yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Sakata la Simba na Yanga SC halihitaji hekima za Serikali, Bodi ya Ligi na Tff Zifuate Kanuni na Siyo kuitumbukiza kwenye Tope serikali yetu.

    Swali la kujiuliza Je kama hili sakata lingetokea kwa timu nyingine mfano Namungo vs Simba SC au Yanga vs Mashujaa SC je Bodi ya Ligi na TFF mngeisumbua serikali?!!! Hii ligi imekua kama Ya Simba SC na Yanga SC na Bodi ya Ligi wametumbukia kwenye shimo la hewa, imefikia hatua wanafanya maamuzi...
  2. JamiiForums Tanzania Bodi ya Ligi inatafakari uwezekano wa kuzishusha daraja zote Simba na Yanga

    Kuna watu wanataka Kanuni zifuatwe ili ukiwasikiliza vizuri utagundua wanachagua kanuni gani zifuatwe na zipi zisifuatwe. Sasa embu tuliangalie hili suala la Kanuni na adhabu zake kwa umakini. Yanga wanasema adhabu ya timu kutotokea uwanjani ni kunyang'anywa pwenti 15 na/au kushushwa daraja...
  3. JamiiForums Tanzania Sakata la Simba ni sawa na lile la Nigeria dhidi ya Libya. Yanga msiende CAS.

    Timu ya Taifa Nigeria ilikataa kucheza na timu ya Taifa ya Libya, kisa hawakupokelewa vizuri na wenyeji wao. Kamati ya nidhamu ya CAF ikawazawadia Nigeria pointi tatu. Sasa hili sakata la Nigeria na wale mabaunsa wa Yanga tofauti yake ni ipi? Nashauri Mzee Magoma awazuie Yanga kwenda CAS.
  4. JamiiForums Tanzania Yanga hawamtaki Mzee Mguto kwa sababu ya jina lake!

    Nilikuwa naongea na mshabiki mmoja kindakindaki wa Yanga akaamua kufunguka kwa nini wanaonekana kummind sana Mzee Steven Mguto na Bodi yake ya Ligi. Nilimsikia jamaa akisema, "kwanza jina lake tu linatukebehi, kila tukitaja MGUTO sisi tunasikia UTO UTO UTO!". Nikamjibu kwa hilo tu wanastahili...
  5. JamiiForums Tanzania Yanga wanafanya CAS watudharau na kuhoji uwezo wa kufiikiri wa watanzania wote

    Goli la Aziz Ki lilivyokataliwa eti wakaenda CAS kuomba pwenti tatu.ujinga wa hali ya juu. Nimeanza kufatilia mpira sijawahi kuona goli lililokataliwa na refa uwanjani akapewa mezani. Pia sijawahi kuona mechi ikiyoahirishwa na mamlaka inayosimamia mpira timu mojawapo ikaomba pointi...
  6. JamiiForums Tanzania Tofauti ya ukurasa wa Yanga na ukurasa wa Simba huko Instagram

    Amani iwe nanyi Huku Simba wakipost vitu vya msingi yanga wao wamekazania uchawa na kupiga picha ambazo hazina picha wala miguu Mimi yanga lakin huu wanaofanya yanga ni ushamba na ujinga
  7. JamiiForums Tanzania Yanga ikienda CAS kwa sababu ya kuahirishwa kwa derby nipigwe ban ya miaka 2

    Unajua watu wanaongea tuuu. Unajaribu kuwaelewesha, unajaribu kuwaonyesha njia lakini waaapiii. Wamekaza mafuvu hawataki kabisa kusikia! Sifa mojawapo ya wanaume ni kwamba tunasimamia kile tunachoamini na hiki ndio ninachoamini: Kwanza, Yanga hawana pesa za kwenda CAS. Pili, Yanga hawana...
  8. JamiiForums Tanzania Mechi ya Simba na Yanga wanawake yajaza uwanja wa KMC siku ya jana, Je watanzania tunatafuta pesa muda gani?

    Kuna sehemu kuna kitu hakipo sawa. Inawezekanaje siku ya kazi kama jana jumanne uwanja unajaa mashabiki eti kushuhudia derby ya kariakoo ya wanawake. Huo ni muda wa kazi, ila Watanzania wakaamua kwenda kuujaza uwanja wa KMC. Muda huo ndio muda wa kwenda kutafuta pesa. Sisi ni nani aliyeturoga...
  9. JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC mnaomlaumu Rais wa TFF Wallace Karia kwa Kauli yake nawaombeni mnipe tofauti ya Kauli yake hiyo na ile ya Rais wenu Injinia Hersi Said

    Rais wa TFF Wallace Karia...."Yanga SC waendelee tu na Sinema zao juu ya Mechi yao Kuhairishwa" Rais wa TFF Injini Hesri Said..."Yani mwana Yanga SC mmoja katoka zake kula Mihogo alafu anataka Nijiuzuru" Kila Siku tukiwa tunasema hapa kuwa huenda huko Yanga SC kukawa na Wendawazimu wengi tu...
  10. JamiiForums Tanzania Mchezaji wa Yanga Princess alivyozua gumzo na utata wa jinsia yake

    Hapa binafsi nilijua ni Azizi Ki akimpa mkono Che Malone. Lakini kumbe siyo. Hapa nilijua ni Drogber Lakini hapa ndio alinichanganya zaidi
  11. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi Mnguto: Sakata la Simba si kubwa kuliko la Yanga la 2021, Yanga ilistahili kushushwa daraja

    Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi, Mzee Mnguto anadai hii iliyotokea juzi ya Simba sio kesi kubwa kuliko ile ya Yanga kugomea 2021 ile Yanga kama Bodi wangefuata sheria ilipaswa washuke daraja kabisa.
  12. JamiiForums Tanzania Simba waliandika barua Moja tu, Yanga makelele kila siku

    Yaani hadi inachosha, Simba waliandika barua Moja tu, Sasa baada ya hapo Yanga kila siku ni makelele na hawajui nani wa kumlaumu. 😄😆😀😃
  13. JamiiForums Tanzania Bodi ya Ligi: Kama Yanga wameenda CAS ni kichekesho, busara itumike sio kanuni

    Sakata la kuahirishwa kwa mechi ya Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga na Simba, iliyokuwa ichezwe Machi 8, 2025, limechukua sura mpya. Awali, suala hili lilionekana kama masihara, lakini sasa linaonekana kuingia katika hatua nzito. Mwananchi Digital imebaini kuwa Yanga imewasilisha rasmi kesi hiyo...
  14. JamiiForums Tanzania Simba na Yanga mtatumika kisiasa hadi lini?

    Mara nyingi mambo ya Simba na Yanga yametumika kuwatoa waTanganyika kwenye mijadala mizito yenye tija kitaifa. Wadadisi wa mambo wamenyetisha kuwa hata huku kuahirisha -ahirisha mchezo bila sababu ni kujaribu kuwahamisha waTanganyika kutoka katika ishu nyeti ya kitaifa ya No Reform No Election...
  15. JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia Derby ya wanawake Simba queen na Yanga Princess

    Yanga imeimarika sana na huenda miaka michache ijayo kama hawataharibu hii team basi wakachukua hili kombe la wanawake mara 5 mfululizo. Usajili wa dirisha dogo umefanywa na mtu makini sana na kuifunga JKt kwenye Samia cup na Sasa kuifunga Simba kwenye derby ni kipimo tosha Forward za yanga...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Never-Ever Uongozi Wa Yanga Msikubali Mechi Ya Marudiano na Simba

    Nitawashangaa Kama Mtakubali Kupeleka Timu kwa Tarehe Itakayopangwa. Mkumbuke Mna Sakata la Kumitmua Kocha Miguel Gamond Siku Chache Kabla ya Kuanza Kwa Mashindano ya Klabu Bingwa Hali iliyopelekea Timu Kutofanya Vizuri Kwenye Mashindano Hayo. Hili Liliwakwaza Sana Mashabiki Wenu, Uvumilivu...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli viongozi wa Yanga wana utoto na ujinga? Majibu ni haya

    Kiukweli kitendo cha kupeleka timu uwanjani wakati Bodi walishatoa taarifa kuwa mechi haipo ulikuwa utoto wa kiwango cha kimataifa.Bodi ndio wenye mamlaka, wameshasema mechi haipo wewe unatumia page yako kwenye insta unawaambia wanayanga twendeni uwanjani, wewe unabandika listi ya kikosi kwenye...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Je, ikitokea Simba amemaliza nafasi ya kwanza kileleni na Yanga nafasi ya pili na imebakia mechi moja ya Simba vs Yanga, Je Yanga mtakaa kucheza?

    Nna uhakika Simba akimaliza nafasi ya kwanza kileleni na Yanga akashika nafasi ya pili, je mechi ya mwisho mtakayopangiwa na Bodi ya Ligi ili mcheze na Simba mkishinda mnabeba kombe, mtakaa kwenda kucheza kweli? Yaan Yanga amebakiza mechi moja na Simba ili awe bingwa, mtakaza msicheze Simba awe...
  19. JamiiForums Tanzania Anaandika Makamu wa Rais wa Yanga

    “Unaweza kuendesha Watu ila huwezi kuwaendesha wakati wote, unaweza kuburuza watu ila huwezi kuwaburuza wakati wote, unaweza kuwaongopea watu ila huwezi kuwaongopea wakati wote, kuwa makini na maji yaliyotulia, yana kina kirefu sana”. Arafat Haji kupitia ukurasa wake wa Instagram …………..
  20. JamiiForums Tanzania Nakubaliana na Manara: Karia na TFF yake wameonyesha chuki yao Kwa Yanga hadharani

    Nimekuwa nikimpiga mawe Manara hapa jukwaani kutokana na kauli na matendo yake yasiyo na staha, ila Kwa alichokisema Yuko sahihii Karia ana chuki na Yanga na anatumia taasisi zake kuhujumu Yanga hadharani Karia amekaa ushabiki na mapenzi Kwa Simba na kumfanya aache weledi ana aropoke ovyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…