yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Yanga chali!

    Mabingwa wa mchongo, baada ya kukosa nauli na pesa ya kambi huko Turkey, Walirudi kwa mdhamini wao sportpesa ili waone namna kama wangeweza kupata pesa ya kambi lakini sportpesa waligoma kwamba mahitaji hayo yalionekana kwenda kinyume na installments za mkataba.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Yanga tusitarajie makubwa toka kwa wachezaji wapya, huwezi kutenganisha mpira na ushirikina, wachezaji watapigana misumari

    Hili ni angalizo. Naona watu wameweka matumaini makubwa kwa wachezaji wanaosajiwa Yanga. Niwaambie kitu Africa mpira na ndumba ni mapacha wawili. Simba na yanga ni mara chache sana walisajili wachezaji wabovu,wengi walitoka huko wakiwa na kiwango cha juu leo wapo Kitayose,Ihefu sijui Namungo...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kitaalamu Yanga wako sawa hawana ushamba

    Pre season ni ushamba kuwachosha wachezajina mechi zisizo na kichwa wala miguu ni ushamba tu, hakuna cha kubadili hali ya hewa wala saikolojia kwa sababu kwa sasa saikolojia ya wana yanga iko heaven kabisa juu mbinguni hukoo wana morale kubwa na kujiamini mno *wana uhakika wa kutetea ngao ya...
  4. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Yanga tunajua pesa ya pre season hamna tuwekeni wazi mashabiki tuchangie

    Inauma kuona wenzetu Simba tayari wameshaanza maandalizi ya msimu unaokuja alafu sisi bado tuna tunapishana kwenye kumbi za harusi hii inaonyesha ni jinsi gani hatupo serious na ligi na mashindano ya kimataifa. Sisi kama mashabiki tunajua pesa yote imeishia kwenye usajili na pesa ya pre season...
  5. JamiiForums Tanzania Viongozi Yanga Sc waipigia magoti CAF

    Wakati michuano ya club bingwa barani Africa hatua ya awali ikitarajiwa kuanza mwezi ujao tetesi zinasema kuwa uongozi wa Yanga kupitia CEO wao senzo wameiandikia shirikisho la mpira wa miguu barani Africa barua ya kuwaomba mchezo wao hatua ya awali waanzie ugenini na siyo nyumbani wakiofia...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Yanga day kupambwa na Red Arrows ya Zambia, Dar itatikisika

    Watu wakiambiwa Senzo ni genius wanabana pua na kuanza kutikisa masikio, yanga ya sasa ni mooto wa kuotea mbali kiuongozi nje na ndani ya uwanja, wakati itakapokuwa imetoka katika kambi ya kisasa huko morogoro kijijini matombo tarehe 6 machampion wa nchi watapata mechi ya kujipima nguvu na...
  7. JamiiForums Tanzania Kocha mkuu Yanga sc Nabi kutimuliwa raundi ya kwanza ya msimu

    Najua kuna watakao nibeza ila msimu unaokuja utakuwa mgumu sana kwa Nabi, kutokana na usajili walioufanya Yanga Africa wana matumaini makubwa sana yakufanya vizuri kwenye na caf champions league. Viongozi na mashabiki wa Yanga wanatamani kuona timu yao msimu unaokuja kwenye caf champions league...
  8. JamiiForums Tanzania Morrison aanza kuwaendesha Yanga huko mtandaoni😂

    Admin wa mitandao ya kijamii ya Yanga ana kazi ya ziada msimu huu😆😆😆
  9. JamiiForums Tanzania Aziz Ki akwamisha pre-season ya Yanga Uturuki

    Hapo awali mabingwa wa Tz bara Yanga sc walipanga kwenda kufanya maandalizi ya msimu mpya nchini Uturuki. Ikumbukwe kuwa usajili wa Azizi ki umeigharimu GSM kitita cha USD 200,000 na mshahara wa usd 10,000 kwa mwezi. Raisi wa Yanga alimuomba Aziz ki wampatie nusu ya pesa ya usajili kwa msimu...
  10. JamiiForums Tanzania Safu ipi ya ushambuliaji simba vs yanga itatisha musimu huu?

    Yanga sc. Mayele Kambole Morrison Aziz ki Moloko Nkane Ngushi Simba sc. Phiri Sakho Banda Okrah Manzoki ( kama atasajiliwa) Kibu Kyombo
  11. JamiiForums Tanzania Yanga Waambiwe Ukweli, Tusiwaogope.

    Hivi Yanga wamesahau kuwa wanakwenda kushiriki Ligi kuu ya Tanzania bara na kombe la club Bingwa barani Africa? Mbona usajili wanaofanya ni kama timu inayokwenda kushiriki La Liga? Mimi nadhani viongozi wakumbushwe kuwa sisi Simba hatuna ugomvi nao, ila tunaomba wasitufanyie hivyo. Hivi kweli...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Yanga atapona kweli msimu ujao?

    HAKUNA nchi inajua kuwapamba watu wake wa mpira Afrika kama Tanzania. Mtunisia Nasreddine Nabi kwa sasa anaitwa profesa. Alisomea wapi? Sina majibu. Ukitazama pale katikati ya dimba kuna kiungo Mganda Khalid Aucho, lakini kwa sasa anaitwa daktari. Alisomea wapi? Sina majibu. Ndiyo mpira wetu...
  13. JamiiForums Tanzania Kiungo Mshambuliaji wa Burkina Faso, Stephane Aziz Ki atambulishwa rasmi Yanga SC

    Hatimaye Usajili Bora zaidi katika dirisha hili la Usajili. kutoka Afrika ya Magharibi, mabingwa watetezi & wa kihistoria wa LigiKUU Tanzania Bara wamtambulishaa Stephane Aziz KI kama mchezaji Mpya wa Yanga SC. Stephane Aziz Ki amenunuliwa kwa dau ambalo limevunja rekodi kwa timu ya ndani...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Yanga SC kushtakiwa ilipe milioni 200. Ki Aziz aharibu bajeti

    Mkiambiwa balance ya mahesabu imeharibika kwa sifa za kijinga za ki aziz hamuamini, ufunguo huo peke yake umesababisha hata kambi inaenda kukwekwa karatu siyo uturuki tena Kwa msiojua ni kwamba Gharib kasema hatoi zaidi ya 500 millions watu wamechafua madafatari vibaya sana, haya sasa millions...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nawakumbusha Yanga SC kuanza maandalizi ya msimu mapema

    Viongozi wa Yanga nawaomba mfanye maandalizi ya timu mapema siyo mnaleta ligi ya digital design kwani kombe linatolewa kwenye design hiyo. Watani wetu ndo wamepaa Leo, mkileta mzaha mafanikio tutaona tu kwa jirani ambaye yuko serious. Sisi tutachukua kombe la digital design
  16. JamiiForums Tanzania Graphic designer wa Yanga amesifiwa sana lakini kumbe anakopi na kupest

    Amekopi na kupest toka kwenye wimbo wa DJ Khaleed, yeye alichofanya aka-edit na kuweka nembo ya Yanga...haya Kazi kwenu utopolo...
  17. JamiiForums Tanzania Ukiachana na Yanga kuchukua Ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC tunataka Ubingwa wa Graphics 🙌

    Hivi GRAPHICS wa YANGA SC hawezi fungua CHUO ili awape Darsa hawa wa vilabu Vidogo? Nimecheka hapa naona watu wanasema kaiba ile sehemu ya kutembea na funguo, niwatoe ushamba tu kwamba Kile kitu kinaruhusiwa kabisa katika fani ya graphics na ni sehemu ya sheria za "Fair use policies" katika...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Yanga adaiwa kutapeli Tsh. Milioni 83 za pafyumu

    Nimeleta huu uzi kama tetesi za zilipotokea pia, maana mtu mwenyewe anayehusika hapa hachelewi kulialia na ku play victim Kutoka ukurasa wa jamaa anyejiita Chaz lee huko facebook
  19. JamiiForums Tanzania Yanga iliyoacha rekodi Kampala wakati Onyango akizaliwa Kenya

    Yanga iliyoacha rekodi Kampala wakati Onyango akizaliwa Kenya KAMA utani imetimia miaka 27 tangu vinara wa Ligi Kuu Bara kwa sasa, Yanga ilipoandika rekodi ya aina yake jijini Kampala. Kwa waliosahau ni kwamba Januari, 1993 mabingwa hao wa kihistoria wa Tanzania, iliyosafiri kichovu kwenda...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Yanga SC kwanini Jina la Mwanzo la huyu Mchezaji wenu Mpya Mkongomani mnalikwepa kulitaja?

    Haitwi Lomalisa Mutambala bali anaitwa Joyce Lomalisa Mutambala kutoka Klabu ya Bravos Do Marquis ya nchini Angola. Bila shaka Msimu huu mtatengeneza na Jezi za Sketi na Blauzi ili Wanawake ( Binti ) na Beki wenu wa Kushoto Joyce Lomalisa Mutambala aweze Kuzivaa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…