yanga vs simba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. lugoda12

    Yanga na Simba nani anakwenda kuibuka mshindi?

    Hivi game ya tarehe 1 march 2026 Yanga na Simba uawanja wa Aman Zanzibar unafikiri au unahisi nani anaenda kuibuka mahindi siku hiyo? 🙆🏾‍♂️
  2. DuaZaMama

    FT Yanga 1-0 Simba Ngao ya Jamii Jumanne Septemba 16,2025 | Benjamin Mkapa Stadium | Saa 11:00 Jioni

    Hatimaye, hayawi hayawi yamekuwa! Leo, Septemba 16, 2025, watani wa jadi Yanga SC na Simba SC watakutana katika mchezo wa Ngao ya Jamii, ambao utaashiria kuanza rasmi pazia la msimu mpya wa 2025/2026. Yanga wamekuwa kwenye kiwango bora, wakishinda michezo mitano mfululizo dhidi ya Simba. Hata...
  3. Frank Wanjiru

    Full Time: Yanga SC 2-0 Simba SC | Ligi Kuu NBC | Benjamin Mkapa Stadium | 25.06.2025 | Yanga Bingwa

    KARIAKOO DERBY | Leo Jumatano kwa Mkapa kinapigwa, Yanga SC Vs Simba SC Saa 11:00 Jioni | 🔴 LIVE updates hapa Ile siku iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu na kila mwanamichezo Tanzania na Afrika nzima imewadia. Ni mechi ya kuamua ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2024/2025, Yanga ikiwa...
  4. Waufukweni

    Yanga kutuma barua TFF kuhusu Waamuzi kutoka nje ya nchi kwaajili ya Derby dhidi ya Simba

    Yanga wamepanga kutuma barua TFF kuhusu waamuzi kutoka nje ya nchi kwaajili ya Derby ya kesho dhidi ya Simba Wanawasiliana na TFF ili kupata ufafanuzi, kutoa maoni, mapendekezo au malalamiko na wanaamini vilabu vilipaswa kushirikishwa kwasababu ni jambo jipya. "Nikiri kuwa hatujashirikishwa...
  5. M

    Kuhusu mechi ya Yanga vs simba

    Mechi hiyo kama itachezwa ,Yanga ataongoza kwa magoli la mapema kabisa,baadaye Yanga watapata penalt ya halali kabisa.mashabiki wa simba wataingia uwanjani na mchezo kuvurugika.
  6. B

    🇹🇿Je, Tanzania inaweza kufungiwa na FIFA kutokana na sakata la derby (Yanga vs Simba) na uchaguzi wa TFF?

    Habari.... 1. Sakata la Derby Mechi ya watani wa jadi (Yanga na Simba) imekuwa na mvutano mkubwa. Yanga wamepinga maamuzi ya Bodi ya Ligi (TPLB) na TFF, wakidai kuna upendeleo na hujuma. Waligoma kucheza baadhi ya mechi, na waliwasilisha malalamiko yao hadi kwa viongozi wa serikali. Hii...
  7. U

    Tetesi: Za ndaani: TFF kutumia staili ya Zamaleki vs Al ahly sakata la Derby

    Nimepata habari za chini chini kuwa , Bodi ya Ligi inapanga kutumia staili na busara iliyotumika katika derby ya Al ahly na Zamaleki. Bodi ya Ligi Haina mpango wa kumpokonya Yanga point 15. Kwa ufupi Al ahly aligomea mchezo wake wa Derby dhidi ya Zamaleki, na Kwa taratibu zao ilipaswa Zamaleki...
  8. P

    Karia: Wanaosema Bodi ya Ligi ijiuzulu timu zao uongozi upo sawa?

    Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace amejibu tuhuma wanazoshushiwa bodi ya Ligi kufuatia uamuzi wa kuahirisha mchezo wa Kariakoo Derby uliopaswa kuchezwa Machi 8, 2025. Akizungumza katika mahojiano na kituo kimoja cha redio, Rais Karia amedai kuwa Bodi iachwe ifanye kazi...
  9. ngara23

    Yanga wawapa bodi ya ligi masaa 72, kulipwa fidia za michezo na points 3 za mchezo wao dhidi ya Simba

    Barua Ref:No YASC/TPLB/M. 184/2025/ 201 Yanga imeandikia Bodi ya ligi rasmi barua yenye kurasa 5, kuomba alama 3 na magoli 3 na kutaka fidia za maandalizi ya mchezo kiasi cha Tshs 56,435,000. Ambazo zimeainishwa kwenye kipengele namba 17 kwenye barua yenye vipengele 19 Katika kipengele namba...
  10. The Legacy

    Kwa kipengele hiki Yanga hata waende FIFA hawatapewa point tatu

    NImekua nikifuatilia maoni ya wadau wengi kuhusu sakata la kuahirishwa mechi kati ya Simba na Yanga mnano Tarehe 8.3.2025. Baada ya club ya Simba kuzuiwa kufanya mazoezi waliandika kwa Umma kuwa hawataweza kucheza mchezo huo tajwa,Bodi ya Ligi walikuja na barua hii na kahirisha mechi. Bila...
  11. THE FIRST BORN

    Nawaza tu itokee hivi, kabla Yanga Vs Simba haijachezwa kama walivyosema Bodi, hapa katikati Simba adondoshe Point

    Niwaambie tu Viongozi wa Simba mtakua na wakat Mgumu sana, ukweli ni kua Mashabiki wa Simba watawageuka vibaya Mno na vile hua hawakawii kusema muondoke muwaachie Team yao mtaona. Ombeeni Match ipangwe mapema kabla ya kucheza Michezo yoyote ya Ligi, Au muiotoe Al Masry ila mkatolewa CAF then...
  12. Allen Kilewella

    Msikilize Manara anavyoizungumzia Deby

    Haya mambo yapo jinsi yalivyo. Kama kuna kanuni ni lazima ifuatwe janja janja ni uhuni kwenye mpira. Flash back!
  13. Waufukweni

    POSTPONED (PP): Yanga SC VS Simba SC | Ligi Kuu NBC | Benjamin Mkapa Stadium | 08.03.2025

    KARIAKOO DERBY | Leo Jumamosi kwa Mkapa kinapigwa, Yanga SC Vs Simba SC Saa 1:15 usiku | 🔴 LIVE updates hapa Je, Simba anakwenda kufungwa kwa mara ya 5 mfululizo na Yanga? Ama kukata uteja…!🫣🤯 🚨 Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba
  14. Hyrax

    Utabiri: Yanga vs Simba 8.03.2025

    Mechi hii itaisha kwa Simba kupata Ushindi wa Goli Moja au kutoa Droo ya Goli 1 - 1.
  15. Just Pray

    Wachezaji wa kuchungwa kuelekea Derby ya Kariakoo, Yanga Vs Simba

    Derby ya Kariakoo kati ya Yanga na Simba ni moja ya mechi kubwa zaidi nchini, ikijaa ushindani ndani ya uwanja na tambo kutoka kwa mashabiki wa timu hizo mbili za mtaa wa Kariakoo. Hapa ni nyota wa kutazama kwenye derby hii. Kibu Denis Tangu ajiunge na Simba, Kibu amekuwa mwiba hasa kwenye...
  16. Waufukweni

    Haji Manara: Makolo hawatotufunga hadi 2030, Samia atoke Madarakani

    Mashaki wa Mnyama, Simba mmemsikia msemaji wenu wa zamani?, Haji Manara akiwa Wasafi Fm amesema Makolo hawatotufunga hadi 2030, Samia atoke Madarakani "Naomba Watu waelewe Ule wimbo wa 'Yanga inafungwaje' haujaimbwa kwaajili ya Tabora au Timu nyengine ule umeimbwa kwaajili ya 'Makolo' kwahiyo...
  17. C

    Simba ijenge uwanja wake tu,maana kwa uchawi wa Yanga keshatia mguu KMC msitarajie mafanikio yoyote

    Tunajua mbinu za yanga nje ya uwanja ni chafu na kali sana. Tutaendelea kuona wachezaji bora wa Simba wakiumia na kujitibia muda mrefu,ama wakicheza chini ya kiwango kutokana na mbinu chafu za hii timu nje ya uwanja. Hizi mambo ya kuchinja ng'ombe na kunywesha watu supu sio nzuri kabisa Simba...
  18. otimbiotimbi

    Uchambuzi wa Nusu Fainali ya Ngao ya Jamii kati ya Yanga Vs Simba

    Kwa mara ya kwanza ndani ya misimu mitatu niliiona Simba Ile iliyobeba ubingwa wa ligi mara nne mfululizo. Mbali na Simba kupoteza jana lakini nilishuhudia Simba ya hatari inayokuja hapo mbele, timu ambayo inaweza kumzuia Azizi Ki na Pacome wasiingie kwenye boksi ni timu ya kuogopa sana...
  19. Bila bila

    Yanga Vs Simba ngao ya Jamii, Mechi iliyochezeshwa Kwa kiwango cha chini cha Uamzi.

    Ni vema Sasa kukawa na tuzo ya seti mbovu ya Waamuzi. Heri Sasii Mohamed Mkono Kassimu Mpanga Wanasitahili kupewa zawadi hii maana jana wameharibu Radha ya Mechi Kwa maamuzi yasiyozingatia weledi. Mechi ilistahili kuwa na penati kuanzia 2 na kuendelea, Mechi haikustahili kuisha Kwa 1-0. Soma...
  20. Tajiri Tanzanite

    Hii Yanga ina wazee lazima ifungwe 4 bila na Simba

    Hapo vipi! Yanga ya sasa ni mbovu kwa Simba SC. https://www.jamiiforums.com/threads/yanga-sc-vs-simba-sc-semi-final-community-shield-benjamin-mkapa-stadium-08-08-2024.2243315/ Inawachezaji wazee na Simba inawachezaji vijana na wenye uwezo mkubwa. Naona yanga leo ikipigwa 4 bila na Simba SC.
Back
Top Bottom