yanga vs simba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PAZIA 3

    Yanga ikiifunga Simba mara tatu mfulululizo, Eng. Hersi ajengewe sanamu pale Jangwani

    Mimi naamini, itakuwa siyo habari ya kushangaza yanga kuishinda Simba kwasababu tayari viongozi na benchi la ufundi linazo sababu za kupoteza mchezo wa Leo. Lakini ikiwa hivyo kweli, napendekeza Eng. Hersi akumbukwe kwa kujengewa sanamu pale Jangwani kama kumbukumbu za kumfunga mtani mara tatu...
  2. Suley2019

    FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

    Ngao ya Jamii: Alhamis hii ni nusu fainali ya wababe. Saa 1:00 usiku ni Kariakoo Derby Yanga SC dhidi ya Simba SC ngoma itapigwa dimba la Benjamin Mkapa. Dakika 2, Mpira umeanza kwa kasi sana. Dakika 4, Yanga wamekosa nafasi ya wazi baada ya Prince Dube kupiga mpira ukagonga nguzo ya goli...
  3. Dabil

    Utabiri wangu Yanga vs Simba!

    Yanga atafunga goli 1 na Simba atafunga magoli mawili. Yanga 1 -2 Simba.
  4. Brojust

    Wasafi Media na Crown Media kila moja aidha inashabikia Yanga au Simba

    Salaam wanajukwaa, kwa maoni yangu lakini (naomba niwe tayari kurekebishwa na wanaoitwa wajuaji) Naona kabisa WASAFI FM/TV ni YANGA na CROWN FM/TV ni SIMBA. Swali 1; Je, ni permanent marketing strategy za wamiliki ili kupata views na listeners wengi zaidi? Swali 2; Je, ni timing tu na vitu...
  5. Pdidy

    Ngao ya Jamii, Yanga atashinda mechi jumla ya mabao kuanzia 3 nk. Aziz Ki/Dube/ Mudathir/ Baleke kuwanyoa Simba

    Naona matokeo mapema this time Mechi itakuwa ngumu kipindi cha kwanza .Cha pili yanga wataingia na kasi ya ajabu sana sana aijawahi kutokea Kama baadhi ya wachezaji wa simba watashindwa kuvumilia hii kasi tutarajie penalty itatokea kwenye hii mechi Yanga ana 75 perc ya ushindi mpaka...
  6. Suley2019

    FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

    Homa ya Kariakoo Derby inazidi kupanda, siku ya kumaliza ubishi imewadia. Leo jioni kuanzia saa moja miamba hii itakutana kutafuta point tatu muhimu kuendeleza marathon za Ligi Kuu ya NBC. Yanga akiwa mwenyeji anaingia akijiamini huku ana kumbukumbu nzuri ya mchezo wa mwisho aliomchapa mtani...
Back
Top Bottom