yanga sc

Young Africans Sports Club is a football club based in Jangwani, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1935, the club play their home games at the Benjamin Mkapa Stadium and the Uhuru Stadium.
Nicknamed "Wananchi" (Citizens) or "Yanga" (Young Boys), Young Africans is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Simba. The club has won 22 league titles and four domestic cups, and have participated in multiple CAF Champions League editions. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship five times.
The club was popular among Africans, and became a symbol of the anti-colonial movement. Young Africans became associated with nationalists and freedom fighters, and inspired the political party TANU to adopt yellow and green as their primary colours.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    GE2025 Nawapongeza sana Yanga kuchangia CCM, mmesaidia sana kupaza sauti kuwa CCM si chama cha wananchi, ni wakoloni weusi wanaoendesha nchi kwa mabavu

    Unapozungumzia Simba na Yanga, unagusa maisha ya watu zaidi ya milioni 40 Tanzania. Kila kona ya nchi kuna shabiki wa timu hizi, MPIRA NI DINI YA PILI TANZANIA. Baada ya Yanga kuchangia harambee ya CCM, hali haikubaki kimya. Wananchi wameonyesha hisia zao waziwazi, sio kwa chuki, bali kwa...
  2. Yanga wasema mchango wa Milioni 100 kwa CCM ulitolewa na GSM Foundation, Sio Fedha za Klabu

    Uongozi wa Young Africans Sports Club unapenda kutoa ufafanuzi kwa Umma, kuhusu mchango wa Shilingi milioni 100 uliotolewa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), siku ya tarehe 12/08/2025. Mchango ule ulitolewa na Taasisi ya GSM Foundation iliyo chini ya mdhamini na Mfadhili wa Klabu yetu, Ghalib Said...
  3. Kama huitaki CCM hama Yanga, wanaotukana Yanga kuichangia CCM ni wanasimba

    WEWE KAMA HUITAKI CCM HAMA TIMU HARAKA Huwezi kufurahia matunada matamu ya mti ila ukauchukia mti unaozalisha matunda hayo. Sisi kama YANGA tuna historia yetu wewe ukijiona tu unaumia YANGA kuichangia CCM basi ujuwe wewe ulipaswa Kushabikia upande mwengine . Tutaendelea kuichangia CCM kwa...
  4. Steven Nyerere: Mwanachama namba moja wa Yanga Sc alikuwa ni mwanasiasa

    Msanii wa Filamu Nchini ambaye pia ni mkurugenzi wa taasisi ya Mama ongea na Mwanao maarufu kama Steve Mengele anasema kuwa Mwanachama namba moja wa Yanga Sc alikuwa ni mwanasiasa kwahiyo watu wasishangae kwanini Wananchi wameamua kuchangia kwenye harambee ya CCM.
  5. Kuwananga / Kuwasema vibaya Yanga SC kwakuwa tu wamechangia CCM si tu ni Ushamba bali pia ni Upumbavu na Unafiki uliovuka mipaka

    Leo Yanga SC wameichangia CCM ambayo ndiyo inatengeneza Serikali Wapumbavu, Washamba na Wanafiki wote mmekasirika mbona hiyo hiyo Serikali inayoundwa na CCM ikiipa Yanga SC msaada wa Ndege kwenda Kucheza Mechi zake za Kimataifa huwa hamchukii tena huwa mnafurahi na kukenua hovyo na kila Kona...
  6. Jezi za Yanga ziwe na hadhi ya kubeba thamani ya wadhamini wake

    Wadhamini wanaongeza madau yao ya kuidhamini Yanga, ongezeko hilo lionekane pia kwenye ubora wa jezi zinazobeba wajina ya wadhamini.
  7. Mwinyi Zahera: Yanga walitaka kumpeleka Clement Mzize Singida kwa Mkopo, Mimi nikamshauri Nabi

    Mwinyi Zahera, kocha wa zamani wa Yanga, amesema Yanga walikuwa tayari kumpeleka Clement Mzize Singida kwa mkopo, lakini yeye alimshauri kocha Nabi asikubali. Ameongeza kwamba walitaka kumtoa Mzize wakati hajaanza hata mazoezi na timu kubwa, na hata baada ya barua kutoka Marseille, bado msimamo...
  8. Yanga yasaini Dili Nono la Bilioni 21.7 na SportPesa

    Klabu ya Yanga imeingia mkataba wa miaka mitatu (3) na Kampuni ya kubashiri SportPesa, mkataba wenye thamani ya Shilingi Bilioni 21.7 ndani ya miaka mitatu. "Baada ya sisi kuingia Yanga, tuliwapa nguvu ya kiuchumi. Yanga imekuwa na misuli ya kumsajili mchezaji kutoka klabu yoyote. Hii imefanya...
  9. Yanga, Simba na Azam: Timu ipi ina safu kali ya ushambuliaji kuelekea msimu wa 2025/26?

    Timu bado zinaendelea kujiimarisha kuelekea msimu ujao kwa kusajili na kuwaongezea mikataba wachezaji muhimu kwenye vikosi vyao. Timu ipi ina safu hatari ya ushambuliaji kuelekea msimu ujao wa 2025/26? Yanga SC Clement Mzize Pacôme Zouzoua Lassine Kouma Maxi Mpia Nzengeli Simba SC Elie...
  10. Juzi Tshabalala alipofunga mlisema Yanga SC imefunga je, na baada ya huu Muwa wa Kapombe nasi leo tuseme Simba SC imefunga?

    Huu Muwa wa Kapombe hakuna Kipa wa kuweza Kudaka na akithubutu tu kutaka Kudaka kutafuta Sifa anaishia ICU Muhimbili.
  11. Yanga kipindi hiki cha kusajili anasajili wachezaji Simba wao wanasajili rain hatutaki lawama badae

    Aman iwe nanyi watumishi Nimemaliza Kuwa hatutaki lawama hapo badae LONDON BOY
  12. Mchambuzi Uchwara na mwana Yanga SC lia lia Hans Rafael uliwaaminisha Watu kuwa Elie Mpanzu iwe isiwe anaenda Yanga SC, mbona yuko Simba SC bado?

    Yaani kununuliwa tu hiyo Laptop na Rais wa Yanga Injinia Hersi Said ndiyo umeamua sasa kuwa Mnazi na Mtu wa Hovyo hapo Crown FM?
  13. Baada ya kuachana rasmi na Yanga SC sasa Mchezaji Clatous Chota Chama huenda Akili zake nzuri zikawa zimemrejea kwa kusema huu Ukweli

    Kiungo nyota wa kimataifa kutoka Zambia, Clatous Chama, amesema kuwa klabu ya Simba SC inapendwa na kuheshimiwa zaidi nchini kwao Zambia ikilinganishwa na Yanga SC. : Chama ambaye ameachana na Yanga, amesema kuwa staili ya mpira ya klabu ya Simba, historia yake barani Afrika, pamoja na uwepo...
  14. U

    Rais wa FIFA amewapongeza Yanga SC kwa kutwaa vikombe vyote

    Rais wa FIFA amewapongeza yanga sc kwa kutwaa vikombe vyote 💛💚💪 Pia amewapongeza mashabiki na wanachama kwa kuiyunga mkono timu yao japo ilianza kwa kusuasua Asante Raisa wa FIFA 💪💚💛
  15. Israel Mwenda pole sana kumbe ulikuwa huwajui Yanga SC vizuri pamoja na Kufurahia Kwako kwenda Kwao kwa Kutuzodoa wana Simba SC?

    Nilipoona tu Siku ile Yanga SC inarejea na Kombe kutoka Zanzibar huku ukijifanya Wewe ni Dj na ukawa Unatuzodoa wana Simba SC hasa pale Msimbazi Street mlikopita nilijua tu baada ya hapo kuna Maumivu utayapata kwani Wazee wa Simba SC nawajua huwa hawana Masihara katika kutuma Makombora ya...
  16. Kweli kabisa Mdogo wangu Mohamed Hussein Tshabalala umeamua kwenda Yanga SC na kutuacha Simba SC na leo huenda ukatambulishwa nao rasmi?

    Sawa bhana Kaka yako nikutakie kila la Kheri na naamini huko unakoenda yoyote yule mtakayegombania nae namba hatougua mara kwa mara, hatopatwa na matatizo ya Macho na Wewe safari za kimya kimya za kwenda Tanga na Morogoro hazitakuwepo tena.
  17. Mainfluensa njaa na uchwara wa Simba SC Wiki nzima walitiuaminisha kuwa Tajiri keshamalizana na Kiungo Conte, mbona sasa keshasinya Yanga SC?

    Halafu kutwa nikiwa nasema hapa kuwa Mo Dewji si Mtu sahihi Simba SC na Simba SC ya sasa imejaa Fools hamniamini.
  18. Haya wana Simba SC mnaodhani kutopata Ushindi mara 5 dhidi ya Yanga SC ni Kufeli angalieni na Wao walichokipitia Kwetu kisha mbadilike tugange yajayo

    Wana Yanga SC wasiwanyimeni Amani na Raha huku Wakiwadanganya kuwa ni Sisi tu ndiyo hatupata Ushindi dhidi yao kwa mara tano mfululizo bali hata Wao kuna miaka Walisota mno kutufunga Simba SC na Ushindi wao Kwetu ulikuwa ni Sare tu ila Vichapo walivichezea na viliwakuta sana tu.
  19. Na Wewe pia unaondoka lini Simba SC Kwetu kwani licha kwamba una Nuksi Isiyotibika kwa Mizimu yote lakini binafsi nakujua Wewe ni mwana Yanga SC 100%

    Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally amesema kocha wa kikosi hicho Fadlu Davids anahusika moja kwa moja na kutoongezwa au kuvunjwa kwa mikataba kwa baadhi ya wachezaji wa klabu hiyo wakati huu ambao wanajiimarisha kuelekea msimu ujao Akizungumza leo jijini Dar es Salaam, Ahmed...
  20. Huyu huyu anayetoa Siri za Wachezaji wazuri wanaotakiwa na Simba SC kwa Yanga SC ndiyo huyu huyu anayetumiiza kwa Yanga SC kila tukikutana nao

    Kirusi Simba SC siyo Mwenyekiti Mangungu pekee ambaye wana Simba SC wengi wanamdhania ila kuna Kirusi Mkuu wa Kuiumiza Simba SC kwa mengi tu na ambaye kwa bahati mbaya sana hata Tajiri wetu Mo Dewji anamuamini 100% japo ameshaonywa mno tu juu yake ambaye ni Salim Abdallah Mhene 'Try Agai' Wewe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…