maandishi makalioni

    Kwa muda mrefu kuna watu walikuwa wameshupalia maandishi ya Mo Dewji Foundation yaliyo nyuma ya jezi ya Simba. Kejeli zikawa nyingi pamoja na kwamba maandishi hayo yapo kiunoni na si makalioni. Cha ajabu, jezi mpya za Yanga zina maandishi makalioni kabisa pale mstari wa makalio unapoanzia ila...
  10. JamiiForums Tanzania Tetesi: Yanga wajutia kuwapa mkataba Sead Ramovic na Moallin,waanza mazungumzo na Patrick Aussems aliyetimuliwa Singida Big Stars

    Wameyatimba, Walimpa mkataba usiku usiku Moalin wa KMC na kuwa mkurugenzi wa ufundi, wakampa mkataba Said Ramo kuwakocha mkuu ,ndani ya muda mfupi Auasems au Uchebe anatimuliwa Singida Big Stars. Waneanza mazungumzo nae,si ajabu mmoja wao akavunjiwa mkataba as soon as possible kumpisha uchebe
  11. JamiiForums Tanzania Yanga waache kujipendekeza na Zanzibar

    Jezi mpya za Yanga kwaajili ya Ligi ya Mabingwa Afrika zimeandikwa Visit Zanzibar kwa nyuma upande wa chini. Huko ni kujipendekeza kiwango cha SGR. Kwanini wasitangaze Visit Tanzania, Visit Mount Kilimanjaro, Visit Ngorongoro, Visit Tarangire au basi Visit Kigoma na maeneo mengine ya utalii...
  12. JamiiForums Tanzania Hapa ndo Prince Dube alianza pata gundu. Kilichowamaliza nguvu wachezaji wengi wa Yanga

    Mademu. Kuna mademu walitumwa na mikia kuharibu wachezaji wetu. Kuwamaliza nguvu. Ndo UBAYA UBWELA ile. Hawa Simba waliamua kutumia hii kauli wao wakisema sisi tulikuwa tunanunua sana wachezaji wao. So wao Wamerudisha ubaya kwa style hii. Kuwaingizia mademu wengi wenye gundu Yanga. Hawa...
  13. JamiiForums Tanzania Timu aliyotoka kocha wa Yanga Yashinda mchezo wake wa kwanza

    Hapo jana timu aliyotoka kocha wa Yanga Ts Galaxy imeibuka na ushindi wa goli 1 kwa 3 ikiwa ugenini dhidi ya Sekhukhune ambayo ipo nafasi ya 7 kwenye msimamo wa League. Timu hiyo imeonja ushindi wa kwanza kwa msimu huu baada ya kocha wao wa zamani kuondoka. Kocha huyo mpya wa Yanga jana...
  14. JamiiForums Tanzania Magoli waliyopigwa Yanga kwa kiarabu

    Huyu mwarabu anajua kunata na biti
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hii timu ya Angola ingecheza na Yanga ingeshinda

    F.C Bravos do Maquis inayocheza na Simba leo (Shirikisho) nimeona kiwango Chao kiko juu sana kuliko Yanga. Leo hii ingekuwa inacheza na Yanga ingeshinda hata goli 3.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Limeuliza Jezi ya Yanga nimeambiwa 45 elfu, nimeshangaa

    Jana pita pita yangu, nimeikuta jezi ya Yanga nimeambiwa 45 elfu. Nia ilikuwa ya kununua na kufanyia mazoezi. Nilidhani elfu 5 tu. Najiuliza hivi mtanzania maskini ananua majezi ya club kwa bei hizi badala kutumia hela kusomesha watoto wake? Hivi tumerogwa wapi
  17. JamiiForums Tanzania Yanga tumepewa heshima tuliyoililia

    Kila kitu kimekuwa kibaya gafla mitaa ya jagwani na watu wengi wakiangaika kutafuta mbuzi wa kafara, mara kocha kawai kufutwa kazi mara simba wanacheza mechi zetu mara wachezaji awajitumi, wameridhika n.k Lakini hawajui, hiki ndicho kinawatafuna yanga, msimu ulioisha tumeshuhudia yanga ikiwa ya...
  18. JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara aliekuwa anakataa elfu tisini kuuza jezi mpya ya Yanga sasa anatafuta watu wa kununua jezi kwa elfu 55 na Raia wamemgomea

    Nimewahi kuandika hapa kwamba mbantu hawezi kufanya biashara kwa sababu huwa anashindwa kujitofautisha yeye na biashara yake. He think he is his business. Kwa mfano akiwa anauza bidhaa fulani halafu watu wakawa wanaigombania sana yeye atadhani kwamba hao wateja wana mshobokea yeye na sio...
  19. JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano Prince Dube aliingia uwanjani akiwa na wenge la pombe ya usiku (hanging over) Yanga kuna tatizo kubwa.

    Mpaka sasanikitizama video za marudio ya mechi ya Yanga vs Al hilal nikiangalia jinsi ambavyo prince Dube alikuwa anaanguka peke yake bila kuguswa 😆 tena yupo kwenye position ya kufunga anaanguka kama walevi wa ambiance au K vant Mpaka wqchezaji wa Al hilal wakawa wanaonyesha ishara ya...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Klabu ya Yanga yatoa pole kufuatia kifo cha Faustin Ndugulile

    Soma: Breaking News: TANZIA Dkt. Faustine Ndugulile aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni afariki Dunia
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…