yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Lengo la rais wa yanga kuwaita mashabiki wa timu yake wala mihogo

    Kitendo alichokifanya rais wa yanga ni udhalilishaji wa hali ya juu. Ameonesha namna gani alivyo na dharau na kuwapuuzia mashabiki wa timu ya yanga. Yanga ilikuwepo tangu miaka ya 1935. Viongozi walimtangulia walikuwa wakiheshimu mashabiki. Ni kweli mihogo ni chakula mambacho watu wengi...
  2. JamiiForums Tanzania Bumbuli kabla hujawafagilia makolo umepitia takwimu hizi za Yanga ya manji?

    Februari mwaka 2016 Yanga ya Manji iliingia kampeni ya kuiwakilisha Tanzania na kuanzia kwenye klabu bingwa wanaanzia hatua ya awali wakipangwa na Cercle de Joachim ya Mauritius Yanga inashinda ugenini 1-0 na nyumbani 2-0 wanavuka na kuingia hatua ya pili Hapa wanakutana na APR ya Rwanda Yanga...
  3. JamiiForums Tanzania Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said nchi uliyoitaja inaitwa 'Tunis' iko Bara gani Kijiografia?

    "Nipende kuchukua nafasi hii Kuwahakikishia wana Yanga SC kuwa tunaenda kupindua matokeo nchini Tunis na kusonga mbele" Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said. Chanzo: Sauti yake aliyoisambaza mwenyewe katika Electronic Media zote leo. Yaani huna hata mwaka uongozini umeshaanza kudata...
  4. JamiiForums Tanzania Mnaotuletea habari za Simba na Yanga humu kila uchao mnamatatizo

    Jamani haiwezekani kila saa trending news ni Yanga hujakaa vizuri Simba. Huu sio uungwana. Hapa najua matusi nje nje lkn huu ndio ukweli, unakuta mtoto ana miaka 30 au hata 35 anashabikia yanga au Simba Hadi inakiiera.. unamuuliza. Je wanao watakuja kudai kiinua mgongo hapa? Je unapata...
  5. JamiiForums Tanzania NABI bado yupo sana. Ajabu wanaotaka Nabi aachwe Yanga ni Wanasimba kuliko Idadi Kubwa ya Wanayanga

    Simba wanamchukia sana Nabi. Wanamchukia mpaka unawaona usoni kabisa ukitaja jina la Nabi, Ukitana jina la Mayele, Ukitaja jina la Aziz na Ukitaja jina la Feisal. Wanaacha kula, wanaacha kunya wanaondoka hivyo hivyo. Nabi hawezi fukuzwa. Malengo ya team kwa asilimia 99 ametimiza. Asifupoteze...
  6. JamiiForums Tanzania Sinema: Yanga wakiwamwagia Africain maji ya maiti

    Mbali nchi kuingia kwenye aibu 90' za uwanjani, kuna aibu nyingine nchi imeingia. Video inaonyesha jinsi mashabiki wa Yanga wakiwangia Club Africain. Maji hayo inasemekana ni maji ya maiti. Mshana Jr maji ya maiti yana madhara gani kisayansi za uganga
  7. JamiiForums Tanzania Yanga watahukumiwa na kupigwa adhabu kali; hawapindui meza wala hawatoboi!

    Yanga wako nje kwa dhamana katika mechi ya kimataifa, kombe la washindi. Hukumu itakua siku ya Mechi ya marudiano nchini Tunis. Hapa Yanga watahukumiwa na kupigwa adhabu Kali. Hawapindui meza wala, Hawatoboi. Kitu pekee wanachotakiwa kufanya ni kuandaa pesa ya faini na kutangaza kutokwenda...
  8. JamiiForums Tanzania Eng. Hersi hana uchungu na Yanga, atolewe kwa nguvu

    Hizi jeuri zinatoka wapi. Huku ni kulewa madaraka na kutukana watu kuita wala mihogo. Kwani mihogo ina tatizo gani mpaka uitumie kutukania? 😂😂😂😂
  9. JamiiForums Tanzania Niliposema tena kwa Kujiamini 100% kuwa Kocha Nabi atafukuzwa Yanga SC nilikuwa ninamaanisha

    Nilisema kuwa akikoswakoswa katika Derby ya Kariakoo (Simba na Yanga) basi atanasa katika Matokeo ya Mechi ya awali ya Club Africaine kama akifungwa au akitoka Sare na asiponaswa hapo anaenda Kuchinjiwa mazima kwa Matokeo ambayo anaenda kuyapata Jijini Tunis nchini Tunisia katika Mechi ya...
  10. JamiiForums Tanzania Dhambi hizi zifuatazo ndizo zinaigharimu Wala Mihogo (Masikini) Yanga SC Mechi za Kimataifa

    1. Mgawanyiko mkubwa baina ya Wachezaji (hasa wazawa na Wageni) na hili GENTAMYCINE zaidi ya mara Mbili nimelisema hapa hapa JamiiForums ila mkanichukulia poa ila lipo tena sana tu 2. GSM na Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said na Makamu wake Kujimilikisha Yanga SC na Kuwadharau wenye Yanga SC...
  11. JamiiForums Tanzania Marefa wetu ndiyo wanaiponza Yanga kimataifa

    Yanga ni sikio la kufa, halisikii dawa. Janja janja za GSM kwenye ligi letu ni matokeo yake haya. Haiwezikani ushinde kwa mipango mipango na kihuni kihuni halafu uweze kufanikiwa. Nikikumbuka game ya Yanga na Azam au Penalty waliyopewa juzi narudia kusema tena MAREFARII wetu ndiyo wanaoiharibu...
  12. T

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Simba Queens iende kucheza na Club Africain badala ya Yanga

    Nashauri kwa uongozi wa klabu ha yanga usipoteze nauli ya kuisafirisha timu kutoka Tanzania kwenda tunisia badala yake ipishe timu ya Simba Queens icheze kwa niaba yao pale Tunis. Huku tukizingatia kuwa nauli ya kutoka Rabat kupitia Algiers mpaka Tunis ni ndogo kuliko ya kutoka Dar mpaka Tunis...
  13. JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa Serikali kupiga marufuku club ya Yanga kutumia uwanja wa Mkapa,inadhalilisha nchi

    Hii mara nyingine tena nchi inaibika sababu ya club moja tu. Uwanja wa Mkapa una hadhi yake, unapoutumia tumia kuleta sifa sio aibu. Kwa sasa bora mkacheze Kirumba tu.
  14. JamiiForums Tanzania Ambangile: Yanga ni kama vile walishtukizwa kwamba leo kuna mechi

    Hii mechi unaanza kuichambulia wapi hasa kwa upande wa Yanga ? Maarifa hakuna , wapo slow sana , hakuna ubunifu , pasi zisizo na ufanisi , ni kama vile walishtukizwa kwamba leo kuna mechi na nafikiri hata Club Africain hawakuamini macho yao jinsi gani wamerahisishiwa mechi ✍🏻Shape yao ile ile...
  15. JamiiForums Tanzania Yanga wamedhoofu, ni kama wao ndio wapo ugenini wanakatisha tamaa!

    Wanavyocheza yanga nikama tayari wameshapata goli nne, kama wasiposhinda goli 3 leo ndio basi tena!
  16. JamiiForums Tanzania Dini ya Simba na Yanga inavyodhoofisha maisha ya Watanzania

    Inasikitisha na kushangaza sana. Miaka zaidi ya 60 ya Uhuru,nchi ambayo inasemekana tuna utajiri wa maji kuliko nchi yoyote ukanda huu wa maziwa makuu na pengine Afirka nzima,leo tunajadili swala la mgao wa maji.Tena Kuna wengine wameenda mbali zaidi kwa kuandika makala za kuwasifia Waislamu...
  17. JamiiForums Tanzania Kama Yanga SC ama itafungwa au hata kutoka Sare na Club Africaine Kesho, tayari Kocha Nabi ameshatoa Utetezi Leo

    "Nchi zingine zote Vilabu vyao vikiwa vinashiriki Michuano ya Kimataifa huwa hawachezi Ligi Kuu zao mpaka wazimalize ila kwa hapa Tanzania ni kinyume hivyo sijui Kesho itakuwaje kwani tuna Majeruhi wengi muhimu Kikosini" Nasredinne Nabi Kocha Mkuu wa Yanga SC. Chanzo: Spoti Leo ya Radio One...
  18. JamiiForums Tanzania Yanga wakitumia angalau nusu ya Nguvu wanayotumia Wakicheza na Simba basi watunisia wanatoka!

    sina mengi , Tayari tarehe mbili Imefika naamini Kabisa Ile Nguvu Yanga wanayotumia wakikutana na Simba, Wakiitumia angalau nusu yake tu basi wanaingia makundi! Kama Kuna ahadi , au mambo yanafanyika yanga inapoelekea kucheza na simba basi yakifanyika nusu yake tu, Game inaisha Kwa mkapa...
  19. JamiiForums Tanzania Yanga ilikuwaje wakaitwa Kandambili na Pan Africa wakaitwa Raizoni?

    Mpaka leo wachora katuni hutumia picha ya Kandambili kuwakilisha timu ya Yanga. Nakumbuka ni utani kati ya Yanga na Pan African, ndiyo ulileta jina la Kandambili Yanga na Raizoni Pan African. Raizoni ndiyo vilikuwa viatu vya maana sana zama hizo, na Kandamimbili zilikuwa zinavaliwa na watu...
  20. JamiiForums Tanzania Club African watua, Yanga Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un

    Mwarabu mtoa roho ametua kuizima Yanga. Hatuna budi kusema... Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un Nasema hivyo kwa sababu CAF hakuna refa wa bahasha, hakuna timu ya bahasha. Hakuna penati ya mchongo. Hapa ukifunga kagoli kako kamoja kule Tunisia utapigwa sio chini ya 5. Mtanisamehe tu,ila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…