Dereva bodaboda anayefahamika kwa jina la Dickson Chacha(24), aliyekuwa mkazi wa Mtaa wa Machimbo kata ya Kipunguni jijini Dar es Salaam, amefariki dunia kwa kupigwa akidaiwa kuiba mayai matatu kwenye moja ya nyumba inayofuga kuku wa mayai kwenye mtaa huo.
Mama wa kijana huyo ameomba vyombo vya...