yafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. NHIF yafuta Bima ya Afya kwa watoto "TOTO Afya Kadi". NHIF yadai hawajafuta ila wameboresha

    Habari za awali zinadai kwamba Mfuko wa Taifa wa BIma ya Afya umefuta rasmi bidhaa ya "Toto Afya Kadi" iliyokuwa inatolewa na mfuko huo kwa watoto wa chini ya miaka 18 wanaosajiliwa ili kuwawezesha kupata huduma za matibabu katika vituo vilivyosajiliwa na NHIF nchi nzima. Ikumbukwe kuwa Toto...
  2. Serikali yafuta Vikosi Kazi vya ukusanyaji mapato TRA

    Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania, Uledi Mussa amesema Vikosi hivyo vimeondolewa ili kuhakikisha kunakuwa na Haki katika ukusanyaji mapato nchini. Amesema TRA inataka watu walipe Kodi bila Shuruti na hivyo Mamlaka hiyo imeagiza Maofisa wake wakusanye kodi bila...
  3. Serikali yaifutia TANESCO deni la Tsh. Trilioni 2.4

    Kwa kuwa bei ya umeme haiendani na uhalisia wa mauzo, Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limesema halipati mtiririko mzuri wa mapato, hivyo kushindwa kulipa madeni yake ya muda mfupi, hali inayowakimbiza wawekezaji. Hali hii inatokana na ukweli kwamba mara nyingi, Serikali huwa inakopa kisha...
  4. Matokeo ya chaguzi tano za UVCCM yafutwa, Rushwa yatajwa

    Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Shaka Hamdu Shaka leo Jumanne Septemba 27, 2022 amesema chama hicho kimefuta matokeo ya chaguzi tano za UVCCM pamoja na kusimamisha chaguzi zaidi ya tatu za Jumuiya ya Wanawake, kutokana na ukiukwaji wa maadili, rushwa na upangaji safu za uongozi. Chanzo...
  5. Mwigulu Nchemba: Tumefuta baadhi ya tozo, nyingine tumepunguza kwa asilimia 10-50

    Akizungumza leo bungeni, Waziri wa Fedha na Mipango Mwigulu Nchemba amesema uongezwaji wa wigo wa kukusanya mapato kupitia tozo uliibua malalamiko kwenye jamii, hivyo Kamati kuu ya Chama cha Mapinduzi iliagiza upitiwaji upya wa tozo hizi na kuzingatia maoni ya wananchi. Marekebisho yafuatayo...
  6. Kenya: Serikali yafuta Ruzuku ya Mafuta, bei yapanda zaidi

    Bei mpya kuanzia leo kwa Petroli inayotumiwa zaidi na magari mengi binafsi ni Tsh. 3,468,45 kwa lita kutoka Tsh. 3,100.29, huku Dizeli ambayo hutumiwa na wasafirishaji na viwanda ni Tsh. 3,197.17, Mafuta ya Taa ni Tsh. 2,867.77 Haya yanajiri baada ya Rais William Ruto kutangaza kuwa utawala...
  7. Serikali yafuta ada ya Mitihani kwa watahiniwa wa shule za Serikali

    Taarifa iliyotolewa na Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) imesema watahiniwa wa Darasa la 7, Kidato cha 4 na 6 kutoka shule za Serikali hawatolipa ada hizo kuanzia sasa. Hata hivyo Baraza limesema ada hizo zitaendelea kulipwa na wanafunzi wa shule za binafsi.
  8. Kenya2022 Kenya: Facebook yafuta maelfu ya machapisho kwa kukiuka sera zake kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Kampuni ya teknolojia ya Meta imeondoa maelfu ya machapisho yanayowalenga watumiaji wa Kenya kwenye mtandao wake wa kijamii wa Facebook kwa kukiuka sera zake. Facebook imesema kuwa imeondoa machapisho zaidi 37,000 yaliyohamasisha chuki na 42,000 kwa kukiuka sera yake ya ghasia katika muda wa...
  9. Ethiopia: Facebook yafuta ujumbe wa Waziri Mkuu uliowataka wananchi "kuwazika" TPLF

    Mtandao wa Kijamii wa Facebook umefuta Ujumbe wa Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed uliowahimiza Wananchi kujipanga na kuandamana kwa njia isiyovunja Sheria wakiwa na silaha ili kuzuia Waasi wa TPLF Facebook imesema imeondoa Ujumbe huo kwasababu unakiuka Sera yake kuhusu kuchochea ghasia. TPLF...
  10. YouTube yafuta Video Milioni 1 zinazopotosha kuhusu COVID-19

    Mtandao wa Youtube Jumatano umesema umeondoa kwenye mtandao wake zaidi ya video millioni moja za habari hatari za kupotosha kuhusu virusi vya corona, tangu kutokea kwa hilo mwaka iliyopita. Taarifa ya mtandao huo unaomilikiwa na kampuni ya Google, inajiri wakati mitandao ya kijamii ikishutumiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…