Young Africans Sports Club is a football club based in Jangwani, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1935, the club play their home games at the Benjamin Mkapa Stadium and the Uhuru Stadium.
Nicknamed "Wananchi" (Citizens) or "Yanga" (Young Boys), Young Africans is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Simba. The club has won 22 league titles and four domestic cups, and have participated in multiple CAF Champions League editions. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship five times.
The club was popular among Africans, and became a symbol of the anti-colonial movement. Young Africans became associated with nationalists and freedom fighters, and inspired the political party TANU to adopt yellow and green as their primary colours.
Mchezo wa Ligi Kuu wa NBC wenyeji Mtibwa Sugar wanacheza na Yanga SC uwanja wa Jamuhuri Dodoma
DAkika 51, Yanga anaogoza goli moja, goli lilofungwa na Pacome
Mechi imemalizika
Kikosi cha Klabu ya Yanga kimewasili jijini Dodoma kwa ajili ya kuwakabili Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu NBC Tanzania Bara utakaochezwa March 21 kwenye Uwanja wa CCM Jamhuri, jijini Dodoma
Akizungumza mara baada ya kuwasili, Afisa Habari wa klabu hiyo, Ally Kamwe, amesema dhamira yao...
Mchezo wa Ligi Ya NBC 2025/2026 Yanga Sc dhidi ya Singida Big STars
Kipindi cha Kwanza kimekamilika Yanga wapo mbele kwa goli 2
Magoli ya Yanga yamefungwa na Prince Dube na Allan Okello.
Chuma ya 3 😁 linawekwa na Mudathir
Singida wanafanya mabadiliko ya wachezaji wa tatu.
Dakika 56, Yanga...
Kwa muda sasa nmekuwa nikiombea na kushiriki kwenye michango ya kazi chafu dhidi ya mikia. Kwenda kuwapiga misumali wachezaji wao na wengine kurubuniwa Simba ifanye vibaya.
Nashukuru serikali imekuwa upande wetu sana sisi team ya wananchi kinyume na mikia sc ambao wametelekezwa wameachwa kama...
AL Ahly vs Yanga Leo Saa moja usiku kwa saa za Afrika Mashariki Afrika itasimama yote kupisha mtanange mkubwa zaidi kati ya Al Ahly SC na Yanga SC Kaa nami katika Uzi huu kwa update zaidi
Kikosi kazi dhidi ya Al Ahly #cafcl
#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko
Mpira umeanza
Dakika ya 14...
Fainali ya Michuano ya NMB Mapinduzi Cup 2026, kupigwa katika Uwanja Mpya wa Gombani Kisiwani Pemba, Mechi kali kati ya Azam FC dhidi ya Yanga SC
Kikosi kazi dhidi ya Azam FC #MapinduziCup2026Final
Mpira umeanza
Dakika ya 10
Yanga SC wanafanya mashambulizi
Dakika ya 15
Dube anakosa nafasi...
Wasaalam
Juzi siku ya mechi ya Yanga nikiwa mitaa ya mandela road kuelekea ubungo nilikutana na makund ya vijana yakitembea kwa mguu kutoka taifa had ubungo mbele mbele vifua waz jasho la kutosha
Nikawahoji mnatoka wap wakajibu taifa
Kwanini msipande daladala wakati ni buku tu wakasema broo...
Edmund john - anacheza kama kondoo
Offen Chikola - sio level ya yanga
Aziz adambwile - vivu,zembe , chawi
Prince Dube- huyu apigwe kabla yakufukuzwa
Mo doumbia _ mchezaji mvivu na mjinga
Kocha mabedi - Hana uwezo wakuifundisha yanga
Mwamnyeto - mchawi
Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya CAFCL, Yanga SC jioni ya leo wataingia uwanjani kurudiana na timu ya Silver Strikers kutoka Malawi
Katika mechi ya kwanza iliyofanyika jijini Lilongwe nchini Malawi, Silver Strikers waliibuka na ushindi wa goli moja kwa bila
Je Yanga leo watapindua...
Tunawaomba viongozi wetu wa Yanga siku ya mechi yetu ya marudiano na Silver tupate chakula pilau, soda na maji wakati mechi inaendelea tunakula, na baada mechi kuisha tupate tena tukiwa tunasherekea ushindi wetu Amesema GodYanga
“Tumekubaliana kuwa mechi hii imeondolewa viingilio majukwaa yote isipokuwa jukwaa la VIP A na VIP B yamekuwa Reserved kwa waalikwa maalum ambao ni Wageni wetu pamoja na wanachama wa Yanga wa Black Card.
Ombi hili la kuweka mechi hii isiwe na viingilio lilikuwa Gumu sana kukubaliwa kwakuwa...
Ushauri wangu jamani Mwenyezi Mungu anapotupa nafasi ya Kuzikamata basi tuwe na Nidhamu ya Kuzitumia lakini Kubwa tujikite mno katika Kuwekeza ili tusije Kuumbuka baadae / mbeleni kama aliyewahi kuwa Mchezaji nyota / mahiri wa Yanga SC Jesus Kololo.
Ila Moloko nawe leo ngoja Nikuchane kwani...
Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya CAFCL, Young Africans (Yanga) jioni ya leo wanaingia uwanjani kukipiga na Timu ya Wiliete kutoka Angola katika mechi ya marudiano.
Katika mechi ya kwanza iliyofanyika Angola, Yanga walitoka na ushindi wa goli 3-0 dhidi ya wawakilishi hao wa Angola
Je...
Hapo vip!!
Mpira ni mchezo wa wazi na uzuri watu wengi sasa hivi wanajua mpira hauwezi kuwadananya.
Jana kila mtu ameona yanga akipewa goli la offside tena bila aibu na Arajiga.
Nafikiri pia ilikuwa nimpango mkakati wa kusihukuru yanga kwa kuchangia chama na kwa upande mwingine ilikuwa ni...
Kwahiyo Mangungu ndiyo aliwaambia akina Kibu Denis na Nuksi Shomary Kapombe wakose yale Magoli ya wazi na ndiyo pia aliwaambia Mabeki wawe Wazembe katika Kukaba kiumakini hadi Pacome akatufunga?
Yanga inacheza Kitimu Simba kizembe.
Baada ya kumalizana na mchezo wa Ngao ya Jamii, vikosi vya Simba na Yanga, vimeanza safari kuelekea kwenye michezo yao ya Kimataifa katika nchi tofauti.
Kikosi cha Yanga kimeondoka alfajiri ya leo Jumatano Septemba 17, 2025 Dar es Salaam kuelekea Angola kwa ajili ya mchezo wa Raundi ya Kwanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.