yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Yanga muacheni Feisal aende pale nafsi inapomtuma

    Mchezaji sio taasisi, Mchezaji ni nafsi huru, ni takwa la nafsi, ni hiyari ya nafsi na takwa la mtu binafsi, mchezaji ni mwanadamu kwa maana hiyo ana utashi binafsi, kitu pekee kinachomfanya mtu akacheza kwa bidii zote ni GUTS, ipeni nafsi yake uhuru, mkimng'ang'ania sana kinyume na nafsi yake...
  2. JamiiForums Tanzania Wakili Msomi: Yanga wamefanya uzembe kwa Feisal

    Wakili na mwanamichezo mzoefu nchini, Aloyce Komba ametoa ufafanuzi juu ya dili la Fei Toto kutua Azam akisema: . “Yanga wamefanya uzembe wenyewe na wasije wakathubutu kukimbilia Fifa kama walivyofanya kwa Bernard Morrison itakula kwao. Waangalie vizuri mkataba wa mchezaji unaeleza nini...
  3. JamiiForums Tanzania Anayejua masharti yote ya Mkataba wa Feitoto na Yanga kufatwa ni Feitoto mwenyewe na Engineer tu. Tusiwasemee ukweli utajulikana

    Naombeni washabiki wa Yanga tuwe na subira. Kupitia kesi ya Feitoto tutajua tu ukweli Kama Yanga inalipa keshi au inawakopa wachezaji. Kwanini saidoo akiondoka na Dikson ambundo kidogo afungiwe. Wachezaji Wana Siri nzito Sana.
  4. JamiiForums Tanzania Kiufundi bado naiona Yanga SC ni bora kuliko Azam FC na kwamba ina 85% za kushinda leo

    Ukiwatizama Yanga SC katika kila Idara na kuangalia Fitness yao hasa kwa Mchezaji mmoja mmoja na ukawalinganisha na wa Azam FC na current performance yao ambayo ni ya kusuasua bado nawaona Yanga SC si tu ni favourite katika Mzizima Derby ya leo bali pia ni Title Contender ambao nilishasema (japo...
  5. JamiiForums Tanzania Tetesi: Azam kurudi mezani na Yanga, kumnunua Fei kwa pesa taslimu pamoja na Iddi Nado

    Ndo inaishia hivyo. Kutoka vyanzo vya ndani, licha ya Yanga kurejesha pesa na kudai mkataba uheshimiwe lakini imeonekana na wazi kuwa hali haitakuwa tena shwari kati ya Fei na Wananchi kwa sasa. Azam baada ya kuchokonoa na kuharibu sasa hawana budi kuyamaliza kwa njia sahihi nayo ni kupeleka...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kumekucha: Yanga wamjibu Feisal Salum (Fei Toto)

    Wakati Feisal akiwaaga wachezaji wenzake, mashaabiki wa Yanga, na uongozi kwa ujumla, Yanga wameibuka na madai mazito. Habari hii hapa: KLABU ya Yanga inapenda kuujulisha umma na Wanachama wa Yanga kuhusiana na taarifa za mchezaji wetu Feisal Salum Abdallah zinazoenea katika mitandao ya...
  7. JamiiForums Tanzania Sababu kwanini Fei hapaswi kucheza tena Yanga baada ya sakata lake la Azam

    Nasikia kuna breaking news kwamba eti Yanga wamerejesha fedha zilizo lipwa na Fei ili Fei aendelee kucheza Yanga. Ni utoto huu. Mashabiki wa Yanga tayari wamesha Kubali kuondoka kwa Fey. Kama kuna mtu yupo nyuma ya sakata la Fei kwa ajili ya kuwa push viongozi Yanga wa muongezee Fey mshahara...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Yanga acheni kuhangaika na Feisal, ni ushamba

    Sakata la Feisal na Yanga linaendelea kupamba moto. Bahati mbaya hizi timu za Simba na Yanga zina maujinga sana. Ndio maana utaona kila siku zinakuwaga na habari za wachezaji waliowakariri. Utasikia Manzoki, Miquisone kila timu inawataka. Hamnaga scouting timu za maana? Hivi sasa nasikia Yanga...
  9. JamiiForums Tanzania Nilitaka nimlaumu Feitoto kuhamia Azam FC ila kwa hiki alichowaambia matajiri wa Yanga SC yuko sahihi

    "Naipambania sana timu yenu kuliko hawa wachezaji wa kigeni mizigo mizigo, ila kila nikiwaambia mniongezee mshahara mnasema hata kupewa huu unahodha wa timu ni heshima kwangu, kwa Wazanzibari na kwamba nisijali mtanifikiria. Mnatudharau mno Wachezaji Wazawa naondoka kwenda kwa wanaojua kujali...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Feisal kuondoka Yanga?

    Kazumari kamwaga unyunyu jamani. Ebu tujadili huu mkataba wa Feisali. Kwanza ni KWELI pasi na shaka yoyote kwamba Feitoto amewapa NOTISI klabu yake ya Yanga SC ya kuvunja mkataba nao. Feisal alikuwa na mkataba na Yanga SC (ambao BIN KAZUMARI imeuona) uliosainiwa tarehe 10 Agosti 2020 ukichukua...
  11. JamiiForums Tanzania Yanga anaweza kupoteza point, je wapinzani wao simba wanaweza kutokupeteza?

    Ligi ya bongo bingwa anaanza kuonekana mapema mno, watu wa mpira walishajua bingwa wa msimu huu ni nani. Kuiombea mabaya Yanga apoteze sio sababu je akipoteza simba anaweza kuendeleza ushindi msimu mzima? Jibu ni HAPANA. Yanga anaweza poteza point hata 6 walingane na simba lakini bado...
  12. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa uongozi wa Yanga

    Kuna tetesi za Feisal kuondoka kwenda Azam, kama lina ukweli basi atakiwe kila la kheri maana mpira ni ajira. Ila napendekeza uongozi ufanye replacement yake kwa kumchukua mchezaji fundi kutoka Singida big stars atatufaa sana. Hasa ukizingatia tunaelekea kwenye michezo ya makundi Shirikisho CAF.
  13. C

    JamiiForums Tanzania Kuondoka kwa Feitoto: Sasa Yanga “utopolo” hali tete

    Hizi habari kama ni kweli, andaeni mlungula wa kutosha kwa waamuzi na wapinzani wenu. Pia jiandaeni kuumiza mchezaji mwingine kwa timu zilizo matishio kwenu. Kumbukeni bila muamala,bila Feitoto, timu yenu ni Kama Ihefu tu Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
  14. JamiiForums Tanzania Kwa Mazingira haya Tata na ninavyoujua Mpira wa Bongo ulivyo Azam FC ameshafungwa mapema tu na Yanga SC Krismasi

    1. Msemaji wa Azam FC aliye Kifungoni Zaka za Kazi..... Siku ya Mechi yetu na Yanga SC Jumapili tarehe 25 Disemba Tutavaa Jezi Nyeusi. 2. Msemaji wa Azam FC aliye Kifungoni Zaka za Kazi...... Kuhusu Sisi Azam FC kuvaa Jezi zetu Nyeusi nilisema tu Kiutani ila Tutavaa Jezi tutakazotakiwa Kuvaa...
  15. JamiiForums Tanzania Yanga SC msipovaa jezi nyeusi Jumapili mnafungwa

    Hakuna kitu kibaya kama imani, yanga wamejiaminusha kuwa jezi nyeusi ndio yenye bahati kwao. Sasa kimbembe ni jumapili dhidi ya Azam fc, Azam wanasema watavaa jezi nyeusi, ikumbukwe mwenyeji wa mchezo yeye ndio huchagua atavaa jezi gani. Ngoja tuone hii vita ya jezi itaishia wapi, ila yanga...
  16. JamiiForums Tanzania FT: Ligi Kuu: Yanga 3-0 Coastal Union, Uwanja wa Mkapa, 20/12/2022

    Mchezo huu wa Ligi Kuu Tanzania Bara Kikosi cha Yanga kinachoanza katika mchezo wa leo Mchezo umeanza 5' Coastal wanaonekana kuwa makini 10' Kasi ya mchezo siyo kubwa 12' Matokeo bado ni 0-0 15' Yanga wanamiliki mpira muda mwingi 27 Azizi Ki anapiga shuti kutoka nje ya 18, linapaa juu 28'...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kama Umaarufu unalipa nini kimemfanya Haji Manara akose Kura CCM inayohusishwa na Yanga SC Kimahusiano?

    Kazi yangu leo ni Kusoma tu Mirejesho yenu ( Comments zenu ) juu ya Jambo nililoliuliza hapo juu katika Kichwa changu cha Habari.
  18. JamiiForums Tanzania Yanga wanaishukuru Yanga tv

    Nilikuwa miongoni mwa watu wanaorushwa roho kwenye you tube na mitandao mingine nikitafuta habari za kweli za Yanga. "Wahuni" walikuwa wanabandika picha nyingine, maandishi mengine na habari tofauti kabisa, au wanatoa habari za tetesi za kijinga kabisa zilikuwa zinamaliza bundle langu bure. Sasa...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Sikilizeni, hakuna Simba bila Yanga na kinyume chake. Mngejua?

    Mwanzoni mwa kuinukia kujua mpira na kufuatilia ilikuwa naumia sana pale timu ninayoipenda kufungwa au kuwa na habari mbaya kama migogoro na mifarakano. Nimefuatilia kwa muda mrefu mpaka nilipokuja kungundua Kuwa Timu za SIMBA na YANGA ni habari nyengine hapa Tanzania. Kwa kweli nilipata tabu...
  20. JamiiForums Tanzania Droo ya Hatua ya Makundi CAF: Yanga yapangwa na TP Mazembe, Simba wapangwa na Raja Casablanca

    Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya ligi ya mabingwa pamoja na shirikisho Africa, Simba na Yanga mchana huu watakuwa wakifuatilia droo ambapo makundi yatapangwa. Droo hii itaanza saa 8:00 kwa masaa ya hapa nyumbani. Hivyo karibu jukwaani ujue nani kapangwa na nani? Droo itakuwa live...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…