yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Hakuna mchezaji wa simba anaweza kupata namba pale Yanga. Simba timu mbovu.

    MANULA hawezi kupata namba pale Yanga,utamsajili utampeleka wapi.Kaisha!
  2. JamiiForums Tanzania Ahmed Ally atupa dongo kwa Yanga, awaita Simba B baada ya Mwenda kutua kikosini na kuwa mchezaji wa 4 aliyecheza Simba kabla ya Yanga

    Leo Jumatano, Desemba 11, 2024, mapema katika kuendeleza hamasa za klabu ya Simba kuelekea mchezo dhidi ya CS Sfaxien ya nchini Tunisia, Jumapili Desemba 15, Meneja wa Habari na Mawasiliano wa klabu hiyo, Ahmed Ally, akiwa katika maeneo ya Tandika, tawi la Kapu la Magori, alitoa dongo kwa Yanga...
  3. JamiiForums Tanzania TANZIA Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Yanga, Abdulrahman Mnero afariki dunia kwa Ajali, kuzikwa leo Mbagala, Kingugi

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Yanga, Abdulrahman Mnero aliyefariki dunia jana kwa ajali ya barabarani anatarajiwa kuzikwa saa 10:00 jioni ya leo huko Mbagala Kingugi, jijini Dar es Salaam. Munelo alipata ajali jana katika eneo la Mbagala Zakhem baada ya bodaboda aliyokuwa amepanda...
  4. JamiiForums Tanzania Yanga lawama wekeni hapa chini suggestions za usajili zimfikie injia... Maana kila mtu hamumtaki

    Tukiwa usajili wa dirisha dogo tuna idadi imetosha ya wachezaji wa kigeni la sivyo tuvunje mikataba. Tunahitaji kuimarisha kikosi kwa kutumia wachezaji wazawa kama kuna umuhimu waekuingia gharama ikiwemo kulipa kuvunja mkataba wa foreigner. Sawa mwenda hamumtaki Nashon hamumtaki Lawi...
  5. JamiiForums Tanzania Tetesi: Yanga yajitosa kwa Lameck Lawi, Coastal Union yataka Milioni 250 ada ya uhamisho

    Timu ya Coastal Union imepokea barua rasmi ya Klabu ya Yanga kumuhitaji beki wa kati Lameck Lawi, Coastal Union inataka millioni 250 kama ada ya usajili wa Lameck Lawi kutoka Yanga. Soma, Pia: Simba wakubali yaishe kwa Lameck Lawi, aanza kwenye kikosi cha Coastal Union dhidi ya Mashujaa FC...
  6. JamiiForums Tanzania Huyu Israel Mwenda amshindia nini Kibabage? Mi Yanga sasa yanchanganya

    Mi sasa nshachanganyikiwa. Yaani si hatukona mchezaji mwingine mpaka enda chukua hii mibaki ya Simba? Aaah huyu alikuwa akikaa bench pale Singida. Kweli viongozi wangu mwatuletea mtu mwenye jina la Israel kwel kwenye team yetu? Aaah huyu acheza mpira na Simba walimwacha?
  7. JamiiForums Tanzania Wauwaji wa Yanga, Tabora United wafunguka madai ya Singida Black Stars kuwataka wachezaji wao wa mkopo

    Uongozi wa Tabora United umekanusha taarifa kuhusu Singida Black Stars kuwahitaji wachezaji wake wawili Faria Ondongo na Morice Chukwu wanakipiga kwenye timu hiyo kwa mkopo. Afisa Habari wa Tabora United, Christina Mwagala amesema bado hawajapokea barua yoyote kutoka Singida BS kuhusu wachezaji...
  8. JamiiForums Tanzania Beki wa zamani wa Simba SC, Israel Mwenda atua Yanga kwa Mkopo akitokea Singida Big Stars

    Mchezaji wa zamani wa Simba SC, Israel Patrick Mwenda, amekamilisha uhamisho wake wa mkopo wa miezi sita kutoka Singida Big Stars kwenda Young Africans (Yanga). Pia, Soma: Singida Black Stars yasema imemlipa Mwenda Tsh. 140m yamtaka aripoti mazoezini Beki huyo anauwezo wa kucheza kama beki...
  9. JamiiForums Tanzania Shabiki wa Yanga alalamika mechi zao kuoneshwa 500 za Simba kuwa 1000 Kibanda Umiza

    Wakuu Ndio kusema maji yamezidi Unga ama! == Shabiki wa Yanga maarufu kama Dosa ametoa malalamiko yake baada kuona anapoish mechi za Yanga kuoneshwa kwa bei rahisi.
  10. JamiiForums Tanzania Mchezaji wa Simba hawezi kula bata kila siku na wachezaji wa Yanga akabaki salama

    Nakumbuka mwanzoni mwa msimu huu nilipongeza usajili mzuri waliofanya Simba ila nikatoa angalizo moja kuwa wachezaji wa Simba wapigwe marufuku kuzoeana na wachezaji wa Yanga nje ya uwanja. Naelewa hawa wachezaji wana maisha nje ya uwanja na naelewa pia wengine wana historia zinazoingiliana kwa...
  11. JamiiForums Tanzania SI KWELI Gamondi amesema hakuwa tatizo pale Yanga na ikiendelea kucheza kama ilivyocheza dhidi ya MC Alger haitafika robo fainali

    Salaam wanajamvi, heri ya siku ya uhuru watanzania wenzangu!! Kuna hii taarifa nimekutana nayo kwamba Gamondi amesema, "Sasa Mmejua kwamba Sikuwa Tatizo pale Yanga SC, Kama mkiendelea kucheza kama Juzi hamfiki Robo Fainali Msimu Huu" hivi kweli huyu mzee anaweza kusema hivi?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Upepo wa yanga kufanya vibaya kwa sasa ndio nafuu ya simba kutoonekana madhaifu yake lakini timu yao ni dhaifu na kocha wao ni dhaifu pia!

    Huu upepo wa yanga kufanya vibaya kwa sasa ndio imekuwa nafuu kubwa kwa timu ya Simba kutotazamwa na watu wengi madhaifu yao pamoja na kocha wao! Kwa sasa wachambuzi na mashabiki wengi wa soka wamejikita kuijadili yanga kwa hali wanayopitia kitu ambacho kimewafanya viongozi wa Simba na kocha wao...
  13. JamiiForums Tanzania Nani anatumia jina la Zawadi Mauya pale Yanga kwenye mashindano ya CAF Champions League?

    Habari za mda huu Wana michezo Kila ukiangalia squad ya yanga akiwa anacheza Champions league kuanzia mechi ya kwanza na Al HILAL naona jina la zawadi MAUYA Nikajua maybe ni kosa la AZAM TV mechi ya juzi na MC ALGER pia jina Hilo limejitokeza Je yanga mambo yao yanaendeshwa kihuni tu bila...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Siyo Simba wala Yanga atakayevuka makundi

    Simba kwa watoto hawa ambao wanaruka ruka tu uwanjani kama maharage ya Mbeya, hatoboi makundi. Na Yanga kwa wazee hawa wanaotembea tembea uwanjani hawatoboi makundi. Hii ni nzuri, kwa kuwa sasa tuhamishia nguvu zetu kwenye mijadala ya kitekana na akuuwana badala ya Simba na Yanga. Soma Pia...
  15. JamiiForums Tanzania Media ya Umma (TBC) inapoizomea Yanga

    Ni aibu kwa chombo cha habari cha umma kuchapisha habari kishabiki namna hii
  16. J

    JamiiForums Tanzania Mimi kama shabiki wa Yanga naomba msamaha Simba kwa kuwaita Mwaka-robo

    Simba ilitinga robo fainali klabu bingwa Africa mara nyingi mfululizo, hadi kuipandisha ligi ya Tanzania na kwenye chati na kuwa moja ya ligi bora Africa, Yanga tukadhani ni kitu kirahisi tukabeza na kuanza kuwaita Mwakarobo Leo hii naona ugumu wa kazi waliyokuwa wanaifanya Simba, Yanga katika...
  17. JamiiForums Tanzania SI KWELI Yanga kufungiwa kufanya usajili na FIFA ni Propaganda za Waandishi

    Salaam Wakuu, Nimekutana na Taarifa kutokea Twitter ya Privadinho ikikanusha taarifa zinazoelezea sakata la Yanga kufungiwa kusajili sababu ya kushindwa kulipa deni ya Bechem United. Tazama hapa chini.
  18. JamiiForums Tanzania Maoni ya mashabiki wa Yanga yanaumiza mno, kama Taifa tuna safari ndefu sana

    Habari wakuu wana Jamii Forums. Nimelazimika kuingilia kati kidogo minadala inayoendelea Tangu jana Usiku Baada ya yanga Kupoteza Mchezo 2-0 Dhidi ya MC Alger ya Algeria Nimekuwa nikifuatilia maoni sehemu mbali mbali hususa ni Kwenye mitandao ya kijamii kama Jf na instagram. MAONI...
  19. JamiiForums Tanzania GSM aachane na Yanga itamfirisi,mtaji wake bado mdogo asishindane na Mo au Bakhresa

    Hii nchi kuna matajiri wakubwa tu zaidi ya GSM ila hawataki kusikiahabari za udhamini wa mpira,au kuwekeza kwenye kabunbu,wanajua hailipi GSM angeendelea kukuza mtaji wake tu kwanza aachane na Yanga itakuja kumfirisi,akuze mtaji wake kwanza,najua yeye ni Simba damu na yuko pale kibiashara ,mbona...
  20. JamiiForums Tanzania Yanga kupata hasara zaidi mwaka huu wa fedha

    1. Engineer Hersi kavunja mkataba na Master Gamond hivyo Yanga italipa fidia. 2. Kaajiri kocha wa mchongo na kuna kila dalili atamtimua hivyo Yanga italazimika kulipa fidia. 3. Inasemekana anatarajia kuvunja mkataba na Baleke hivyo Yanga italazimika kulipa fidia. 4. Kocha wa viungo aliyekuja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…