yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Niliapa na nilimaanisha Kazi imeisha Yanga SC anakufa 'nyingi' tarehe 11 Disemba, 2021 Wana Simba SC wote 'furikeni' Uwanjani

    Sijawahi kufeli Kitu kama tu nikikiamua!! Na nimewaweza na kuwashika patamu kweli kweli kwani Nyodo zao ndizo zimeniibua Chimbo ili nije kuifanyia Kazi Simba SC yangu. Yanga SC kama wakitaka Kukibadilisha nilichowafanyia Wakubali Mmoja wa Kiongozi wao au Mmoja wa Mfadhili wao au Mmoja wa...
  2. JamiiForums Tanzania Mtizamo wangu wa 'Kiufundi' kwa Simba SC iliyocheza na Geita Gold FC na inayoenda Kucheza na Yanga SC 11 Disemba, 2021

    1. Timu inacheza kwa Kasi kipindi cha Kwanza ila kipindi cha Pili inapungua. Na tatizo hili linaonekana pale tu Simba SC ikicheza Dar es Salaam ila kwa Mikoani Timu huwa inakuwa 'active' katika dakika zote 90. 2. Ugonjwa sugu wa Mabeki kutoicheza vyema Mipira ya Juu bado haujapatiwa Tiba ya...
  3. JamiiForums Tanzania Jinsi Simba na Yanga wanavyobebwa

    Let me declare my interest,Mimi ni Shabiki wa Yanga Mabingwa mara 27 (in Manara's voice 🤣🤣🤣🤣). Binafsi huwa napenda sana kuona timu yangu ikipata ugumu kupata point kutoka timu pinzani maana ndo utamu wa Soka.Siyo timu inajipigia tu,Nafurahi pia Simba ikihangaika kupata point toka kwa mpenzani...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Popote mlipo Viongozi wa Simba SC haraka sana epukeni 'Hujuma' hii Kubwa iliyopangwa na Yanga SC

    Kocha wa Geita Gold FC ambaye pia ni mwana Yanga SC lia lia (kindakindaki) Fred Felex Kataraiya 'Majeshi' Minziro amepewa Maagizo maalum ya kuhakikisha Wachezaji wake ama wanawaumiza vibaya au wanawatafutia Kadi Nyekundu Wachezaji Bernard Morrison, Jonas Mkude, Meddie Kagere, Larry Bwalya na...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwa jinsi Mbeya Kwanza FC inavyocheza Kitoto (Kiuanafunzi) zaidi nitaona 'Maajabu' makubwa ikiifunga Yanga SC leo

    Tena nahisi huenda leo Yanga SC ikapata Karamu Kubwa (Ushindi Mnono) dhidi ya Mbeya Kwanza FC katika Mchezo wao dhidi ya Mbeya Kwanza FC katika Uwanja wa Sokoine Mkoani Mbeya.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Yanga Walifika CAS Dhidi Ya Morrison..? Leo Wakili MSOMI Katoa Majibu...!

    Majibu Ya Kesi Yanga Dhidi Ya Morrison CAS tuliyasikia. Leo Tumepata Majibu Ya BM Juu Ya kwanini Utopolo Walifika hadi CAS..! Kwa Kiwango Kile Alichoonesha dhidi Red Allows Ya Zambia.Hakika Yanga walistahili Kufika Pale Walipofika japo Waliangukia Pua.! Zipo nyakati duniani ...jambo moja...
  7. JamiiForums Tanzania Sinema: Tazama shoo za B.Morison hata kama ni Yanga

  8. F

    JamiiForums Tanzania Yanga mnalaana yakuchoma vifaranga wa kenya

    haitawaacha salama
  9. JamiiForums Tanzania Ni sahihi Yanga kumlilia Morrison

    Kwa kiwango hiki huyu Wakili Msomi alichoonyesha dhidi ya Red arrows huwezi kuwalaumu Yanga kwa kuendelea kumlilia na Kumkumbuka Benard Morrison, Wakili Msomi.. Hakika Yanga Nendeni Fifa Tena mkakate Rufaa
  10. JamiiForums Tanzania Timu ndogo kubalini kufungwa na Simba na Yanga ili mpone.

    Baada ya mechi za Simba au Yanga kufanya vizuri mechi zinazofuata timu ndogo hazifanyi vizuri, zinafungwa na timu ndogo wenzao. Hii inatokana na makocha au wachezaji wenyewe wa timu ndogo kwa sababu zao kutumia nguvu nyingi sana kupita kiasi kutaka kulazimisha kuzifinga Simba na Yanga kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini jezi za yanga za watoto hazina tangazo la sportpesa ila zinatangazo la gsmfoam mgongoni?

    Wote ni wadhamini wa yanga kwanini tangazo hili la sportpesa wamelitoa kwa jezi za watoto wadau huku la gsmfoam likibaki?
  12. JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Simba na Yanga havitakaa vimiliki viwanja vyao vya kuchezea mechi zao za ligi

    Ndio hivyo! Mechi za Simba na Yanga wakicheza na vilabu vingine ni wao wenyewe wanapanga viingilio.. Lakini ikifika Derby ni TFF ndio wanapanga viingilio, Angalia mapato ambayo Simba na Yanga wanaingiza kupitia Mkapa Stadium! Leo hii uwaruhusu Yanga na Simba wamiliki viwanja vyao halafu...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Aucho ni mchezaji class ya Chama, hawezi kucheza Yanga, msikilizeni Manara anavyosema!!

  14. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kushinda kesi CAS Bernard Morrison anataka kuishtaki Yanga SC kwa kufoji sahihi yake katika Usajili

    Taarifa za ndani kabisa ambazo KEROZENE nimepenyezewa zinasema ya kwamba baada ya Mchezaji Bernard Morrison Kukerwa na alichofanyiwa na Yanga SC mpaka kumpeleka CAS wakati haki ilikuwa ni upande wake sasa anataka Kuwanyoosha kwa Kesi ya Kufoji sahihi yake ambayo ni Kesi rasmi ya Jinai (Criminal)...
  15. JamiiForums Tanzania Hukumu kesi ya Morrison hakuna anaepaswa kujiuzulu Yanga?

    Kwanini lazima awepo mtu wa kujiuzulu? 1. Mzee Kikwete aliishauri Yanga iachane na Morrison itafute Wachezaji wengine wa kuwachukua, alipuuzwa. 2. Wanachama na mashabiki waliaminishwa uongo na viongozi wao. 3. Mashabiki walikuwa na hamu kubwa kusikia majibu ya cas yakiwa positive kwa muda...
  16. JamiiForums Tanzania Mahakama ya kimataifa ya usuluhishi wa michezo ‘CAS’ imetupilia mbali Rufaa ya klabu ya Yanga, dhidi ya mchezaji Bernad Morrison

    Nasikia kitu kizito kimeshatua huko Ila imetoka kwa lugha ya malkia mwenye taarifa atuwekee kitu hapa ==== MAHAKAMA ya kimataifa ya usuluhishi wa michezo ‘CAS’ imetupilia mbali Rufaa ya klabu ya Yanga, dhidi ya mchezaji Bernad Morrison Raia wa Ghana na kumfanya mchezaji huyo kuwa halali...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna Wakili anayedharaulika Tanzania nzima kama Alex Mgongolwa

    Hakuna Wakili anayedharaulika Tanzania nzima kama Alex Mgongolwa (Mkuu wa Jopo la Mawakili) wa hovyo hovyo waliojitutumua Kupambana na Wakili Msomi Mmoja tu Raia wa Ghana huko CAS Bernard Morrison na leo Kawaumbua. Kuna Wakili Msomi Mmoja (tena Mwandamizi tu) aliwahi kunipa Takwimu za Kesi...
  18. JamiiForums Tanzania Manara: Yanga wameshamalizana na Chama, kumtangaza muda wowote kuanzia sasa

    Hii ni kwa mujibu wa post ya Haji Manara kupitia Instagram page yake
  19. JamiiForums Tanzania Utabiri wangu kwa timu za Simba na Yanga kabla ya msimu kuisha

    Kwa muelekeo ninaouna ✓ Mechi zote alizoshinda Yanga, Simba anakwenda kushinda kwa magoli mengi... ✓ Mechi zote alizotoa sare Simba, Yanga wanakwenda kupigwa wakiambulia zaidi ni sare kama ya Namungo... ✓ Mechi zote Simba alizoshinda MOYA BILA ( according to Mwnyi Zahera), Yanga anakwenda...
  20. JamiiForums Tanzania Kinyaa penati ya Yanga vs Namungo

    nimeita kinyaa kwa sababu ya maamuzi yenye kinyaa. Bila aibu...refa anaamua penati kabisa hata akili ya mtoto mdogo inakataa. Sidhani kama ni hakuona ukweli wa namna beki alivyocheza....refa hakua mbali na tukio... Hata kama refa alisubiria tukio hilo si kwa kwa uwazi ule. Azam Tv wamewekeza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…