yafanyike

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    Hoja za Heche zimejaa harufu ya usaliti. Haya yafanyike kabla ya kufanyika maridhiano yoyote yale

    Heche amekuja na hoja dhaifu sana kuhusiana na CHADEMA kukaa meza ya maridhiano. Alitaja kwanza kuachiwa kwa Lissu ni moja, jambo la pili ni CHADEMA kufunguliwa. Lakini maridhiano si kati ya CHADEMA na CCM, maridhiano ni kwa ajili ya Watanzania wote. Kabla hata ya kuyafikiria, maridhiano haya...
  2. passioner255

    Ili kuzuia Tanzania isiendelee kuangamia haya yafanyike

    Ukweli ni kwamba nchi yetu inahali ya kisiasa na kiuchumi mbaya sana.hali ambayo imesababishwa na uongozi mmbovu.tunaongozwa na viongozi waovu. Ili mambo yabadilike viongozi waovu waondolewe kuanzia Rais na wenzake,siasa ziwe bora,haki itawale ndani ya...
  3. Bawabu wa pili

    Ni neno gani la kiingereza ambalo hukubaliani na spelling zake ila unakubali tu ili mawasiliano yafanyike

    Ni neno gani la kiingereza ambalo hukubaliani na spelling zake ila unakubali tu ili mawasiliano yafanyike Mimi naanza na neno ''Psychology'' pana haja gani ya kuwa na P mwanzoni ili hali siitumii kabisa? Teremka hapo chini kwa meneno mengine unayoyajua
  4. Bawabu wa pili

    PostGE2025 THRDC: Maridhiano yafanyike katika njia za ukweli, haki na uwajibikaji

    Mratibu wa Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa, ametoa wito kwa taifa kuanzisha mapema mchakato wa maridhiano na uponyaji baada ya matukio ya ukiukwaji wa haki za binadamu yaliyotokea kuanzia Oktoba 29 na siku zilizofuatia. Kwa mujibu wa Wakili...
  5. L

    Kabla ya Tume ya Enquiry Haijaundwa - Haya Yafanyike kwa Haraka

    Wanabodi, 1. Waliotekwa wote waweze kuachiliwa na kuwarejesha katika familia zao. 2. Miili ya wale wote waliokufa kwa kupigwa risasi warejeshewe familia zao wakazike. 3. Mafisadi waliopata Magari ya kifahari pasipo chanzo kinachoelezeka wafilisiwe. 4. Waliohusika kupiga risasi raia wa...
  6. Genius Man

    Hatuombi mabadiliko bali ni lazima yafanyike mtake msitake. Kama mtu anafikiri sisi tunaomba, ngoja muone. Moto utawaka

    Hatuombi mabadiliko bali ni lazima yafanyike mtake msitake kama mtu anafikiri sisi tunaomba ngoja muone moto utawaka Tunataka nchi yetu tutakinukisha
  7. Common Folk

    Maamuzi yanapaswa yafanyike haraka, kuvuta muda hasara itakuwa kubwa na itatuchukua muda mrefu ku-recover.

    Kwa sasa hakuna kinachoendelea nchini, viwanja vya ndege vimefungwa, bandari imefungwa, mtaani watu biashara zimesimama, huduma za ki bank nazo zimesitishwa (kwa sasa huwezi kufanya muamala wowote iwe kwa simu au bank). Kufika kesho maamuzi yanatakiwa yawe yamefanyika na nchi irudi kwenye...
  8. Lord Denning

    Baada ya Jeshi kumaliza kazi Oktoba 29 yafanyike haya

    1. Kusitisha utawala wote wa kikatiba na kuanzisha utawala wa mpito wa kijeshi na wananchi. Zoezi hili litahusisha na kusimamisha Taasisi za TAKUKURU, TISS na majukumu yao kufanya na Idara za Ujasusi za Jeshi. 2. Kuundwa Baraza la Uongozi la Kitaifa litakaloundwa na Maofisa wa Kijeshi pamoja na...
  9. Genius Man

    Tunaposema no reforms no ELECTION ni mpaka mabadiliko yafanyike na sio uchaguzi wa mchongo upite tutaendelea hadi mabadiliko

    Tunaposema no reforms no ELECTION ni mpaka mabadiliko yafanyike na sio uchaguzi wa mchongo uishe tutaendelea hadi mabadiliko. Kama samia anajikimbiza kwenye uchaguzi wa mchongo ili kujiwaisha sisi wimbo ni ule ule no reforms no ELECTION hatuutambui uchaguzi bila mabadiliko.
  10. bulajunior

    Mabadiliko yafanyike kwa Jamii nzima ya watanzania

    Naomba namimi nichukue nafasi hii kutoa mawazo yangu: Nimekutwa nikiona na kusikia reforms ambazo zinaendeshwa na kuenezwa nchi nzima na chama cha siasa kimoja hapa nchini. Watanzania wenzangu niseme kuwa tunakotaka kufika sio kwa namna hii tutajikuta tumeumizana sana hata hao viongozi nao ni...
  11. Genius Man

    Raisi samia utulivu unao hamasisha hauwezi kufanya uchaguzi kuwa huru na wa haki lazima mabadiliko ya kiuchaguzi yafanyike kwanza

    Nilimsikia samia anakwepa mabadiliko ya kiuchaguzi anahamasisha tu itulivu kwamba utapelekea uchaguzi wa haki bila mabadiliko yoyote ya kiuchaguzi bado hakuwezi kuwa na uchaguzi huru na wa haki. Nasisitiza hakuna yoyote aliye hamasisha vurugu kwenye nchi wala aliye shika silaha yoyote mpaka...
  12. Doctor Mama Amon

    Wadau Waunga Mkono Ajenda ya No Reform No Election: Wataka Bunge Lisubiri Kuvunjwa Mpaka Mabadiliko Yafanyike Kwanza

    Na Waaandishi Wetu BAADA ya kuanza kukua na kushika kasi kwa ajenda ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ya kutaka kuzuia kufanyika uchaguzi mkuu wa 2025, wasomi, wanazuoni na wachambuzi wameibuka kuunga mkono. Wengi wanaona umuhimu wa kusikilizwa na kufanyiwa kazi kwa ajenda ya...
  13. Chachu Ombara

    SI KWELI Freeman Mbowe asitisha maandamano yaliyokuwa yafanyike Septemba 23

    Nimeona video ikizunguka kwenye mitandao ya Kijamii ikonesha kuwa jioni ya leo, mwenyekiti wa CHADEMA amesitisha maandamano yaliyokuwa yafanyike Septemba 23
  14. Vichekesho

    Maandamano ya tarehe 23 yafanyike hivi

    Kwa jinsi hali ya mambo inavyokwenda, napendekeza kuwa wananchi wote wa TANGANYIKA tuandamane tarehe 23 kwa utaratibu huu. 1. Tumchangie nauli dada yetu Mange Kimambi aje nchini kuongoza maandamano. 2. Nyuma yake afuate Mbowe, Lissu, Mnyika na viongozi wa ngazi za juu. 3. Nyuma yao wafuate...
  15. Influenza

    PreGE2025 Tundu Lissu: Msimamo wetu upo pale pale, tutaandamana Septemba 23, 2024

    Makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amesisitiza hatua za kisheria zichukuliwe juu ya wanaofanya utekaji pamoja na mauaji nchini. Pamoja na hayo Lissu amesisitiza kuwa msimamo wa chama chake juu ya kuandamana tarehe 23 Septemba bado uko pale pale kwani...
  16. A

    SoC04 Kilimo ni sekta mama hapa nchini haya yafanyike kwa maendeleo ya taifa

    UTANGULIZI. Pamoja na jitihada za serekali katika kuimarisha sekta ya kilimo lakini bado Kuna changamoto nyingi ambazo ni vifaa duni,ukosefu wa mitaji,ukosefu wa elimu,kukosekana Kwa masoko ya uhakika, bidhaa kukosa ubora unaotakiwa sokoni na kukosa namna bora ya kuhifadhi mazao Yao n.k Hivyo...
  17. Evelyn Salt

    SoC04 Tanzania tuitakayo: Maboresho makubwa yafanyike idara ya elimu kwani hii ndio idara mama

    Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Elimu ya sekondari imekua ni muhimu kwa watu wote (elimu msingi), lengo ni kuwa kila mtu walau afike kidato cha nne. Ni jambo jema....lakini kumekua na changamoto nyingi kiasi cha kushindwa kufikia malengo kwani pamoja na kwamba kila mtu...
  18. ACT Wazalendo

    Mchinjita: Yafanyike haya ili kunusuru Mwendokasi

    Ili kunusuru Mradi wa Mwendo Kasi, ACT Wazalendo Tunapendekeza yafuatayo; i. Mfumo wa Kielekroniki wa kukusanyia nauli uliotelekezwa, ufungwe maramoja na uanze kutumika. ii. Bodi ya wakurugenzi ya DART ivunjwe yote na kuundwa upya, kwa kuzingatia wataalamu wa sekta ya hiyo ambayo itauendesha...
  19. Lord Denning

    Ili Tanzania ibadilike lazima haya yafanyike

    1. Katiba Mpya - Lazima itungwe katiba mpya yenye meno inayoweka hatua anazopaswa kuchukuliwa kiongozi endapo ataivunja. Katiba hii iweke misingi ifuatayo; a) Rais ateue Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama na Mawaziri tu- Akishateua lazima hao watu wathibitishwe na Bunge. Mawaziri wasiwe...
  20. Lord Denning

    Tunayopendekeza yafanyike Tanzania hayafanyiki halafu Nchi jirani Wanafanya kweli!

    Nilichogundua mambo mazuri ya maana kwa mustakabali wa maendeleo ya kweli ya nchi yetu yanayopendekezwa yafanyike nchini kwenye hili jukwaa Viongozi wetu hawayachukui zaidi a kuchukua mambo ya kisiasa kwa faida zao za kisiasa. Iliwahi pendekezwa humu suluhisho la tatizo la umeme. Viongozi wetu...
Back
Top Bottom