yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Haiingii akilini kabisa kwamba Yanga alishindwa fitina pale kwa Mkapa

    Mimi nina imani kubwa kwamba Yanga alijiandaa na kamati ya ufundi pale kwa Mkapa dhidi ya wale waarabu weusi, na alifanikiwa kabisa kupata ushindi mnono wa nje... Ila naamini kuna wahaini ambao kwa hulka zao za kichawi za kutopenda maendeleo ya wengine waliamua kuwasanua ama wao wenyewe kutibua...
  2. JamiiForums Tanzania Wale mliokuwa mnahesabu Mechi za Yanga SC Kutokufungwa tuendelee au Msudani keshaiharibu?

    Ninachojua Jumapili zote huwa ni mbaya Kinyota kwa Yanga SC hivyo kama alivyokufa Jumapili ya tarehe 16 Oktoba 2022 ndiyo hivyo hivyo ataenda Kufa tena Jumapili ya tarehe 23 Oktoba 2022. Kudadadeki Asanteni Wasudani.
  3. JamiiForums Tanzania Wana Yanga wenzangu tushirikiane tuutoe ule mwiko kule nyuma lasiivyo tutaendelea kuteseka.

    Hii ni aibu sisi ndio mabingwa alafu tunatolewa mapema hivi? Hapana haikubaliki tatizo ni ule mwiko kule nyuma kwa umoja wetu naomba tushirikiane tuutoe haraka iwezekanavyo. Kama tusipoutoa mwiko tusahau kimataifa kufanya vizuri. Daima mbele nyuma mwiko utoke.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Draw ya Yanga Shirikisho kufanyika Cairo keshokutwa Jumanne

    Naam, ile DRAW ya vibonde wa Champions League waliotupwa huko Shirikisho, ambapo inabidi wacheze play offs, inachezeshwa kesho kutwa jijini Cairo saa 10 jioni saa za Kibongo. Draw hiyo itakuwa na vibonde kama TP Mazembe, La Passe, Young Africans, Kwara UTD, Plateu, Zesco n.k. Hatma ya vibonde...
  5. JamiiForums Tanzania Yanga Leo jiandaeni na kumulikwa vitochi usoni

    Hawa jamaa ukiacha kupenda kwao mafataki mwanzo mwisho, pia ni waumini wazuri wa maswala mazima ya vitochi usoni. Leo ndiyo mtajua hamjui, dadeki.
  6. JamiiForums Tanzania Ewe mwana Yanga SC mtaje JF Member mwana Simba SC uliyempania kumnanga mno leo Yanga SC ikifuzu Makundi

    Mimi hakyanani nimempania sana huyu Member aitwae SAGAI GALGANO, kwani anatuchukia mno sisi wana Yanga SC, na kila siku ni lazima tu aanzishe nyuzi za kuisema tu vibaya Yanga SC yetu.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Ahadi ya billioni moja kwa wachezaji Yanga yawatisha Al Hilal, ya Vipers yawapa wazimu

    Ingawa ilifanywa siri kutokana na hali mbaya ya kiuchumi waliyonayo wanuka jasho wa Tanzania, fununu mchomoko ni kwamba yule tajiri wa kiukweliukweli asiye na ubahili hata kidogo, yaani yeye kumwaga mapesa hafikirii mara mbili wala hachungulii daftari, KATENGA BILLION MOJA Al Hilal apasuke kwao...
  8. JamiiForums Tanzania El-Merreikh kapindua meza licha ya kufungwa 3-1, bado Yanga

    Unaweza dharau Yanga ila yaliyowatokea wengne leo Al Hilal ataingia kwa akili sana. Kila la heri Yanga. Mungu ibariki Tanzania, bariki Yanga yetu. Kwa hisani ya @mamabongeeeeee
  9. JamiiForums Tanzania Berkane kapindua meza leo, bado Yanga

    Unajua Berknane ni nani? Leo kapindua meza, alikiwa aende. Bado Yanga!
  10. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Klabu ya Yanga acheni kuwajaza upepo mashabiki wenu

    Katika mchezo wa awali walisikika na kuwaaminisha mashabiki wao ya kuwa kuna timu itapigwa 4 bila, yaani kana kwamba walijua Al Hilal ni sawa na Zalan FC, lakini matokeo yake ilikuwa chupu chupu walale nyumbani. Sasa nimeona hata katika mchezo huu wa leo zipo tambwe toka kwa uongozi na...
  11. JamiiForums Tanzania FT: Al-Hilal 1-0 Yanga (Agg 2-1), Yanga yaondolewa Ligi ya Mabingwa Afrika

    FULL TIME 90+1' Zinaongezwa dakika 4 za nyongeza 90' Wenyeji wanaweka mpira wavuni lakini mwamuzi anasema mfungaji aliotea 81' Farid Mussa anaingia, anatoka Fei Toto kwa Yanga 76' Yanga wanamtoa Morrison anaingia Makambo 70' Mchezo umesimama kwa muda, mchezaji wa Al Hilal ameumia 60' Fei Toto...
  12. JamiiForums Tanzania Ubashiri: Yanga VS Al Hilal draw (2-2/3-3)

    Nahisi kuyaamsha baadhi ya mapepo yaliyolala, tukutane kesho saa tano usiku hapa. Ninachojua Yanga anaingia makundi, kivipi, subiri dakika 90. Mungu ibariki Tanzania na watu wake. Ibariki timu yetu ya Yanga.
  13. H

    JamiiForums Tanzania Tahadhari ya mwisho kwa Yanga kabla ya mechi yao na Al Hilal hapo kesho

    Yamebakia kama masaa 24 kabla ya mtanange muhimu kwa Yanga na Al Hilal hapo kesho. Niwatahadharishe kitu kuwa, kesho inaweza ikatokea bahati mbaya Yanga wakafungwa goli la mapema sana. Sasa niwaambie ndugu zangu hawa kuwa, hawatakiwi kukata tamaa mpira ni dakika 90. Goli la mapema linaweza...
  14. JamiiForums Tanzania Japo Yanga siwapendi kuliko timu zote duniani lakini ninapenda Tanzania na sisi tuingize timu mbili makundi CAFCL

    Thamani ya ligi yetu itaongezeka sana. Watanzania wataanza kuangaliwa ili wasajiliwe timu nyingine za Afrika. Na pengine makocha wetu wanaweza kutazamwa. Yanga siwapendi na mpira wao uko sana mdomoni lakini ningefurahi mwaka huu na sisi tuwe na timu mbili kwenye makundi CAFCL. Azam nao...
  15. JamiiForums Tanzania CAFCL Al hilal Vs Yanga

    Huu mchezo hapo kesho huko Sudan matokeo yake ni aidha Al Hilal 1 : 0 Yanga, ama sare ya namna yoyote ile (0:0, 1:1, 2:2, 3:3).
  16. JamiiForums Tanzania Abubakar Salum haumwi, ila amegoma hadi amaliziwe chake chote

    Na kuna mgomo wa chini kwa chini juu ya kuchelewesha mishahara ya wachezaji wazawa ila wa kigeni wote mnawatimizia kwa wakati. Nibishieni hili ili nije na siri nyingine.
  17. JamiiForums Tanzania Yafuatayo ni mambo ya msingi kwa Yanga ili waweze kufuzu kesho

    Hapo awali nilileta uzi humu kuwa Yanga wanashindwa kufanya vizuri kwasababu wanakosa vinasaba vya michuano ya kimataifa. Nilipondwa sana na wana Yanga wenzangu lakini mpaka sasa akili zinawakaa sawa baada ya kuona Simba kwake kufuzu klabu bingwa imekuwa kama jambo la kawaida hata akiwa na...
  18. JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa Uongozi wa Yanga

    Habari wakuuu. Uzi wangu utakuwa mfupi sana lakini wenye fikra na mawazo mapya kwa watu. Msimu wa 2021-2022 Yanga imechukua; Ubingwa wa Ngao ya Jamii Kombe la Azam Sport Ligi Kuu ya NBC Imekuwa bingwa bila kupoteza mchezo wowote, hongera sana kwao. Japo Simba ndiyo ilikuwa ya kwanza kufanya...
  19. N

    JamiiForums Tanzania NAISAIDIA YANGA: Majina/ramani ya vituo vya yatima Khartoum haya hapa katembeleeni kuiwezesha ile ndagu yenu

    Ni ujinga kufanya hiyo ndagu kwa mechi 30 za TFF ambapo mwisho wa msimu unapata millions 500 wakati leo ukiifanya hapo Khartoum unaingia makundi na kujipatia billion 1.2. Ule mtindo wa kutembelea vituo yatima msiogope wandugu, ipigeni leo mkitua hapo mchana. Wahi supermarket kanunueni...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Yanga wakipundua meza, watakuja na kauli "Bila sisi kuwasema, msingevuka"!

    Wakati hivi sasa wako makini kuishambulia Yanga, moja ya lengo lao likuwa ni kuwakatisha tamaa mashabiki na wachezaji wa Yanga hususani wachezaji na viongozi ili wawe na molari ndogo kisha watolewe. Lakini matokeo yakija tofauti, bila aibu na kwa unafiki, watasema bila sisi kuwashambulia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…