yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. Yanga tulegeze msimamo tucheze derby kama watakavopanga

    Mimi kama shabiki na mwanachama wa Yanga, Baada ya kuwaza Kwa kina nimebadili msimamo, naomba viongozi wa Yanga wawaze upya na kukubali derby kupigwa upya Kwamba Simba iliyokuwa na mabasi 3 yaliyojaa wanaume, walifika uwanja wakaogopa mabaunsa 4 tu na kuamua kukimbia kujificha Bunju...
  2. Bodi ya ligi yaburuzwa mahakamani na mwanachama wa Yanga

    Ni taarifa kwamba kutoka kwa mdau mmoja wa soka ambaye pia Mwanachama wa klab ya Yangasc kutokea mkoani Iringa ambaye ameitaka bodi ya ligi kuu ( TPLB) ndani ya siku 7 kuanzia leo kutekeleza mambo kadhaa ama sivyo ataifikisha bodi hiyo Mahakamani, Madai hayo yaliyotokana na Uamuzi usio halali...
  3. M

    Waziri wa Sanaa na Michezo Palamagamba Kabudi kukutana na viongozi wa Simba, Yanga, TFF na Bodi ya Ligi Alhamisi

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamagamba Kabudi amepanga kukutana viongozi wa Shirikisho la Soka la nchini (TFF), Bodi ya Ligi Kuu ya Tanzania (TPLB) na Klabu ya Yanga ili kutatua mgogoro unaoendelea kuhusu kusogezwa mbele kwa mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba...
  4. Kataa CCM = Kataa Ushabiki wa Simba na Yanga

    Moja ya Vichaka ambavyo Chama Cha Mapinduzi,CCM Kimejifichia ni kupitia Ushabiki wa Simba na Yanga. Hiki Kichaka kimewatoa kwenye Mstari Wa Tanzania kuacha kufuatilia Mambo Muhimu kwa mustakabali wa Maisha yao, mfano kuimulika na kuiwajibisha Serikali katika utendaji wake. Kwa sasa wa Tanzania...
  5. Aliyekuwa Kocha wa Tabora Utd: Nimefukuzwa kwa kosa langu ni kuifunga Yanga

  6. Mimi yanga damu ila ukwel mchungu

    (1)SIMBA INAKWENDA MISRI (2)TAIFA STARS INAKWENDA 🇲🇦 MOROCCO Yanga anaenda Singida.
  7. Simba na Yanga, mpo tayari kutoka kwenye soka la ushindani, ili kumiliki uwanja

    Naona wachambuzi uchwara wakiwabaga Simba na Yanga kuwa ni wazembe wanashindwaje kumiliki uwanja Mashabiki kila msimu wanatoa pressure, wanataka timu zichukue ubingwa na kufanya vyema kimataifa Kumiliki uwanja ni laZima simu ipunguze matumizi ya gharama za usajili, mishahara na benchi la...
  8. M

    YANGA NAO WATATENGENEZA KITU CHA KUAHIRISHA MECHI

    Kwa aina hii ya udhaifu wa uongozi wa TFF/TPBL, sitashagaa mechi ya Simba na Yanga ikaendelea kupigwa kalenda. Najaribu kuwaza, kwa kuwa Yanga wamedhamiria kutocheza, siku ikipangwa tarehe ya game wao wanaweza kwenda mazoezini na coaster moja movu wakalitupa mtaroni siku moja kabla ya mechi na...
  9. TFF na bodi ya ligi msijaribu kubambikia Yanga kesi/ kosa

    Vikao vya bodi ya ligi vimekuwa virefu wakitafuta kosa la Yanga ila hawalipati, Jibu ni kujaribu kumbambikia Yanga kesi kesi ili ku balance ili Yanga na Simba waonekane wana makosa na wapewe adhabu ili kufunika makosa Yao na derby irudiwe Bodi ya ligi mlilibeba kosa la Simba, Sasa mlilibeba...
  10. Yanga kumeanza kuchangamka. Huyu wa wapi huyu? Si kawaida

    Hii si kawaida huyu dogo atakuwa ametumwa na Mikia. Yanga huwa hatuna mambo kama haya. Tunasubiria kusikia Hersi atasemaje juu ya jambo hili. Atupe maelekezo au kama si yeye basi manara.
  11. Viongozi na mashabiki wa yanga nashauri acheni kulazimisha hiki timu chenu na siasa na wanasiasa

    Hapo vip! Naona siku upepo wa siasa ukibadilika naona hiki kitimu cha yanga ikishuka daraja kabisa kwasababu viongozi na mashabiki wao wanaibadilisha timu kuwa kama chama cha siasa kwa ujinga,kutokujitambua na kuto kuona mbele. Hii timu imekuwa inatafuta ukubwa usio stahili kwa kupitia...
  12. Kwa kuchambua mada zao humu JF tutaweza kuwatambua wale makomandoo wa Yanga

    Namba Moja ni Labani og , alikuwa kabebwa kwenye boda na ngara23 . Shadeeya na Numbisa walikuwa kwenye IST wakichukua tukio zima Kwa Tekno zao. 😃😄😆😂
  13. PreGE2025 Simba na Yanga wameshakuwa Machawa Pro Max, wanafanya nini kwenye mkutano wa uzinduzi wa Sera ya Maji?

    Wakuu Katika uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Maji ya mwaka 2002 Toleo la Mwaka 2025, leo Machi 22, 2025, katika Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam, mshehereshaji wa tukio hilo Shaban Kisu, alionyesha jinsi Simba na Yanga zinavyotumika kisiasa kwa kupaza sauti "Oyee!" kwa vilabu hivyo kupitia...
  14. U

    Utabiri: ''Wanangu TFF, Yanga, Simba Mkayamalize" Kisha Naomba mnialike kwenye Mechi, Nitakuja

    Mambo yameshakuwa Yamoto, Sasa baada ya Wizara, TFF na bodi ya Ligi kuushindwa mfupa wa Vigogo na mashabiki wa Yanga na Simba, sasa ni wakati wa Raia namba moja , mwenye nchi yake, kuingia na kutuliza mihemko ya wapenzi wa Soka. Naamini Busara za Rais Samia , Zitatumika kuliokoa hili, na...
  15. Wazee na Vijana wa Yanga acheni ujinga, nendeni mkajitafutie vipato

    Kila siku matamko na vigenge kwamba hamtaleta timu siku mechi ya derby ikipangwa. Mnafanya kazi saa ngapi? Viongozi wenu wameshachukua hatua, wameshatoa matamko, wameshapeleka barua Bodi, TFF na huko CAS. Acheni hizo hatua na malalamiko yafanyiwe kazi na maamuzi yatatoka. Hao wanaowachochea...
  16. Ukisikia neno Fratenity ni kwenye Ushabiki wa Simba na Yanga

    hisia.Huku Profesa na ngumbaru wote ni sawa. Mhutubu na Maamuma wote ni sawa,Mpumbavu na Mwerevu ni sawa. Huku hakuna anayesingizia kwamba TLS hajafanya hili,au sijui Emmaus Bandekile Mwamakula au Father John Kitima hajafanya hili wala Bishop Kalikawe Lwakalinda Bagonza hajasema hili au Baba...
  17. Natamani kuona mechi ya Simba na Yanga ikichezwa nje ya Tanzania.

    Imani za kishirikina ni moja ya changamoto zilizopelekea miaka hii ya soka kutokipiga kwa Mkapa mnamo mwanzoni wa mwezi March,japo kuwa hakukuwa na sababu za msingi kuhairishwa kwa mechi ya dabi. Hatuwezi kukataa maamuzi sababu yalikwishatoka ila limebakia swali tu,ni lini mechi ya dabi...
  18. Sakata la Simba na Yanga SC halihitaji hekima za Serikali, Bodi ya Ligi na Tff Zifuate Kanuni na Siyo kuitumbukiza kwenye Tope serikali yetu.

    Swali la kujiuliza Je kama hili sakata lingetokea kwa timu nyingine mfano Namungo vs Simba SC au Yanga vs Mashujaa SC je Bodi ya Ligi na TFF mngeisumbua serikali?!!! Hii ligi imekua kama Ya Simba SC na Yanga SC na Bodi ya Ligi wametumbukia kwenye shimo la hewa, imefikia hatua wanafanya maamuzi...
  19. Bodi ya Ligi inatafakari uwezekano wa kuzishusha daraja zote Simba na Yanga

    Kuna watu wanataka Kanuni zifuatwe ili ukiwasikiliza vizuri utagundua wanachagua kanuni gani zifuatwe na zipi zisifuatwe. Sasa embu tuliangalie hili suala la Kanuni na adhabu zake kwa umakini. Yanga wanasema adhabu ya timu kutotokea uwanjani ni kunyang'anywa pwenti 15 na/au kushushwa daraja...
  20. Sakata la Simba ni sawa na lile la Nigeria dhidi ya Libya. Yanga msiende CAS.

    Timu ya Taifa Nigeria ilikataa kucheza na timu ya Taifa ya Libya, kisa hawakupokelewa vizuri na wenyeji wao. Kamati ya nidhamu ya CAF ikawazawadia Nigeria pointi tatu. Sasa hili sakata la Nigeria na wale mabaunsa wa Yanga tofauti yake ni ipi? Nashauri Mzee Magoma awazuie Yanga kwenda CAS.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…