yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Yanga kuanzia nyumbani dhidi ya Marumo ya Afrika Kusini

    Wananchi kukipiga na Marumo ya South tarehe 10 mwezi ujao hatua ya nusu fainal CAFCC. Mechi nne kali za Yanga mwezi huu; Singida vs Yanga tar. 4 May (NBC) Singida vs Yanga tar 7 May( Azam fa) Yanga vs Marumo tar. 10 May (CAFCC) Marumo vs Yanga tar. 17 May (CAFCC)
  2. JamiiForums Tanzania Tusizuge wana Yanga SC wengi ( 99% ) hawana Furaha na Matokeo ya Marudiano leo

    Wana Yanga SC wote walijaa hadi Pomoni kwa Mkapa wakijua kuwa kama Ugenini mlishinda Goli 2 basi leo kwa Mkapa Wanaijeria wangekufa / wangefungwa Goli nyingi kuanzia 3 kwenda mbele matokeo yake imeisha Suluhu ( 0 - 0 ) Najua mnashangilia Shingo upande tu huku mkiwa Wanafiki kwani matokeo...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa mpira ambao Yanga wamecheza leo, nampongeza sana Nabi, lazima tujue umuhimu wa akiba

    Mpira wa leo ama kwa hakika ulikuwa wa hesabu za kutotumia akiba yote, Nabi alifunga full busta ugenini ili kumaliza kazi mapema na hesabu zake zimemlipa leo. Leo hii Yanga wamecheza mpira wa kupata matokeo ya kuwapeleka tu nusu fainali tena bila kukamia kukwepa majeraha na kuchezesha wachezaji...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Galants kumtoa Monastry na Yanga kutopata bao kwa Mkapa kunaleta tafsiri gani?

    Wananchi ni wazi tupo kinywani mwa Galants, vipi kutoboa kupo kweli au tusubiri kutimiza wajibu maana Rivers jinsi walivyocheza leo ni kama hawakuhitaji ushindi au ni timu ya kawaida ukilinganisha na Galants. Muda ni Mwalimu mzuri ngoja tusubiri.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Ni dhahiri kwa Rivers hii Yanga wapewe maua Yao.

    Hakuna namna Rivers wanaweza kupata ushindi au sare. Hawaoneshi kuwa serious na kazi. Ngoja watimize wajib warudi kwao.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Clement mzize, sio level ya kucheza yanga.

    I have being watching him in several matches, factors hidering his performance . Poor positioning . too heavy (mzito) . Poor Football intelligence ( he needs to attend class again ) How to improve . He should switch the numbers . Improve the runs . He should be loan to a different club for...
  7. JamiiForums Tanzania Aibu kubwa kwa Taifa taa za uwanja wa Benjamini Mkapa kuzimika mechi ikiwa inaendelea

    Nashangaa sana katika hili taifa mwanzo walisema Kuna mtu/kibaka alifanya hujuma akakamatwa Sasa leo Tena ni Nini? Halafu tunaomba kuandaa afcon kwa hali hii tutakubaliwa kuandaa mashindano ya afcon?? Ni aibu kubwa kwa KWELI/tunaaibika kimataifa. ---
  8. L

    JamiiForums Tanzania Umeme umekatika Uwanja wa Benjamin Mkapa wakati Mechi ya Yanga na Rivers ikiendelea

    Uwanja wa Taifa giza Tena,Mwigulu ansema tupo salama Jamani ,tuwe serious hii Ni mara ya pili. CAF fungieni uu uwanja tafadhali =========== Mchezo wa mkondo wa pili wa robo fainali ya kombe la Shirikisho Afrika kati ya wenyeji Young Africans SC dhidi ya Rivers United ya Nigeria imesimama kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Yanga Chini Ya Hersi tuupeni Maua yake

    Yanga For Many Years ilikua inajitafuta sana kiukweli ilikua inajitafta na hilo halina ubishi na katika misimu iliyokua inajitafta simba ilipiga hatua kubwa sana japo hayo mafanikio ya simba yanaanza kupoteza nguvu ikiwa ndio mwaka mmoja wa Hersi pale yanga. Hersi ndani ya mwaka mmoja wa...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini Yanga SC imetumia Nguvu Kubwa na Kujiandaa Kupitiliza kwa Mechi ya Rivers United FC wakati kwa 99% Wameshafuzu?

    Nimeshuhudia Maandalizi mengi ya Klabu ya Yanga hasa ikicheza Michuano ya Kimataifa ila sijawahi kuyaona Maandalizi haya Kabambe na Kufuru yaliyofanywa kuelekea Mechi yao ya Marudiano na Rivers United FC Kesho Mkapa Stadium. Hata hivyo Wenye Akili tunajua baada ya Yanga SC Kushinda Ugenini (...
  11. JamiiForums Tanzania Baleke yupo kwa mkopo na kaweza kuwashawishi Tp Mazembe kiwango kimerudi, Je atarudi Mazembe, atabaki simba au Yanga watatumia nguvu ya pesa kumpora ?

    Msimu ndio unakaribia kuisha hivyo na kijana huyu kaweza kutupa surprise ya aina yake ligi ikiwa ukingoni 1. Tp Mazembe watamtaka arudi congo ? 2. Atabaki Simba ? 3. Yanga watatumia nguvu ya pesa kumleta jangwani ?
  12. JamiiForums Tanzania Simba kama mmekubaliana na kichapo cha Wydad msihamishie hasira Kwa Yanga

    Inashangaza sana kufungwa mfungwe nyie , timu mbovu mmerundikana nyuma tuuu , no On target hata moja , kibu D anakimbiza mpira kama nyumbu anaangalia Tu chini, wala haoni wenzake walio pembeni , hakuna attacking midfielder anayeweza kupunguza angalau wachezaji wawili ama wa tatu wa timu pinzani...
  13. JamiiForums Tanzania Kocha Nabi Kaisuka Yanga SC kwa miaka Miaka Miwili, Kocha Oliveira Kaisuka Simba SC kwa Miezi Minne je, yupi ni Bora?

    Kwa tulisoma Saikolojia na hata kuwa Wakufunzi / Walimu tukiona Mwanafunzi anamwelewa Mwalimu kwa muda mfupi huamini huyo Mwalimu ni mahiri ila tukiona kuna Mwalimu kaeleweka na Wanafunzi kwa muda mrefu haraka sana huwa tunamtilia Mashaka na hata Kuamuru Uchunguzi wa Kitaaluma ufanyike kwa huyo...
  14. JamiiForums Tanzania Yanga bado mna vita kubwa. Mnahitaji kuwa more professionals na uwezo mnao, maamuzi ni yenu.

    Yanga kwa maana ya viongozi na wachezaji, Ushindi wenu na dhidi ya Rivers United kule Nigeria ni chachu tu kuelekea safari amnayo bado ni mdefu pamoja na kuonekana kama safari iliyobaki hatua tatu tu. Waacheni mashabiki wenu wafurahie pia wajigambe, lakini ninyi wakati wenu wa kujipongeza...
  15. JamiiForums Tanzania Maneno yalikuwa mengi sana, sasa nasubiri muongee

    Daaah, ngoja niteremke moja kwa moja kwenye point,, Simba alipokuwa cafcl maneno yalikuwa mengi sana, sasa nasubiri muongee na sahivi niwasikie, NASEMA HADI FA HAMTAPATA YAANI MTAKANDAWA POTE POTE MKIVUKA AZAM FC MNAKUTANA NA MWENYE KUU YA JANGWANI YAANI MTAPOTEANA MPAKA MSEME JINA LA UTOTO LA...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia aongeza dau, kutoa Tsh. Milioni 10 kwa kila Goli kwa Yanga na Simba (CAFF na CAFCL)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameamua kuongeza fedha za motisha kwa timu za Simba na Yanga kutoka shilingi Milioni 5 hadi Shilingi Milioni 10 endapo timu hizo zitafuzu kucheza nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika na Kombe la Shirikisho Barani Afrika...
  17. JamiiForums Tanzania Yanga mechi ya marudiano hangaikeni na nafasi za wazi walizopoteza Rivers.

    Bahati nzuri na bahati mbaya zipo kwa uiwiano na kiwango sawa kutokea. Kama Yanga walikuwa na bahati kuzitumia nafasi zao 2 kupata mabao, hivyohivyo Rivers wanaweza kubahatika kugeuza nafasi walizopoteza kwao kugeukia magoli kwetu. Tusijidanganye na kupofushwa na tugoli tuwili tuliyowwfunga...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa wale wa Dar es Salaam nitajie Ukumbi usio na Yanga wengi Kesho nije tuiangalie Simba yetu pamoja

    Kumbi yangu Kuu ya Kawe najua Kesho kutajaa wana Yanga SC wengi naogopa na hivi nina Mkanda Mweusi wa Combat Kung Fu naweza kusababisha Mtu ( mwana Yanga SC ) akaishia ICU Hospitalini au hata Mortuary kwa Kichapo Tukuka nitakachokitoa. Kesho GENTAMYCINE nataka kwenda katika Ukumbi ambao una 90%...
  19. JamiiForums Tanzania Yanga kufungwa 2-0 na Rivers

    Yanga wasidhani kazi imekwisha, wanaohitaji Umakini wa Hali ya juu Kushinda mchezo ujao dhidi ya rivers, Kama wataleta mzaha wataambulia kichapo nyumbani na kutupwa nje ya mashindano
  20. JamiiForums Tanzania Goli 2 za Shirikisho ni sawa na offtarget 1 ya Championship

    Hutaki unaacha 🤣🤣🤣
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…